Jinsi nilivyoongea na viumbe wa ajabu

Jinsi nilivyoongea na viumbe wa ajabu

Tatizo unakariri vitu. Nimekuonesha sequence ya insulin umekataa. Sijui kama unajua issue za genome. Ninakusihi utulie utajifunza mengi.
Ungeendelea mkuu, unavyoleta bandiko lako ambalo umeanza kulitokea leo toka 1990, lakn bado unasua sua hata ambao wanakuamini wataanza kutafuta vitafunwa..
 
Okay, siti ya mbele nimekaa
Unanibadili siti yangu hiv hiv mkuu🤔🤔🤔, si nilienda hapo uani mara moja jamani🤪🤪, na wewe kabisa nilikuona umekaa kule backbench🤣🤣🤣🤣🤣
 
Unanibadili siti yangu hiv hiv mkuu[emoji848][emoji848][emoji848], si nilienda hapo uani mara moja jamani[emoji2957][emoji2957], na wewe kabisa nilikuona umekaa kule backbench[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] tubanane tu kwa muda, kule nyuma sitosikia vizuri..
 
Watu wanauliza sana kuhusu money.
Guys earning money ni matokeo ya matumizi ya formula.

Utakapojua jinsi dunia inavyo operate utajua Physical Energy and Spiritual Energy.

Let say umeshajua spiritual energy utaweza kutumia dark or white power. Ni wewe uchaguzi wako.
Vivyo hivyo kwenye money. Money ni matokeo ya kutokana na maarifa.

Kama mtu ni mjinga hawezi akajua namna ya Kupata pesha.
kabisa earning money ni ufahamu na namna akili yako umeituliza huwezi kuwa na hela nyingi kama huna ufahamu wa kitu na akili kama haita tulia

naungana na wewe ila yote ita depend na energy unayoji recharge na hiyo energy ita work na mindset yako kwahiyo inahitaji akili shupavu na yenye nguvu
 
Back
Top Bottom