Jinsi nilivyotamani kumuua jirani yangu aliyenipora sehemu ya kiwanja changu

TheDreamer Thebeliever

JF-Expert Member
Feb 26, 2018
2,490
3,534
Habari wadau..!

Dunia imejaa dhulma na chuki sana kama haujawahi kuua ipo siku utatamani kuua kama vile ngamia ayatamanivyo maji jangwani.

Kuna kipindi nilinunua kiwanja changu kule Kibaha kwa hela za kuunga unga ila karibu yangu alikuwapo kigogo mmoja wa TRA ambaye jirani yangu.

Hauwezi amini nilikaa miaka miwili bila kutembelea siku nilipofika site nikakuta eneo langu nusu limejengwa, nikaenda kushitaki sheria ikapindishwa ikala kwangu.

Hapo nikaanza sasa kuutamani uchawi na ubaya wake ikabidi niingie chimbo kuwasaka wazee wa tunguli nilikuwa ma hasira asikwambie mtu, nilikuwa natafuta mganga wa kunisaidia kumuua kabisa huyu jamaa lakini kwa kila mganga niliyeenda alikuwa na huruma walinishauri nimpe mateso tu mpaka aombe radhi. Nilimpiga kombola moja tu sasa hivi yupo ndani tu hajulikani anaumwa nini kapoteza miguu yote miwili na anachoumwa hakijulikani, kidogo sasa moyo wangu una amani lakini bado natamani nimmalize kabisa.

Naombeni ushauri wadau nipate mganga mzuri nimmalize kabisa huyu jamaa ndio nafsi yangu itaburudika?
 
Tabu ya nini kujipa dhambi mara mbili mbili, we nenda home kwake na dumu la petroli tia kiberiti maliza kazi, jisalimishe polisi waambie wasipate tabu ya uchunguzi wakufunge moja kwa moja tena chagua gereza la mng'aro nitakuunganisha na bwana jela akukabidhi kwa mnyapara mmoja mkarimu sana, atakupa chochote unachopenda yani utaishi jela kama uko home vile.
 
Tabu ya nini kujipa dhambi mara mbili mbili,we nenda home kwake na dumu la petroli tia kiberiti maliza kazi,jisalimishe polisi waambie wasipate tabu ya uchunguzi wakufunge moja kwa moja tena chagua gereza la mng'aro nitakuunganisha na bwana jela akukabidhi kwa mnyapara mmoja mkarimu sana,atakupa chochote unachopenda yani utaishi jela kama uko home vile.
Hiyo ni local method,kwa nn nitumie njia local while tuna technolojia zetu na zina ufanisi mkubwa sana.Niliongea na jamaa yangu mmoja akanambia inawezekana akatumiwa simba ,mamba wa nchi kavu au radi😂😂
 
Hiyohiyo inamtosha tayari umeshamuua hapo mbona!!

Ujue ingekuwa hawajakata miguu unasema labda anaweza akaaguliwa (au ukarudisha moyo nyuma ukamsamehe) akapona lakini hii ngoma ishaondoka na baadhi ya sehemu zake sidhani kama anaweza kurudi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom