Jinsi nilivyoongea na viumbe wa ajabu

Jinsi nilivyoongea na viumbe wa ajabu

Ninasikitika sana watu wengi wanashindwa kunielewa kama nilivyokuwa na wasiwasi miaka yote hii. Yaani ninatamani niwafundishe hizo formula hapahapa kwenye jukwaa mkajaribu kuzitumia.

Nilikuwa naandaa formula hapa ili niweze kuwawekea. Mkaweze kuzijaribu. Maana hizi zinahitaji bidii.
Ni zoezi la wiki moja mpaka mwezi unakuwa unaweza kufanya Body Differentiation. Hiyo formula inakufanya uweze kwenda kwenye sehemu kwa kasi kubwa na baada ya hapo nakufundisha Body Integration.

Hizi hapa ni formula basics za kwanza.
 
Mkuu weka hizo formula ili uthibitishe hadithi yako.
 
Ninasikitika sana watu wengi wanashindwa kunielewa kama nilivyokuwa na wasiwasi miaka yote hii. Yaani ninatamani niwafundishe hizo formula hapahapa kwenye jukwaa mkajaribu kuzitumia.

Nilikuwa naandaa formula hapa ili niweze kuwawekea. Mkaweze kuzijaribu. Maana hizi zinahitaji bidii.
Ni zoezi la wiki moja mpaka mwezi unakuwa unaweza kufanya Body Differentiation. Hiyo formula inakufanya uweze kwenda kwenye sehemu kwa kasi kubwa na baada ya hapo nakufundisha Body Integration.

Hizi hapa ni formula basics za kwanza.
Uchawi unabisha hodi tayari😆😆😆, ww walikuchukua wakakurithisha uchawi ndugu yangu🤣🤣🤣, kama ulikuwa hujui wewe tayari n mchawi, tukienda kwa mganga saiz kuagua tutakukamata wewe😆😆
 
Naanza sasa Virus to Body Integration and Differentiation
Kabla ya kuanza kuelezea formula hii nataka nianze kutoa utangukiza kwanza:-

1. Virus ni viumbe wadogo sana huweze ukawaona kwa macho ya damu na nyama. Virus wamebeba taarifa ndani yao ambayo ni DNA au RNA. Hii elimu ni muhimu sana.

2. Tunatakiwa tujue concept ya Stem Cells kwamba ni Cell ambazo zinaweza kuzalisha cell zingine na zikapata Identification yake.

3. Tunatakiwa kujua Concept ya Body Integration

4. Tunatakiwa kujua Concept ya Bodt Differentiation

5. Inter Universe Travel by Body Identity.

Katika formula hii ya kwanza kutakuwa na mambo hayo matano muhimu tunatakiwa kuyaelewa.
Kwenye hatua ya 5 nitaeleze namna ya kusafiri kwenda sehemu moja.

Kwanza naanza kwa kuwapatia concept hizo.
 
Hii c n bios ya form 5🤫

Ndio naanza sasa ili kuweka uelewa kwa pamoja baadaye sasa nitatoa formula ya Inter Universe Travel.
Maana ninashindwa sasa kufuata mtiririko vizuri. wengine wapo hawaelewi.
Je, Unajua Body Differentiation? au Body Integration.
Hakuna mtu anayejua hayo mambo duniani ni mimi tu pekee ndiye ninayo hiyo formula.
 
We ziweke halafu kuamini na kutoamini tuachie sisi, mara kadhaa nimewaambia watu hawa walioitwa magenious hazikuwa nguvu zao bali walikuwa wakifunuliwa mambo katika ulimwengu wa roho, ila kwa kujikweza au pengine masharti hawakuexpose vyanzo vyao.At least sasa leo tuna mahali pa kuanzia kuliamini hili.
Nipm please
 
Back
Top Bottom