Jinsi nilivyoongea na viumbe wa ajabu

Jinsi nilivyoongea na viumbe wa ajabu

1990 uko form six,mashallah umri umeenda machweo
 
Kama jambo hili limemtokea mtoa mada mwaka 1990, nina imani kwasasa ni mtu mzima anayejielewa, na kufikia maamuzi ya kuanzisha uzi ni kwa lengo la ku-share yale yaliyomtokea kwa lengo la wote kujifunza na hata kutoka na kitu ambacho kinaweza msaidia mmoja au mwingine.

Kitendo cha wengi kusema huyu mwamba ana matatizo siyo sawa na siyo sahihi na haya anayoelezea sio rahisi kwa mtu wa kawaida na asiye kuwa na uelewa hata kidogo wa masuala ya ulimwengu na yote yaliyomo (ulimwengu ni tofauti na Dunia hivyo usitafsiri neno hilo kwa kufikiria dunia tunayoishi).

Mhusika katoa utofauti mzuri sana kati ya intellectual na intelligence hapa panawasumbua hadi wasomi wetu wakubwa yaani wengi wapo kundi la intellectual na kuna baadhi wametoa comment zao hapa.

Wengi tumefanikiwa kukusanya taarifa na kuziweka kichwani (kusoma) ila kuzitumia na zilete matokeo ndiyo shida ilipo.

Elimu bahari na kuna mengi ambayo hatuyajui hadi leo japo yanachangia kwa kiasi kikubwa katika kuathiri maish yetu ya kila siku.

Anapojitokeza mtu kwa hiari yake ku-share kitu kwa lengo la watu kujifunza basi tumuhukumu mwishoni baada ya kuona amemaliza na aliyotoa ni tofauti.

Mkuu Venus Star usisahau jf iliingiliwa na vijana wengi wadogo ambao bado hata hawaelewi namna maisha yalivyo na jinsi mambo yanavyotokea, hivyo baadhi puuzia na uendelee kutoa shule. Kuna shule kubwa sana kwako hata ukiacha hizo formula ambazo wengi ndo wanasubiria, ila ndani ya maelezo yako kuna shule pana sana.
Kweli mkuu kuna kitu najifunza hapa
 
Akirudi tuambiane wakuu, ila aitokua na mashiko tena bora tu akimbie mazima na alinacha zake za 1990...
 
Yaani umekalia formula huku corona inatamalaki,
Ila nasikia harufu ya bange
 
Mwanzoni nilikuwa sikuelewi, hapa ndipo somo limeanza kukolea. Nasoma Hadi mwisho uzi huu
 
Ndio naanza sasa ili kuweka uelewa kwa pamoja baadaye sasa nitatoa formula ya Inter Universe Travel.
Maana ninashindwa sasa kufuata mtiririko vizuri. wengine wapo hawaelewi.
Je, Unajua Body Differentiation? au Body Integration.
Hakuna mtu anayejua hayo mambo duniani ni mimi tu pekee ndiye ninayo hiyo formula.

Hongera sana.
Kwahiyo hao vibwengo waliokufundisha hayo makitu hawajui pia hiyo formula??
 
Back
Top Bottom