Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,618
- 33,475
Kwahy tuje teragram na buku mkonon utufundishe mkuu
jiandae mkuu...🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwahy tuje teragram na buku mkonon utufundishe mkuu
Wachawi noma sana walikupiga lecture kwa Kiingereza na hawajawahi kusoma [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Naanza sasa Virus to Body Integration and Differentiation
Kabla ya kuanza kuelezea formula hii nataka nianze kutoa utangukiza kwanza:-
1. Virus ni viumbe wadogo sana huweze ukawaona kwa macho ya damu na nyama. Virus wamebeba taarifa ndani yao ambayo ni DNA au RNA. Hii elimu ni muhimu sana.
2. Tunatakiwa tujue concept ya Stem Cells kwamba ni Cell ambazo zinaweza kuzalisha cell zingine na zikapata Identification yake.
3. Tunatakiwa kujua Concept ya Body Integration
4. Tunatakiwa kujua Concept ya Bodt Differentiation
5. Inter Universe Travel by Body Identity.
Katika formula hii ya kwanza kutakuwa na mambo hayo matano muhimu tunatakiwa kuyaelewa.
Kwenye hatua ya 5 nitaeleze namna ya kusafiri kwenda sehemu moja.
Kwanza naanza kwa kuwapatia concept hizo.
Mkuu mm nishaota kabla ya muda kufika na nimeota Tanzania huenda tukagomea matibabu yote ya kibeberu tukarudi kwenye Asili badala ya kutumia Xrays na ctscan tutagundua miale yake inamadhara makubwa tutatumia Ramli kutizama tatizo .na hapo tutaambiwa kununua dawa za mabeberu ni matumizi mabovu ya fedha miti shamba itakua ndio dawa Rasmi[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Mkuu mbona unatuambia mambo ya kusadikika
Ukute mojawapo ni WhatsApp call.Toka 1990 leo ndo unaanza kufundisha hizo formula?
We mumi leta hizo formula acha stori alasivyo nitaharibu uzi..😅Za mida ndugu zangu.
Naona kuna watu wanaanza kutoa maoni yao. Wengine maenza kusema ninawatisha. Ninashukuru kwakuwa mmoja amejaribu kuleta picha za structure ya Insulin.
Ninauhakika anajua structure but hawezi kufanya manufacturing ya kitu hata kimoja.
Watu wengi wamekariri vitu ukiwaletea elimu nyingine wanakuwa wakari. Watu wanakuwa siyo wavumilivu. Nimejaribu tu kuleta insulin genome mtu mwingine amesoma medical analeta insulin structure.
Hapa nilikuwa naongelea genome. Unajua kuwa kuna project ilifayika miaka zaidi ya 5 wanasayansi wanajaribu kusoma genome ya Human!? Project hiyo ilikamilika mwaka 2003!?
Waligundua kuwa genome ya mtu ipo na sequence more than 3 billion.
Genes zilizotambuliwa ni more than 30,000. Sasa mimi najaribu kurahisisha ili watu wapate basics tuweze kwenda mbele.
NAOMBA TUVUMILIANE TU MIMI NIPO KWAAJILI YA KULETA SOLUTION. USITEGEMEE NITAONGELEA ISSUE YA PESA. TUNAMALIZANA HAPA HAPA.
Haya tuendelee...NAENDELEA...
Ninachoomba tuelewane kwanza hiki ninachokifanya ni kuweka msingi wa formula. Je nikiweka formula tu tutaelewa kweli!?
E = Existence
P = Physical experience
R = Realm
S = Source of Nature
SP = Spiritual body
C = Causality
F = Vibration of Void
Katika calculation nitakazozileta nitakuwa natumia hizo letters.
😀😀Utasababisha watu wapasuke vichwa
Ile gnome ya insulin kuna sehemu niliona kwenye research gate , na hainatofauti na uliotuwekea, tuendelee nadhani tuanze na formula ili turudi kufanya proofingZa mida ndugu zangu.
Naona kuna watu wanaanza kutoa maoni yao. Wengine maenza kusema ninawatisha. Ninashukuru kwakuwa mmoja amejaribu kuleta picha za structure ya Insulin.
Ninauhakika anajua structure but hawezi kufanya manufacturing ya kitu hata kimoja.
Watu wengi wamekariri vitu ukiwaletea elimu nyingine wanakuwa wakari. Watu wanakuwa siyo wavumilivu. Nimejaribu tu kuleta insulin genome mtu mwingine amesoma medical analeta insulin structure.
Hapa nilikuwa naongelea genome. Unajua kuwa kuna project ilifayika miaka zaidi ya 5 wanasayansi wanajaribu kusoma genome ya Human!? Project hiyo ilikamilika mwaka 2003!?
Waligundua kuwa genome ya mtu ipo na sequence more than 3 billion.
Genes zilizotambuliwa ni more than 30,000. Sasa mimi najaribu kurahisisha ili watu wapate basics tuweze kwenda mbele.
NAOMBA TUVUMILIANE TU MIMI NIPO KWAAJILI YA KULETA SOLUTION. USITEGEMEE NITAONGELEA ISSUE YA PESA. TUNAMALIZANA HAPA HAPA.
Hao alien ndiyo walikwambia chombo chao kinaitwa UFO? UFO ni kifupi cha Unidentified Flying Object yani Chombo kinachoruka ambacho hakitambuliki. Hata mimi nikikaatisha angani na ungo wangu wakati natoka gamboshi mnaweza mkasema mmeona UFO na siyo lazima kiwe na sifa ulizotaja hapo.mkuu venus unaongea kitu ambacho si rahisi mtu mwenye akili ya kawaida kuelewa...ww ulikutana na alien..na chombo chao kinaitwa ufo, wana technolojia kali sana na wako mbele yetu mno..chombo chao kinatumia electromagnetic na kinatembea speed sana kinakata kona 90 degree na kinaweza kusimama angani..mm nimekiona juzi angani...wanataka sana kutufundisha ila nadhani hofu yao ni kwamba tunaeza kutumia technologia kumalizana...
Mimi ni zaidi ya huyo. Yeye anahangaikia kwenda Mars karibu tu hapa. Mimi naongelea Inter Universe Travel.nadhani formula hizo zingefanya kazi wew ndio ungekuwa Elon Musk saivi
Ebu tupia kapicha mkuu ukiwa sayari za huko mbali kabisa na wanaMimi ni zaidi ya huyo. Yeye anahangaikia kwenda Mars karibu tu hapa. Mimi naongelea Inter Universe Travel.
Mambo yake huyo ni madogo mno. Anawatisha wasiojua.
Mkuu unaniondoa kwenye reli. Yeye mwenyewe hajatupia hata kapicha. Hajui hata mars inaonekanaje. Ni ndoto yake tu.Ebu tupia kapicha mkuu ukiwa sayari za huko mbali kabisa na wana
Sasa wewe si zaidi yake mkuu, ndiyo maana ninakuaminia nikakuomba hata kapicha. Do black holes really exisist? Je black matter mkuu vipi?Mkuu unaniondoa kwenye reli. Yeye mwenyewe hajatupia hata kapicha. Hajui hata mars inaonekanaje. Ni ndoto yake tu.
Anapiga pesa za wamarekani