Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 7,005
- 9,263
Mitano tena
Umeletewa taarifa?Za mchana jamani.
Msinione nimekaa kimya, jana usiku kama mida ya saa saba hivi nililetewa taarifa kuwa niwafundishe kwanza Spiritual Self Realization kabla ya kuendelea. Nimeambiwa kuwa bado kuna watu humu wanaishi katika ujima, kwamba itakuwa ngumu kuelewa hilo somo maana lipo juu ya uelewa wa kawaida.
Hatua 9 za Spiritual Self Realization
- Self-Awareness
- Self-Exploration
- Self-Discovery
- Self-Understanding
- Self-Love
- Self-Transformation
- Self-Mastery
- Self-Transcendence
- Self-Realization
Ndugu yangu ndio maana nikasema niweze kuwafundisha hili jambo huenda tukipiga hatua tunaweza kuelewana hata nikianza kuongea kwa code utanielewa.Umeletewa taarifa?
Na nani?
Ujima? How?
Elewa nilichomaanisha kwanza sio unarukia rukia tu.Umeshajua ni formula gani au mihemko tu, kama ni formula ya kuwa mchawi na wewe unataka kuwa mchawi, wa bongo banah ni warahisi sana kuaminishwa ndiyo maana wanasiasa wanatudanganya kila siku na tunawapa tena kura zetu hata kama hawafanyi vizuri,
we jamaa we umu utatuonajee! asee shusha mzigoo tuone vitu sio kuhama hama. sasa naona umehamia kwenye awakening formula umeziacha tena unanishangaza.Ndugu yangu ndio maana nikasema niweze kuwafundisha hili jambo huenda tukipiga hatua tunaweza kuelewana hata nikianza kuongea kwa code utanielewa.
Kweli ninasikitika sana. Maana kuna mambo mengi makubwa mno. Ninauhakika tukifanya wote kwa pamoja tutafanikiwa.
Sema mwamba unazunguka Sana.Ndugu yangu ndio maana nikasema niweze kuwafundisha hili jambo huenda tukipiga hatua tunaweza kuelewana hata nikianza kuongea kwa code utanielewa.
Kweli ninasikitika sana. Maana kuna mambo mengi makubwa mno. Ninauhakika tukifanya wote kwa pamoja tutafanikiwa.
Hapa kidogo nimeanza kuelewaCAUSALITY
Ili tuweze kwenda ndani zaidi na tuweze kuelewa formula niliyoiweka ni muhimu tukajua causality jinsi ilivyo.
Kwanza kabisa napenda kuongelea kuhusu milango ya fahamu na namna inavyo athili hii formula na hatimaye kuathili genome.
MEMORY
Kwenye miili yetu kuna memory za aina mbili:
Kwa wale wanaotumia computer wanaweza kuelewa ninachoongelea. Kwenye computer kuna taarifa zinakuwa zinehifadhiwa kwenye HDD, ROM na RAM. Vivyo hivyo kwenye miili yetu kuna taarifa ambazo huhifadhiwa maeneo tofauti tofatu.
- Brain Memory
- DNA Memory
Taarifa hizo zinaweza kuongezwa, kufutwa au kubadilishwa. Hatua hiyo inategemea taarifa hizo zinazofutwa au kuongezewa zinakuwa na umuhimu gani.
DNA Memory
Hizi ni taarifa zinazohifadhiwa na zinaweza kupitishwa kutoka kizazi kimoja kwenda kizazi kingine. Hizi taarifa zinakuwa zimehifaziwa na kama ninavotendelea kuongea kuhusu genome.
Matukio mbalimbali yanayotokea yanaweza kuathili genes na kufanya zipite mpaka kwa kizazi kinachokuja.
Kuna vitu vingi vinaweza vikaathili kufanya information ziweze kupelekwa mpaka kwenye kizazi kingine vitu hivyo:-
Vitu hivyo vinaweza kuathili taarifa zinazohifadhiwa kwenye genome na kufanya zipitishwe toka kizazi kimoja kwenda kwenye kizazi kingine.
- Tamaduni
- Hali ya hewa
- Aina ya vyakula
- Mazoea ya tabia fulani
- Mlipuko wa magonjwa
Ikitokea utajijegea tamaduni ambazo zinakuwa na negative impact kwako; siku baada ya siku itasababisha modification kwenye genome sequence. Ukifanya kitu mfululizo kwa muda wa siku 7 utajenga mazoea na mazoea yakikomaa itakuwa tabia na hiyo tabia ikiendelea kuwepo itasababisha modification kwenye genome na ukitokea ukazaa mtoto baada ya tabia hiyo uwezekano wa mtoto kuwa na tabia hiyo ni 50%.
Wazungu wameweza kweli kutuathili sisi waafrika katika suala hili na limeweza kupita kwenye vizazi vyetu. Wametuzoeza kuwa tegemezi kwao; sasa inakuwa ngumu sana kwetu sisi watu weusi kuweza kufanya mambo kwa kujiamulia sisi maana ipo kwenye DNA zetu. Kinachotakiwa ni kuanza kufanya mazoezi ya kujitegemea na kuwa wewe na ndipo tutazalisha kizazi cha watu wenye uelewa mkubwa.
NInajaribu kuongea kwa kifupi ili tuweze kujua causality namna gani inavyofanya. Pale tutakavyo improve causality positively tunaongeza uwezo wa Physical Experience. Lakini causality pekee haiwezi kukamilisha hicho maana lazima factors zote tatu ziende kwa pamoja. Causality ikiwa negative inapunguza P.
BRAIN MEMORY
Brain memory imegawanyika katika makundi mawili.
Sitaki niongelee sana kuhusu hili swala, maana watu wengi tunalijua. Lakini ninachotaka kuongelea hapa ni mambo mawili:
- Temporary memory
- Permanent memory
Ninataka niongelee masuala haya katika context hii ya causality. Kwahiyo sasa Intellectual ni speed ya kuchukua taarifa kutoka kwenye memory na kuziweka wazi. Intelligence ni uwezo wa kuafuta namna ya kuzitumia taarifa zilizohifadhiwa kwenye memory.
- Intellectual
- Intelligence
Katika Context hii tunaweza kujifunza mambo yote haya mawili namna ya ku improve na kufanya causality iweze kuongezeka.
Inatakiwa kujua ni taarifa gani tunazozihifadhi kwenye Brain. Kama ni taarifa negative kwahiyo kitakacho tokea ni kupata taarifa za namna hiyo.
Kuna milango sita ya fahamu: -
Hii milango ya fahamu tunatakiwa kuitumia vizuri maana vinaigiza taarifa kwenye brain na zingine zinahifadhiwa permanently. Mtu akijizoeza kuingiza kwenye brain vitu vibaya automatically vitu hivyo vinaweza vikaathili namna ya anvyoishi.
- Macho
- Masikio
- Ulimi
- Ngozi
- Pua
- Fikra(Thought)
Hata katika hili wazungu wamefanya kitu kikubwa katika kuhakikisha wanatufanya tuathilike katika matukio ya kila siku.
Mfano: Mtu anapokuwa mpenzi sana wa mpira always atakuwa amehifadhi mambo hayo.
Jinsi ya kuweza kujitibu sisi wenyewe ni kuanza kujizoesha kufanya vitu vingine vinavyokuwa na positive. Nitapo anza kuongelea SP nitagusia haya maana SP nayo kwa sehemu huwa inatumia milango ya fahamu. Nitaongelea namna ya kuodoa negative data zilizohifadhiwa kwenye ubongo.
Sasa basi ninapoongelea causality ninaogelea physical activities vinavyoathili mwenendo wa Maisha.
NITAENDELEA…
Duh hapa kazi ipo hapa, hii ni mshana jr in scientifico explanados...Ndugu yangu ndio maana nikasema niweze kuwafundisha hili jambo huenda tukipiga hatua tunaweza kuelewana hata nikianza kuongea kwa code utanielewa.
Kweli ninasikitika sana. Maana kuna mambo mengi makubwa mno. Ninauhakika tukifanya wote kwa pamoja tutafanikiwa.
Kwanza kabisa maumbo yao kwakweli ni tofuati na sisi. Ni vigumu kuelezea maana hakuna kitu cha kufananisha nichowahi kukiona hapa duniani. Yaani kwa kifupi ni tofauti kabisa na sisi.1.maumbo ya hao jamaa (ni kama binadamu au Wana disfigured bodies)
Kuhusu jana maelezo yake sitayatoa kwa sasa. Naomba nitakuja niyatoe baadae.Ukasema language mliyoongea hata wewe hujui but mlielewana je jana Walivyokupa info ya pindi gani utupige walikuwa wanaongea the same language?
Mimi binafsi najua kuwa wahindu, wakristo, waislam, wachawi, wapagani nk, lengo lao ni moja kuwa wanataka watambue kitu wasichokitambua. Njia wanazotumia mara nyingi wanafanya kwa kupapasa papasa wapo kama vipofu.You are talking about spiritual stuff kama mediation the way wahindu/wahindi hufanya. Je sio labda hao jamaa wanarelate Na hao jamaa wa Asia au ni Miungu yao... Coz sidhani kama sisi Africans Tuna hiyo kitu ya meditation. So are they too worship something somewhere???
USIOGOPE ukijua knowdge hiyo utakuwa umejua kuwa wanapoongelea kufa wana maana gani. Utakuwa unaona na siyo kupapasa. Kwahiyo kifo itakuwa siyo topic tena ya kuongelea, maana utajua kifo is just an illusion.They see us but they are scared that if tukijua knowledge waliyonayo basi tutauana Sana. And somehow wamekwambia utupe ufunuo wa hayo mambo. Je una uhakika gani kuwa hatutatumia vibaya kama jamaa walivyokwambia mwanzo.
Nakukaribisha muda wote, nitakujibu.5.....litakuja kutokana na majibu yako.
Za mchana jamani.
Msinione nimekaa kimya, jana usiku kama mida ya saa saba hivi nililetewa taarifa kuwa niwafundishe kwanza Spiritual Self Realization kabla ya kuendelea. Nimeambiwa kuwa bado kuna watu humu wanaishi katika ujima, kwamba itakuwa ngumu kuelewa hilo somo maana lipo juu ya uelewa wa kawaida.
Hatua 9 za Spiritual Self Realization
- Self-Awareness
- Self-Exploration
- Self-Discovery
- Self-Understanding
- Self-Love
- Self-Transformation
- Self-Mastery
- Self-Transcendence
- Self-Realization