Jinsi nilivyoongea na viumbe wa ajabu

Jinsi nilivyoongea na viumbe wa ajabu

Nakuomba uweke alarm toka kwenye simu yako ili uweze kuamka saa nane kisha ukae nusu saa sehemu Fulani kisha rudi kulala.

Zoezi hilo ni hatua ya kwanza. I am serious. Then hatua moja baada ya nyingine tutaendelea kuelezana.
Marejesho hapa sisi ndio tunayatoa au wewe ndio unayatoa ?
 
Chakra, meditation na kama hayo. This thread ndio inapoelekea..... Rakims your mate is here
anautofsuti kidogo anasema kwenye spiritula realms hatuitaji kuingia kwa sababu ss tupo kwenye hiyo realm. Yani nashidwa kumuelewa kama anakuja kuja kama kama ana potea yan simuelewi.
 
anautofsuti kidogo anasema kwenye spiritula realms hatuitaji kuingia kwa sababu ss tupo kwenye hiyo realm. Yani nashidwa kumuelewa kama anakuja kuja kama kama ana potea yan simuelewi.
Meditation itahusika tu mkuu.
 
Sisi tuna milango Sita ya fahamu:-
1. Macho
2. Masikio
3. Pua
4. Ulimi
5. Ngozi
6. Thought

Umapozima milango ya fahamu inakuwa na uwezo wa ku access inner self.
Wakati ukiwa mdogo ulikuwa hujaweka vitu vingi kwenye memory. Kwahiyo inakuwa rahisi ku access your inner self.

Ukiwa mkubwa kuweza kukaa bila kuwaza au kutafakari inakuwa ngumu sana. Maana ndani ya memory kuna mambo mengi sana umehifadhi. Ndio maana sasa tunaanza na somo la throw away memory.
Tunayo saba. Ongeza na "instinct". Unanyanyuka sehemu ile unatoka tu linaanguka pale bonge la tofali na kukukosakosa kichwani
 
Tunayo saba. Ongeza na "instinct". Unanyanyuka sehemu ile unatoka tu linaanguka pale bonge la tofali na kukukosakosa kichwani
Nyie ndio mnatia watu hasira wanaanza kuususa uzi wao, hahaha hiyo saa saba kali mno mkuu
 
Nyie ndio mnatia watu hasira wanaanza kuususa uzi wao, hahaha hiyo saa saba kali mno mkuu
Hiyo ya saba huwa hatuitumii sana na ni kwa sababu ya kukosa guidance sahihi kutoka kwa Mungu na hivyo kupelekea wakati mwingine tunaangamia pasipo kuwa na ulazima wowote. Kwa mfano, unafika sehemu ile unafika tu, linadondoka tofali na kukuangukia kichwani. Instinct ilitakiwa iku-guide usiende pale, au uende pale halafu utoke kabla tofali halijaanguka
 
Jana nimeota wameni ibia vitu vyangu vyote ndani nikaenda kwa mjumbe hivi muhuni muhuni amenivalia mzura kumwambia akawa ananicheka harafu akaniambia nitaje list ya vilivyoibiwa ni kataja huku akiwa anaandika chini sio kwenye karatasi baadae akaniambia niende tu nitavipata nikabaki nashangaa yaani kama kweli kumbe kuamka kila kitu Kiko safe ndoto zingine bhana[emoji849]
 
Nawasalimia kwa pamoja ndungu zangu wana JF.
Muda mrefu umepita nimekuwa nikiwaza sana kuhusu jambo hili lililonitokea tarehe 11/9/1990. Kila nikijaribu kumwambia mtu moyo unakataa nahisi kwamba hata nielewa na anaweza akaanza kuniogopa. Kipindi kile nilikuwa nilikuwa nimeingia kidato cha sita shule ya sekondari ya ILBORU nikiwa nasoma masomo ya sayansi.

Leo nimeona niandike humu huenda wapo watu watanielewa maana jambo hili nimekuwa nikiliwaza sana. Siku hiyo wanafunzi wote walikuwa wamelala ilikuwa usiku wa manane. Ghafla usingizi ulikata na nikapata msukumo wa kutoka kwenda nje. Basi nilifanya hivyo. Nikaenda kukaa kwenye mti ambao tulikuwa tunapendelea kukaa ili kupiga soga.

Ghafla nilipigwa mwanga usoni na kitu kilichotokea mbele yangu. Mwili wangu ukawa kama umepigwa shoti ya umeme, nywele zangu zote zikasimama, nikawa na jiona kama nimo ndani ya maji nikielea. Nikasikia sauti ikiniita jina langu J J J mara tatu. Naami nikaitika na kusema naam!!

Viumbe wawili wa ajabu walinisogelea mmoja akanigusa kichwani ndipo nguvu zikanijia. Wakaanza kunena na mimi; ni mambo mengi sana waliongea na mimi, lugha tuliyokuwa tunaongea nao kwakweli mpaka leo hii siwezi kuijua kuwa ni lugha gani. Bali tulikuwa tunaelewana. Walinipatia kanuni kadha wa kadha, ilinichukua muda kuzielewa.

Viumbe hao walinibeba kwenye chombo chao kilikuwa kinafanana na meli ambayo ni ya duara. Tuliondoka mpaka tukafika sehemu. Wakaniambia hapa ndipo chanzo cha nishati, wewe umeweza kuyaona haya tutakufunulia siri nyingi ili uweze kuwapatia wengi wajue ulimwengu huu. Wakasema sisi tunawaona mnahangaika sana elimu na ujuzi wenu bado upo chini sana maana hamuwezi hata kutuona sisi tukija huko. Uwezo wa macho yenu kuona ni mdogo sana, hata masikio yenu hayawezi kutusikia.

Viumbe hao wakanipatia formula mbalimbali na namna nitakavyo wafundisha wengine jinsi ya kujua siri nyingi. Nimejaribu kuzitumia formula kadha wa kadha naona zinafanya kazi.

Ninajitolea sasa kuanza kuwafundisha watu watakaokuwa tayari.

Kama kuna mtu mwenye swali karibu sana.
Mkuu natamaji uendelee kufundisha Maana nahisi naanza kupata kitu..
 
Back
Top Bottom