Jinsi nilivyoongea na viumbe wa ajabu

Jinsi nilivyoongea na viumbe wa ajabu

Huwa na tabia za kwenda mahala patulivu nakaa natafakari mambo mbalimbali ile hali inanipa jinsi ya kuamua jambo hata kama lina ugumu kiasi gani yoote ni kujitafutia solution la maisha yangu mbele au hatima yangu
 
Mili yetu huwa ipo controlled na ubongo. Ukilala sehemu ya ubongo unakuwa haifanyi kazi. Mwili unawekwa katia hali ya paralyze ili kuzuia movement ya mwili.

Unapoamka usiku unajaribu kuudanganya ubongo kuwa umeamka basi sehemu ya ubongo inakuwa katika hali ya kuamka.

Unaporejea kulala, kuna part ya ubongo unauweka mwili katika hali ya kulala na ubongo unaotunza kumbukumbu unakuwa upo active. Kwahiyo matukio yote yanayotokea kwenye nafsi utaanza kuwa unayarecord.

Sasa ukiwa upo macho muda wote utakuwa huja cheat ubongo ili uweze ku access some information.

Naweza nikaishia hapo kwa sasa. Hiki kitendo kinasaidia sana.

Umeelezea vzr sn.. Pls endelea kutufundisha.
 
Haya mambo yanahitaji kufanya kwa vitendo. Tangu ukiwa mdogo umekuwa ukipata taarifa nyingi tu. Hujawahi hata kujitambua who you are.

Nilivokua mdogo nadhani miaka 6-7 hivi, nilikua mara kwa mara najiuliza moyoni "Nimefikaje hapa? (DUNIANI) nimetokea wp? Je, nisingekua hapa (DUNIANI) Ningekua wp? halaf nilikua nikifumba macho kwa nguvu naona km weird Images nashtuka nafumbua macho. Does it mean anything??
 
Sisi tuna milango Sita ya fahamu:-
1. Macho
2. Masikio
3. Pua
4. Ulimi
5. Ngozi
6. Thought

Umapozima milango ya fahamu inakuwa na uwezo wa ku access inner self.
Wakati ukiwa mdogo ulikuwa hujaweka vitu vingi kwenye memory. Kwahiyo inakuwa rahisi ku access your inner self.

Ukiwa mkubwa kuweza kukaa bila kuwaza au kutafakari inakuwa ngumu sana. Maana ndani ya memory kuna mambo mengi sana umehifadhi. Ndio maana sasa tunaanza na somo la throw away memory.
 
Sasa kama lugha mliokuwa mnawasilaina huijui...mlielewana vipi???
 
Mkuu kwa nini unawadanganya watu? DNA structure ya Insulini ina 51 amino acids ambazo zimegawanyika ktk chain A na B. Chaina A ina 21 AA na chain B ina 30 AA.

Hizi formula hazina uhusiano wowote na mtu kuweza kufanya body differentiation & integration.

Sema kwa sababu unaona kuna novice wengi wa haya mambo umeamua kuwakusanya na kuwatishatisha na hivi viformula vya DNA sequence.

Ndio maana kila ukiambiwa ulete formula ya kufanya hizo science ulizofundishwa na hao viumbe unakwepa kwepa kwa kuleta vitu visivyo na uhusiano kabisa.

Hii hapa structure ya insulin[emoji116]

View attachment 1692954

View attachment 1692960
Mkuu unakosoa formula aliyopewa na viumbe vya ajabu vinatumia ndege kama sahani ya kulia ubwabwa??? Seriouse mkuu viumbe vya ajabu unavikosoa ????
 
Sawa ndugu yangu. Mimi ninachokifanya hapa ni kuwasaidia watu kadha wa kadha watakaoona inafaa.

Haya mambo yanahitaji kufanya kwa vitendo. Tangu ukiwa mdogo umekuwa ukipata taarifa nyingi tu. Hujawahi hata kujitambua who you are
How to enter in a spiritual reamls???????
 
Sisi tuna milango Sita ya fahamu:-
1. Macho
2. Masikio
3. Pua
4. Ulimi
5. Ngozi
6. Thought

Umapozima milango ya fahamu inakuwa na uwezo wa ku access inner self.
Wakati ukiwa mdogo ulikuwa hujaweka vitu vingi kwenye memory. Kwahiyo inakuwa rahisi ku access your inner self.

Ukiwa mkubwa kuweza kukaa bila kuwaza au kutafakari inakuwa ngumu sana. Maana ndani ya memory kuna mambo mengi sana umehifadhi. Ndio maana sasa tunaanza na somo la throw away memory.
how?
 
Sasa kama lugha mliokuwa mnawasilaina huijui...mlielewana vipi???

Sisi tupo katika existence ya hiyo spiritual. Hatuingii kinachotakiwa ni awareness. Ndio maana nimeanza kuonesha hatua.
Hatua hiyo ya kuanzia ni THROW AWAY THE MEMORIES.
awareness. iyo tunaifikiaje ukitoa iyo trow away the memory hatua inafuata ni ipi?
 
Ninasema kila wakati kuwa kwa sababu tayari tumeshakuwa na vitu vitu vingi kwenye memory. Hatua ya kwanza ni
THROW AWAY THE MEMORIES. Nimeshaelezea hatua zake. Ni wewe sasa kuanza utekelezaji.
tuambie mlikuwa mnawasilianajee kati yako na hao viumbee?
 
Sisi tuna milango Sita ya fahamu:-
1. Macho
2. Masikio
3. Pua
4. Ulimi
5. Ngozi
6. Thought

Umapozima milango ya fahamu inakuwa na uwezo wa ku access inner self.
Wakati ukiwa mdogo ulikuwa hujaweka vitu vingi kwenye memory. Kwahiyo inakuwa rahisi ku access your inner self.

Ukiwa mkubwa kuweza kukaa bila kuwaza au kutafakari inakuwa ngumu sana. Maana ndani ya memory kuna mambo mengi sana umehifadhi. Ndio maana sasa tunaanza na somo la throw away memory.
Mkuu leo nitaamka saa nane nijaribu
 
Back
Top Bottom