Binti wa kazi kapigwa mimba na vijana wa ovyo mtaani

je parle

JF-Expert Member
Nov 28, 2018
1,883
3,620
.
Akasema basi ntasubiri mpaka utakapo pata ndio nitaondoka!

Kumbe hapo alishaenda kununua vitu vyake kwa ajili ya safari..

Wife akasema usilazimishe mwache aende tu, basi Mimi kupiga simu kwao kuwa mwanawenu anarudi wakasema sawa nikaenda kukata tiketi na kumpa siku ya pili yake na kumsimdikiza KUPANDA gari na kuenda kwao. Tukaishia hapo usiku akanicheki nimefika salama haya poa.

Kisanga.!
Zimepita takriban wiki 3 Kuna bint mmoja MTAANI nadhani walikuwa na urafiki WA hapa na pale akaniambia hivi unajua mdogo wako ana mimba.???? Nikamwambia hapana sijui.

Akaniambia ana mimba na aliempa mimba kaikataaa

Mmmh, kaikataa kwanini na yeye ndio kahusika
Mdogo wako mwenyewe mapepe alikuwa na mabwana wawili ila anasema huyo mmoja alishakuacha na huyu WA pili ndio kaikataa mimba! Kwahiyo mnafanyaje ??? Tunafanyaje tena mbona atajua yeye Cha kufanya.!?

Nikajiuliza Ina maana yule bint upole wote ule na 16 yrs kumbe alikuwa anamiliki mabwana wawili??

Basi wadau ndio kilichonikuta nadhani aliondoka baada ya kujua kashanasa mimba ingekuwa aibu mtaani ili kuzima soo ikabidi arudi kwao kijijini.

Sasa madhara atapata mtoto hapa maana anakuwa hana baba WA kueleweka atakuwa na familia ya upande mmoja tu
 
Nimesikitishwa sana na kilichotokea home, binti huyu WA KAZI nimepewa huko mbali na wakwe zangu ametoka karibia km 900 kufika ninapo ishi !

Ni binti mstaarabu mpole mcheshi sana kiufupi nilisema hapa nimepata dada WA KAZI na Mimi nlikuwa nimemjumuisha kwenye familia na sikumchukulia kama mfanyakazi WA ndani

Hata MTAANI hawakujua kama ni mfanyakazi maana alikuwa anapendeza vyakutosha na hakuna kazi nyingi anazofanya

Mimi huwa natoka asubuhi narudi jion kasoro siku za wkeend Huwa na kuwa sana MTAANI, kuangalia Mpira WA uingireza na kucheza bao

Kiufupi hapa MTAANI hata nikigombea urais WA mtaa napita bila kupingwa na maarufu haswa kutokana na aina ya kazi ninayofanya

Sasa siku nipo job wife anapiga simu anasema huyu mtoto amechoka kazi fanya aondoke mi sipendi kuongea kitu kimoja Kila mara.!

Kumuuliza wife kwani shida nini?? Anasema nimemwambia afue ye anahangaika tu huko MTAANI hajaja kufua mpaka sasa. Nikamwambia wacha nirudi.

Jion kumuuliza vipi mbona kama una ukaidi kulikon anasema Mimi nataka kwenda nyumbani ! Khee nyumbani ??? Nauli unayo anasema Sina nimwambia sasa unaendaje ? Unajua nauli ya kwenu ni 70,000 tsh.????
.
Akasema basi ntasubiri mpaka utakapo pata ndio ntaondoka !

Kumbe hapo alishaenda kununua vitu vyake kwa ajili ya safari ..

Wife akasema usilazimishe mwache aende tu ,basi Mimi kupiga simu kwao kuwa mwanawenu anarudi wakasema sawa nikaenda kukata tiketi na kumpa siku yapili yake na kumsimdikiza KUPANDA gari na kuenda kwao. Tukaishia hapo usiku akanicheki nimefika salama haya poa.

Kisanga.!
Zimepita takriban wiki 3 Kuna bint mmoja MTAANI nadhani walikuwa na urafiki WA hapa na pale akaniambia hivi unajua mdogo wako ana mimba.???? Nikamwambia hapana sijui

Akaniambia ana mimba na aliempa mimba kaikataaa

Mmmh.kaikataa kwann na yeye ndio kahusika
Mdogo wako mwenyewe mapepe alikuwa na mabwana wawili ila anasema huyo mmoja alishakuacha na huyu WA pili ndio kaikataa mimba ! Kwahiyo mnafanyaje ??? Tunafanyaje tena mbona atajua yeye Cha kufanya.!?

Nikajiuliza Ina maana yule bint upole wote ule na 16 yrs kumbe alikuwa anamiliki mabwana wawili ??

Basi wadau ndio kilichonikuta nadhani aliondoka baada ya kujua kashanasa mimba ingekuwa aibu mtaani ili kuzima soo ikabidi arudi kwao kijijin

Sasa madhara atapata mtoto hapa mana anakuwa Hana baba WA kueleweka atakuwa na familia ya upande mmoja tu.
Pole sana

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Amini Maneno yangu Mkuu, Mke wako kuna mahala anafeli, haiwezekani abadani Mdada wa Mtaani ajue mahusiano ya binti yako mpaka akusimulie wewe, mkeo bila kujua. Mkeo kazi yake ya kwanza nyumbani ni kufanya intelejensia ya Wanafamilia wooote na wewe ni DG wa kupewa hizo intelejensia uzichakate na kufanyia kazi.

Brooo stuka, mkeo anafeli kazi. Mkeo anatakiwa arudi darasa la maisha ya malezi ukipuuuza kesho watajazwa wanao wa Damu. Over
 
Mkuu huyo binti wa kazi mm ndo nlikuwa namchakata na nina mawasiliano nae mazuri.....mke alikua anajua Kila Kitu sema hakukwambia hapa nawaza na yy sijui nimpe mimba maana msiri sana
 
Hebu kwanza kama kuna kitu sijakielewa hivi Rais wa mtaa, huyo rafiki yake na binti yako wa kazi mna ukaribu gani mpaka mkakaa na kuteta yote hayo..?!! Wewe kuna page umechana.
Ngoja atoke kudai madeni yake ya kausha damu😂😂😂ana kampuni ya kutoa mikopo kwa riba katili
 
Back
Top Bottom