Heritage123
Member
- Jul 24, 2023
- 51
- 100
“Kariakoo sio soko. Ni vita ya akili. Wachache wanaotoka na faida ni wale wanaojua wapi pa kuchimba.”
— Sehemu ya maneno niliyosikia kwa fundi mmoja nikiwa nimepotea Kariakoo mwaka 2019.
Niliamka saa 10 alfajiri, nikafunga viatu vizuri, nikachukua daftari na kalamu — tayari kuanza maisha mapya. Nilitaka kuagiza mzigo mdogo wa viatu na kuuza kupitia WhatsApp.
Lakini nilichokutana nacho siku hiyo kilinifundisha zaidi ya nilivyowahi kujifunza chuoni.
😰 NILIPOTEA KATIKA “MJI WA MACHIMBO”
Niliingia Kariakoo kama kijana mwenye ndoto kubwa lakini bila ramani. Nilizunguka zaidi ya masaa matatu. Kila duka nililoingia:
Katika eBook hii niliyotengeneza:
Ebook hii ni TZS 9,500 tu — lakini thamani yake inaweza kukuondoa kwenye biashara ya kupambana hadi biashara ya mfumo.
🎯 JINSI YA KUPATA
❌ Utaendelea kuuziwa bei ya rejareja
❌ Utaendelea kupoteza muda Kariakoo
❌ Utaendelea kuwa mtazamaji wa mafanikio ya wengine
Na hiyo ndiyo zawadi niliyokuandalia — MACHIMBO YA KARIAKOO .
Pata sasa. Tumia sasa. Piga faida sasa.
– Its Heritage Tech
— Sehemu ya maneno niliyosikia kwa fundi mmoja nikiwa nimepotea Kariakoo mwaka 2019.
KILICHONIKUTA SIKU YA KWANZA KARIAKOO
Mwaka 2019 nilikuwa na wazo tu la biashara — kuuza viatu mtandaoni. Nilikuwa na Tsh 95,000 tu mfukoni. Niliambiwa nianze Kariakoo, "ndipo kila kitu kiko bei ya jumla."Niliamka saa 10 alfajiri, nikafunga viatu vizuri, nikachukua daftari na kalamu — tayari kuanza maisha mapya. Nilitaka kuagiza mzigo mdogo wa viatu na kuuza kupitia WhatsApp.
Lakini nilichokutana nacho siku hiyo kilinifundisha zaidi ya nilivyowahi kujifunza chuoni.
😰 NILIPOTEA KATIKA “MJI WA MACHIMBO”
Niliingia Kariakoo kama kijana mwenye ndoto kubwa lakini bila ramani. Nilizunguka zaidi ya masaa matatu. Kila duka nililoingia:
- Bei zilikuwa tofauti tofauti (japo bidhaa ni zile zile)
- Wengine waliongea kwa kejeli, wengine walinipuuza
- Kuna wauzaji walinipiga bei mara mbili kwa sababu nilionekana mgeni
🔍 NILIANZA KUCHUNGUZA... MACHIMBO YALIPO
Baada ya kushindwa mara kadhaa, nilibadilisha mbinu. Sikuwa tayari kuacha. Nilianza:- Kuuliza madereva bodaboda
- Kunywa chai na mafundi wa gereji
- Kusikiliza maongezi ya wafanyakazi wa stoo
- Kuandika majina ya maduka yenye misururu mirefu ya wanunuzi
🧱 NILIANZA KUJENGA SYSTEM
Baada ya miezi 2, nilikuwa najua:- Wapi pa kununua viatu, begi, electronics, perfumes, nk
- Nani anauza bidhaa kwa nusu bei ya wengine
- Wauzaji gani unaweza kuagiza bila kwenda dukani
- Jinsi ya kukwepa kupigwa bei au kuuziwa bidhaa mbovu
🎁 VALUE: NDANI YA EBOOK UTAJIFUNZA NINI?
Sasa hivi, umebahatika. Hautahitaji kupitia mateso niliyopitia.Katika eBook hii niliyotengeneza:
- Utafunguliwa machimbo zaidi ya 300+ kwa bidhaa tofauti (viatu, vifaa vya nyumbani, electronics, nk)
- Utaelekezwa jinsi ya kuagiza mzigo hata ukiwa mkoani
- Utajifunza mbinu ya kuepuka madalali na bei za kichwa
- Utapewa bonasi ya wauzaji wa bidhaa adimu zinazotrend mitandaoni
- Utaelewa jinsi ya kuanza biashara bila hata kuwa na duka
FURSA HII HAUWEZI KUIPUUZA
Mimi si mwalimu wa biashara, mimi ni shahidi wa machungu na mafanikio ya kuanza bila connections, bila mtaji mkubwa, na bila msaada wa ndugu.Ebook hii ni TZS 9,500 tu — lakini thamani yake inaweza kukuondoa kwenye biashara ya kupambana hadi biashara ya mfumo.
🎯 JINSI YA KUPATA
✅ Tuma neno “MACHIMBO” kwenye WhatsApp 👉 0623684510
🧨 USIPOCHUKUA HATUA LEO:
❌ Utaendelea kuuliza "nitanza wapi?"❌ Utaendelea kuuziwa bei ya rejareja
❌ Utaendelea kupoteza muda Kariakoo
❌ Utaendelea kuwa mtazamaji wa mafanikio ya wengine
🔐 NENO LA MWISHO:
Kuna vitu huwezi kuvipata Google. Huwezi kuvipata kwa kuuliza. Unavipata kwa kupewa kutoka kwa mtu aliyewahi kuvipitia.Na hiyo ndiyo zawadi niliyokuandalia — MACHIMBO YA KARIAKOO .
Pata sasa. Tumia sasa. Piga faida sasa.
– Its Heritage Tech