Jinsi nilivyoongea na viumbe wa ajabu

Jinsi nilivyoongea na viumbe wa ajabu

Tusiyoyafahamu sisi huoneka ni mambo ya kusaidikika kweli. Ngoja tuone ataishia wapi maana viumbe wamemfundisha ambayo sisi hatuyafahamu na tunapata shida sana.[emoji38][emoji38]

Yani wachawi wameanza lini kutumia uchawi wa kisayansi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
P = (R0+C)* SP
Hii formula inatumika kuleta matokea katika maisha yetu ya kila siku.

Maishs yetu ya kila siku yanakuwa affected na energy ambayo inatokana na jua. Kwa hatua hii tunaweza kusema hatuwezi kubadili chochote.

Ndio maana nikasema R0 is constant.
Kuna C ambayo ninesema ni Causality.
Nimejaribu kuongelea genome kwamba imebeba genes zote.
Zipo genes zaidi ya 30,000 kwa binadamu.
Sasa Causality ni activities zote zinazoleta positive au negative results kwenye genome.

Activities hizo zinaweza kusababiswa na enzymes au external activities zinazo insert, delete au change sequences kwenye genome.

SP inahusika na spiritual body ambayo inaweza kuwa weak au strong. Ninaposema weak au strong Nina maana ya namna inavyo jidhihilisha.
Kwahiyo tunaweza kuifanya iweze Kujidhilisha by induction.

Zipo process kadha wa kadha mfano chanting, meditation etc.

NITAENDELEA....
Usiweke vipande vipande, gonga nzima
 
Huo ni ulozi hamna science yoyote hapo.

Yani uamke saa nane ukae kwa dakika kadhaa kisha urudi kulala eti utaota?[emoji851]

Wakati wengine tumezaliwa vijijini mida hiyo lazima tuamke kuangalia usalama wa mifugo huko nje na hatujawahi kuexperience anything special[emoji23]
Ila mkuu sio kila kitu ambacho science haijakizungumzia/imeshindwa kukielezea ni ulozi.. kwa ufupi ni kwamba science yetu bado ipo nyuma kwenye mambo mengi na ndio maana kila siku kitu kipya kinagunduliwa kwenye ulimwengu wa science, haimaanishi vinavyo gunduliwa havikuwepo Ila ni kwamba vilikuwepo lakini havikuweza kueleweka au kutambulika kwenye ulimwengu wa science.
 
Nawasalimia kwa pamoja ndungu zangu wana JF.
Muda mrefu umepita nimekuwa nikiwaza sana kuhusu jambo hili lililonitokea tarehe 11/9/1990. Kila nikijaribu kumwambia mtu moyo unakataa nahisi kwamba hata nielewa na anaweza akaanza kuniogopa. Kipindi kile nilikuwa nilikuwa nimeingia kidato cha sita shule ya sekondari ya ILBORU nikiwa nasoma masomo ya sayansi.

Leo nimeona niandike humu huenda wapo watu watanielewa maana jambo hili nimekuwa nikiliwaza sana. Siku hiyo wanafunzi wote walikuwa wamelala ilikuwa usiku wa manane. Ghafla usingizi ulikata na nikapata msukumo wa kutoka kwenda nje. Basi nilifanya hivyo. Nikaenda kukaa kwenye mti ambao tulikuwa tunapendelea kukaa ili kupiga soga.

Ghafla nilipigwa mwanga usoni na kitu kilichotokea mbele yangu. Mwili wangu ukawa kama umepigwa shoti ya umeme, nywele zangu zote zikasimama, nikawa na jiona kama nimo ndani ya maji nikielea. Nikasikia sauti ikiniita jina langu J J J mara tatu. Naami nikaitika na kusema naam!!

Viumbe wawili wa ajabu walinisogelea mmoja akanigusa kichwani ndipo nguvu zikanijia. Wakaanza kunena na mimi; ni mambo mengi sana waliongea na mimi, lugha tuliyokuwa tunaongea nao kwakweli mpaka leo hii siwezi kuijua kuwa ni lugha gani. Bali tulikuwa tunaelewana. Walinipatia kanuni kadha wa kadha, ilinichukua muda kuzielewa.

Viumbe hao walinibeba kwenye chombo chao kilikuwa kinafanana na meli ambayo ni ya duara. Tuliondoka mpaka tukafika sehemu. Wakaniambia hapa ndipo chanzo cha nishati, wewe umeweza kuyaona haya tutakufunulia siri nyingi ili uweze kuwapatia wengi wajue ulimwengu huu. Wakasema sisi tunawaona mnahangaika sana elimu na ujuzi wenu bado upo chini sana maana hamuwezi hata kutuona sisi tukija huko. Uwezo wa macho yenu kuona ni mdogo sana, hata masikio yenu hayawezi kutusikia.

Viumbe hao wakanipatia formula mbalimbali na namna nitakavyo wafundisha wengine jinsi ya kujua siri nyingi. Nimejaribu kuzitumia formula kadha wa kadha naona zinafanya kazi.

Ninajitolea sasa kuanza kuwafundisha watu watakaokuwa tayari.

Kama kuna mtu mwenye swali karibu sana.
mkuu mwaka 90 mpaka leo una mbwela tu hujapiga hela na hiyo miji fomula? au ushawauzia warusi ukakamata mkwanja mrefu...
 
Bado nachungulia huku natafuna formula ya
P=(RO+C)*SP
Taratibu
 
Na formula ya how to earn money fast and easy in simple way .Hao viumbe walivyokufundisha that's all
 
Watu wanauliza sana kuhusu money.
Guys earning money ni matokeo ya matumizi ya formula.

Utakapojua jinsi dunia inavyo operate utajua Physical Energy and Spiritual Energy.

Let say umeshajua spiritual energy utaweza kutumia dark or white power. Ni wewe uchaguzi wako.
Vivyo hivyo kwenye money. Money ni matokeo ya kutokana na maarifa.

Kama mtu ni mjinga hawezi akajua namna ya Kupata pesha.
 
Mkuu ulimwengu una siri zake, tunamfahamu Elon Musk kwa utajiri na kampuni kubwa zinazoonekana kwa macho unajua nyuma ya pazia ni jitihada zipi anazofanya kukamilisha project zake??

Tofauti na hayo kiuhalisia kuna watu humuhumu kwetu Tanzania wenye uwezo mkubwa na waliojaaliwa vipaji vya ubunifu ila hatuwaoni kwasababu moja kuu NCHI YETU HAINA WATU WENYE UWEZO MZURI KATIKA KUTAMBUA POTENTIAS ZA WATU NA KUWATUMIA IPASAVYO na ndiyo maana baadhi huwa wanaenda kuishi maisha yao mbele ili kutumia vipaji vyao vizuri.

Vijana wana ujuzi wa kutengeneza silaha, na wengine helicopter ila wote wako wapi??

Wanbaki kuongelewa kwenye vyombo vya habari na kupata interviews kazi imeisha.

Mazingira yanayokuzunguka huwa na mchango mkubwa katika kufanikiwa.

Ulimwengu wa kiroho ndiyo kila kitu uanzia, chochote unachokiona kilianzia kwenye ulimwengu wa kiroho (giza au nuru).

Mtoa mada anacho kitu.

Na pia kila mtu anayo siri ya maisha yake ambayo hawezi kukuelezea hata siku moja.

Mfano mzuri huwezi wahoji kampuni ya coca cola kisha ukawauliza formula ya product yao. HAWATOKUAMBIA

Ulimwengu una siri zake.
Mkuu ulimwengu una siri zake, tunamfahamu Elon Musk kwa utajiri na kampuni kubwa zinazoonekana kwa macho unajua nyuma ya pazia ni jitihada zipi anazofanya kukamilisha project zake??

Tofauti na hayo kiuhalisia kuna watu humuhumu kwetu Tanzania wenye uwezo mkubwa na waliojaaliwa vipaji vya ubunifu ila hatuwaoni kwasababu moja kuu NCHI YETU HAINA WATU WENYE UWEZO MZURI KATIKA KUTAMBUA POTENTIAS ZA WATU NA KUWATUMIA IPASAVYO na ndiyo maana baadhi huwa wanaenda kuishi maisha yao mbele ili kutumia vipaji vyao vizuri.

Vijana wana ujuzi wa kutengeneza silaha, na wengine helicopter ila wote wako wapi??

Wanbaki kuongelewa kwenye vyombo vya habari na kupata interviews kazi imeisha.

Mazingira yanayokuzunguka huwa na mchango mkubwa katika kufanikiwa.

Ulimwengu wa kiroho ndiyo kila kitu uanzia, chochote unachokiona kilianzia kwenye ulimwengu wa kiroho (giza au nuru).

Mtoa mada anacho kitu.

Na pia kila mtu anayo siri ya maisha yake ambayo hawezi kukuelezea hata siku moja.

Mfano mzuri huwezi wahoji kampuni ya coca cola kisha ukawauliza formula ya product yao. HAWATOKUAMBIA

Ulimwengu una siri zake.
sawa huyu bwana Venus Star anaenda hadi universe mi naona ni wakati wake wa kufikia level za kina Elon ,awe icon yetu na sisi au unasemaje mkuu🤷‍♂️
 
CAUSALITY

Ili tuweze kwenda ndani zaidi na tuweze kuelewa formula niliyoiweka ni muhimu tukajua causality jinsi ilivyo.

Kwanza kabisa napenda kuongelea kuhusu milango ya fahamu na namna inavyo athili hii formula na hatimaye kuathili genome.

MEMORY

Kwenye miili yetu kuna memory za aina mbili:

  • Brain Memory
  • DNA Memory
Kwa wale wanaotumia computer wanaweza kuelewa ninachoongelea. Kwenye computer kuna taarifa zinakuwa zinehifadhiwa kwenye HDD, ROM na RAM. Vivyo hivyo kwenye miili yetu kuna taarifa ambazo huhifadhiwa maeneo tofauti tofatu.

Taarifa hizo zinaweza kuongezwa, kufutwa au kubadilishwa. Hatua hiyo inategemea taarifa hizo zinazofutwa au kuongezewa zinakuwa na umuhimu gani.

DNA Memory

Hizi ni taarifa zinazohifadhiwa na zinaweza kupitishwa kutoka kizazi kimoja kwenda kizazi kingine. Hizi taarifa zinakuwa zimehifaziwa na kama ninavotendelea kuongea kuhusu genome.

Matukio mbalimbali yanayotokea yanaweza kuathili genes na kufanya zipite mpaka kwa kizazi kinachokuja.

Kuna vitu vingi vinaweza vikaathili kufanya information ziweze kupelekwa mpaka kwenye kizazi kingine vitu hivyo:-

  • Tamaduni
  • Hali ya hewa
  • Aina ya vyakula
  • Mazoea ya tabia fulani
  • Mlipuko wa magonjwa
Vitu hivyo vinaweza kuathili taarifa zinazohifadhiwa kwenye genome na kufanya zipitishwe toka kizazi kimoja kwenda kwenye kizazi kingine.

Ikitokea utajijegea tamaduni ambazo zinakuwa na negative impact kwako; siku baada ya siku itasababisha modification kwenye genome sequence. Ukifanya kitu mfululizo kwa muda wa siku 7 utajenga mazoea na mazoea yakikomaa itakuwa tabia na hiyo tabia ikiendelea kuwepo itasababisha modification kwenye genome na ukitokea ukazaa mtoto baada ya tabia hiyo uwezekano wa mtoto kuwa na tabia hiyo ni 50%.

Wazungu wameweza kweli kutuathili sisi waafrika katika suala hili na limeweza kupita kwenye vizazi vyetu. Wametuzoeza kuwa tegemezi kwao; sasa inakuwa ngumu sana kwetu sisi watu weusi kuweza kufanya mambo kwa kujiamulia sisi maana ipo kwenye DNA zetu. Kinachotakiwa ni kuanza kufanya mazoezi ya kujitegemea na kuwa wewe na ndipo tutazalisha kizazi cha watu wenye uelewa mkubwa.

NInajaribu kuongea kwa kifupi ili tuweze kujua causality namna gani inavyofanya. Pale tutakavyo improve causality positively tunaongeza uwezo wa Physical Experience. Lakini causality pekee haiwezi kukamilisha hicho maana lazima factors zote tatu ziende kwa pamoja. Causality ikiwa negative inapunguza P.

BRAIN MEMORY

Brain memory imegawanyika katika makundi mawili.

  • Temporary memory
  • Permanent memory
Sitaki niongelee sana kuhusu hili swala, maana watu wengi tunalijua. Lakini ninachotaka kuongelea hapa ni mambo mawili:

  • Intellectual
  • Intelligence
Ninataka niongelee masuala haya katika context hii ya causality. Kwahiyo sasa Intellectual ni speed ya kuchukua taarifa kutoka kwenye memory na kuziweka wazi. Intelligence ni uwezo wa kuafuta namna ya kuzitumia taarifa zilizohifadhiwa kwenye memory.

Katika Context hii tunaweza kujifunza mambo yote haya mawili namna ya ku improve na kufanya causality iweze kuongezeka.

Inatakiwa kujua ni taarifa gani tunazozihifadhi kwenye Brain. Kama ni taarifa negative kwahiyo kitakacho tokea ni kupata taarifa za namna hiyo.

Kuna milango sita ya fahamu: -

  • Macho
  • Masikio
  • Ulimi
  • Ngozi
  • Pua
  • Fikra(Thought)
Hii milango ya fahamu tunatakiwa kuitumia vizuri maana vinaigiza taarifa kwenye brain na zingine zinahifadhiwa permanently. Mtu akijizoeza kuingiza kwenye brain vitu vibaya automatically vitu hivyo vinaweza vikaathili namna ya anvyoishi.

Hata katika hili wazungu wamefanya kitu kikubwa katika kuhakikisha wanatufanya tuathilike katika matukio ya kila siku.

Mfano: Mtu anapokuwa mpenzi sana wa mpira always atakuwa amehifadhi mambo hayo.

Jinsi ya kuweza kujitibu sisi wenyewe ni kuanza kujizoesha kufanya vitu vingine vinavyokuwa na positive. Nitapo anza kuongelea SP nitagusia haya maana SP nayo kwa sehemu huwa inatumia milango ya fahamu. Nitaongelea namna ya kuodoa negative data zilizohifadhiwa kwenye ubongo.

Sasa basi ninapoongelea causality ninaogelea physical activities vinavyoathili mwenendo wa Maisha.



NITAENDELEA…


 
Swali la kwanza. Una muda gani toka umeanza kuvuta bhangi?

Swali la pili. Bhangi yako unanunua kutoka wapi?
 
Back
Top Bottom