Jinsi nilivyonusurika kifo kwa kipigo baada ya kujitambulisha kazi yangu

Wito wangu kwa Askari Polisi, mkiwa uswahilini hakikisheni mnaficha utambulisho wenu kwa ajili ya usalama wenu.
Huu wito uliotoa unathibitisha kuwa una akili fupi sana na unapaswa kupigwa tena.Ulipaswa kutoa wito kwa maaskari wenzako kuwa watende haki kwa watu.

Wewe ulipigwa kwa sababu ninyi Askari polisi hamtendi haki kwa jamii na pia hamfanyi kazi zenu kwa mujibu wa sheria.

AUYZ3t.jpg
 
Chaiii hii haiwezakn muulizwe mnafanya kz gn ilihal wao sio watu wa usalama au walikua wanawataka
 
Ebwana kaka mkubwa watu tuna stress zetu za maisha kama nia yako nikupata reply na ujinga mwingine bora utafute njia tofauti na hii, si tunataka kujadili ukweli na si story za kutunga huku ukiwa na kusudio lako moyoni. Kiufupi umepuyanga japokuwa nimeongeza comments.
 
Ilikuwa siku ya jumamosi tulivu ambapo jiji la Dar es Salaam na Tanzania nzima kwa ujumla macho na akili zao zilikuwa zimeelekezwa wilayani Temeke kushuhudia mtanange wa watani wa jadi, Simba na Yanga wakichiana kugombea ngao ya Jamii.

Mimi na rafiki yangu Dr. Gill Biz na mkewe Hawa, tulikuwa pande za Buguruni tukiburudika na vinywaji laini anga hizo.

Kuna jamaa yetu mwingine Dr. Ally Na, yeye alikuwa Vinginguti, akatupigia simu kuwa amenunua nusu mbuzi hivyo tukamchakate na kumfanya kitoweo.

Basi tukaenda huko kujumuika. Tulipofika huko Mambo yalikuwa mazuri kwelikweli, chupa za kijani na za kahawia zilikuwa zimetamaliki zikitungoja.

Tukala, tukanywa, na tukahamia kwenye bar nyingine huko huko.

Njia ya kwenda huko ilikuwa imejaa vichochoro na kona nyingi, na baada ya dakika 7 tukafika.

Tukakaa huko hadi mida ya saa nne usiku, na tukaamua turudi zetu Makongo Juu tunakoishi.

Tukiwa tunachoronga vichochoro, kwa bahati mbaya tukapotea na tukajikuta tuko katikati ya nyumba ya watu na kuna wanawake wanne wakisukana.

Basi tukawasalimia na kuwaomba msamaha na kuwaomba watuelekeze njia ya kutokea barabara kubwa .

Mmoja kati ya wale wanawake akasema kina baba kwani nyie mnafanya kazi gani?

Wenzangu wakajibu kwamba ni madaktari. Wakaniuliza wee baba Mbona hujitambulishi?

Nikajibu Mimi ni Askari polisi hapo Buguruni.

Basi baada ya hapo, mmoja wa wamama wale akasema "Hapa ni mbali na barabara kubwa na vichochoro ni vingi mtapotea, ngoja nikuitieni kijana awaongozeni njia"

Basi yule mama akatoka na akaenda huko nyuma.

Baada ya dakika tano akarudi yule mama akiwa ameongozana na vijana watatu wenye magongo, na mmoja wao akasema "Yuko wapi huyo polisi?"

Wakanaanza kunipiga, wakaongezeka na wengine wengi kama kumi na nane au ishirini, nikapigwa kikamilifu.

Jamaa zangu wakajaribu kujisaidia na kuwasihi wapigaji wasinipige, lakini haikusaidia kitu. Nilipigwa nikapigika, nikaiva.

Nilipigwa Sana Hadi nikapoteza fahamu. Nikazinduka baada ya siku tatu nikiwa nimelazwa hospitali ya Amana.

Namshukuru sana mwenyezi Mungu kwa kuninusuru na kifo.

Wito wangu kwa Askari Polisi, mkiwa uswahilini hakikisheni mnaficha utambulisho wenu kwa ajili ya usalama wenu.
Vijana wa Mbeya mliokuja Dar mna mkosi sana kuchezea Kichapo. Why?
 
Acha uongo wewe upigwe hadi upoteze fahamu magazeti ya bongo na vi tv uchwara vya online visitangaze hadi uje useme hapa? Polisi wapenda sifa nyie na wanyanuasaji wanyonge mngekamata hata watu ambao hawausiki mlipize. After all ni poa toa mbona nyie mlimuua Akwilina hana kosa lolote.
 
Kama hiki ulichoandika ni kweli basi chuki baina na polis na raia imefika kwenye kwango kikubwa na hatari sana.

Polis tendeni haki
 
Acha uongo wewe upigwe hadi upoteze fahamu magazeti ya bongo na vi tv uchwara vya online visitangaze hadi uje useme hapa? Polisi wapenda sifa nyie na wanyanuasaji wanyonge mngekamata hata watu ambao hawausiki mlipize. After all ni poa toa mbona nyie mlimuua Akwilina hana kosa lolote.
Nenda Buguruni kaulize Hilo tukio
 
Huu wito uliotoa unathibitisha kuwa una akili fupi sana na unapaswa kupigwa tena.Ulipaswa kutoa wito kwa maaskari wenzako kuwa watende haki kwa watu.

Wewe ulipigwa kwa sababu ninyi Askari polisi hamtendi haki kwa jamii na pia hamfanyi kazi zenu kwa mujibu wa sheria.

View attachment 1969330
Mfumo uliopo ndani ya jeshi hauliwezeshi jeshi kutenda haki
 
Pole sana afande, nashauri huu muda utakao kuwa umelazwa hapo Amana utumie kujisomea PGO kuliko ukae bure tu.
 
Pole
Ilikuwa siku ya jumamosi tulivu ambapo jiji la Dar es Salaam na Tanzania nzima kwa ujumla macho na akili zao zilikuwa zimeelekezwa wilayani Temeke kushuhudia mtanange wa watani wa jadi, Simba na Yanga wakichiana kugombea ngao ya Jamii.

Mimi na rafiki yangu Dr. Gill Biz na mkewe Hawa, tulikuwa pande za Buguruni tukiburudika na vinywaji laini anga hizo.

Kuna jamaa yetu mwingine Dr. Ally Na, yeye alikuwa Vinginguti, akatupigia simu kuwa amenunua nusu mbuzi hivyo tukamchakate na kumfanya kitoweo.

Basi tukaenda huko kujumuika. Tulipofika huko Mambo yalikuwa mazuri kwelikweli, chupa za kijani na za kahawia zilikuwa zimetamaliki zikitungoja.

Tukala, tukanywa, na tukahamia kwenye bar nyingine huko huko.

Njia ya kwenda huko ilikuwa imejaa vichochoro na kona nyingi, na baada ya dakika 7 tukafika.

Tukakaa huko hadi mida ya saa nne usiku, na tukaamua turudi zetu Makongo Juu tunakoishi.

Tukiwa tunachoronga vichochoro, kwa bahati mbaya tukapotea na tukajikuta tuko katikati ya nyumba ya watu na kuna wanawake wanne wakisukana.

Basi tukawasalimia na kuwaomba msamaha na kuwaomba watuelekeze njia ya kutokea barabara kubwa .

Mmoja kati ya wale wanawake akasema kina baba kwani nyie mnafanya kazi gani?

Wenzangu wakajibu kwamba ni madaktari. Wakaniuliza wee baba Mbona hujitambulishi?

Nikajibu Mimi ni Askari polisi hapo Buguruni.

Basi baada ya hapo, mmoja wa wamama wale akasema "Hapa ni mbali na barabara kubwa na vichochoro ni vingi mtapotea, ngoja nikuitieni kijana awaongozeni njia"

Basi yule mama akatoka na akaenda huko nyuma.

Baada ya dakika tano akarudi yule mama akiwa ameongozana na vijana watatu wenye magongo, na mmoja wao akasema "Yuko wapi huyo polisi?"

Wakanaanza kunipiga, wakaongezeka na wengine wengi kama kumi na nane au ishirini, nikapigwa kikamilifu.

Jamaa zangu wakajaribu kujisaidia na kuwasihi wapigaji wasinipige, lakini haikusaidia kitu. Nilipigwa nikapigika, nikaiva.

Nilipigwa Sana Hadi nikapoteza fahamu. Nikazinduka baada ya siku tatu nikiwa nimelazwa hospitali ya Amana.

Namshukuru sana mwenyezi Mungu kwa kuninusuru na kifo.

Wito wangu kwa Askari Polisi, mkiwa uswahilini hakikisheni mnaficha utambulisho wenu kwa ajili ya usalama wenu.
Pole mwana Mwananchi mwenzangu dah, hii kazi ya upolisi sio kazi kwa nchi zetu hizi zinazongozwa na wenda wazimu
 
Kumbe hadi vijana wa Gaidi Kingai mna accounts jamii forum
 
Back
Top Bottom