Jinsi nilivyoongea na viumbe wa ajabu

Jinsi nilivyoongea na viumbe wa ajabu

Nawasalimia kwa pamoja ndungu zangu wana JF.
Muda mrefu umepita nimekuwa nikiwaza sana kuhusu jambo hili lililonitokea tarehe 11/9/1990. Kila nikijaribu kumwambia mtu moyo unakataa nahisi kwamba hata nielewa na anaweza akaanza kuniogopa. Kipindi kile nilikuwa nilikuwa nimeingia kidato cha sita shule ya sekondari ya ILBORU nikiwa nasoma masomo ya sayansi.

Leo nimeona niandike humu huenda wapo watu watanielewa maana jambo hili nimekuwa nikiliwaza sana. Siku hiyo wanafunzi wote walikuwa wamelala ilikuwa usiku wa manane. Ghafla usingizi ulikata na nikapata msukumo wa kutoka kwenda nje. Basi nilifanya hivyo. Nikaenda kukaa kwenye mti ambao tulikuwa tunapendelea kukaa ili kupiga soga.

Ghafla nilipigwa mwanga usoni na kitu kilichotokea mbele yangu. Mwili wangu ukawa kama umepigwa shoti ya umeme, nywele zangu zote zikasimama, nikawa na jiona kama nimo ndani ya maji nikielea. Nikasikia sauti ikiniita jina langu J J J mara tatu. Naami nikaitika na kusema naam!!

Viumbe wawili wa ajabu walinisogelea mmoja akanigusa kichwani ndipo nguvu zikanijia. Wakaanza kunena na mimi; ni mambo mengi sana waliongea na mimi, lugha tuliyokuwa tunaongea nao kwakweli mpaka leo hii siwezi kuijua kuwa ni lugha gani. Bali tulikuwa tunaelewana. Walinipatia kanuni kadha wa kadha, ilinichukua muda kuzielewa.

Viumbe hao walinibeba kwenye chombo chao kilikuwa kinafanana na meli ambayo ni ya duara. Tuliondoka mpaka tukafika sehemu. Wakaniambia hapa ndipo chanzo cha nishati, wewe umeweza kuyaona haya tutakufunulia siri nyingi ili uweze kuwapatia wengi wajue ulimwengu huu. Wakasema sisi tunawaona mnahangaika sana elimu na ujuzi wenu bado upo chini sana maana hamuwezi hata kutuona sisi tukija huko. Uwezo wa macho yenu kuona ni mdogo sana, hata masikio yenu hayawezi kutusikia.

Viumbe hao wakanipatia formula mbalimbali na namna nitakavyo wafundisha wengine jinsi ya kujua siri nyingi. Nimejaribu kuzitumia formula kadha wa kadha naona zinafanya kazi.

Ninajitolea sasa kuanza kuwafundisha watu watakaokuwa tayari.

Kama kuna mtu mwenye swali karibu sana.
Bila shaka utakuwa umekuwa mganga wa kienyeji maana hizo ndo stori zenyewe
 
Mkuu ni wachache wana ufahamu na Mambo haya binafsi ilinitikea juzi ila tofauti kidogo na yako na nilielewa kila kitu.
Sijawah kuhadithia yeyote Kwa sababu hata ningesema hakuna na mwenye uelewa na mambo haya,hivyo nakushauri toa somo watakaochukua points wachukue watakao dharau KAZI kwao
Kwani hii dunia nilikuja na mtu????
 
Haya mambo ndo Dunia yenyewe. Hayaja wahi kuwa rahis. kuna nchi haya yanafundishwa darasani, Lakin ss wengi wetu inch za Africa wengi watakuona kichaa mpyaa.
Venus Star na PM yake kafungaa. Ebu ww adisia hapa tunao elewa tupo ondoa shaka
 
Mkuu ni wachache wana ufahamu na Mambo haya binafsi ilinitikea juzi ila tofauti kidogo na yako na nilielewa kila kitu.
Sijawah kuhadithia yeyote Kwa sababu hata ningesema hakuna na mwenye uelewa na mambo haya,hivyo nakushauri toa somo watakaochukua points wachukue watakao dharau KAZI kwao
Kwani hii dunia nilikuja na mtu????
Hadithia na wewe tupate kujifunza,mtoa mada kashaitelekeza thread yake
 
Kwanza kabisa maumbo yao kwakweli ni tofuati na sisi. Ni vigumu kuelezea maana hakuna kitu cha kufananisha nichowahi kukiona hapa duniani. Yaani kwa kifupi ni tofauti kabisa na sisi.

Kuhusu jana maelezo yake sitayatoa kwa sasa. Naomba nitakuja niyatoe baadae.

Mimi binafsi najua kuwa wahindu, wakristo, waislam, wachawi, wapagani nk, lengo lao ni moja kuwa wanataka watambue kitu wasichokitambua. Njia wanazotumia mara nyingi wanafanya kwa kupapasa papasa wapo kama vipofu.

USIOGOPE ukijua knowdge hiyo utakuwa umejua kuwa wanapoongelea kufa wana maana gani. Utakuwa unaona na siyo kupapasa. Kwahiyo kifo itakuwa siyo topic tena ya kuongelea, maana utajua kifo is just an illusion.

Nakukaribisha muda wote, nitakujibu.
Kifo is just an illusion kivipi mkuu??nijibu now,
Uko mbele nasahau ili swali
 
important thing you should know from now is we are not alone and probably we are weakest species
How many species are in the universe? Doest it mean this small observable part of the universe is occupied by different species that can't be visible by our naked eyes? What about them seeing us? What about God and angels? Are they among those species you're talking about?
Maswali ni mengi mkuu, tuanze na hayo kwa knowledge yako tafadhali
 
Sio uliota mkuu? Kuna wengine wanaota mpaka wanatembea. Ukitaka kuamini ni ndoto nenda kwenye hicho chanzo cha nishati.
 
How many species are in the universe? Doest it mean this small observable part of the universe is occupied by different species that can't be visible by our naked eyes? What about them seeing us? What about God and angels? Are they among those species you're talking about?
Maswali ni mengi mkuu, tuanze na hayo kwa knowledge yako tafadhali
Kuna uwezekano kila dimension ina viumbe wake. kiumbe amabe yupo dimension 5 anaweza kuwaona walioko dimension ya 4. ya 4 kuwaona ya 5 si rahis. God is point of singulality. the universe is the refrection of God its God. dimension are stady for the levels of understanding and based single law response.
 
Kwahiyo God The Regulator, the extreme power of all yawezekana yupo kwenye 5th dimension?
Naitamani elimu ya kuweza kuexperience dimension nyingine tofauti na hii tuliyopo sisi. Looks like a weakest one😭
 
Kumuona mungu unatakiwa uwe kwenye dimesion kibwa zid yake so haiwezekani. That dimension is God. God is energy that started as the vibration of the single point go bigger and bigger until now it keep expanding that all is God thus why when a person is in high dimension utajiona kama ww ni mungu utajiogopa mwenyewe because at that point all is knowing and all is correct.

Mungu hayupo Dimension ya 5 wala ya 4 there is only one True dimension other are illusion the True one is God The sourse( almighty ) True Mind connected all
 
Mkuu hebu tupe darasa vizuri,unaonakeana uko nondo.
 
Back
Top Bottom