Jinsi ndoa ya Mabeste Ilivyovunjika

Nilicomment bila kutazama interview, nimetazama na nafuta baadhi ya kauli zangu. Nimemuamini Lisa kwa 85% maana jinsi anavyozungumza kwa uchungu na jinsi anavyo flow matukio inaelekea kaumia sana.

Hakuna point aloongea zaidi ya kutaja pesa pesa huyu dada kamuonea mabeste
Mabeste kamuuguza miaka sita alitaka afanye mziki saa ngapi?atafute pesa saa ngapi huku alimuuguza kaka watu akajitoa kuliko mtu yeyote,Anaongea upuuzi tu hatujaona hata sehemu akisema mabeste kachepuka ,mabeste alipika akafua akamuuguza miaka kibao nani angeweza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani ukiona haya mambo yanakatisha tamaa kabisa,mwanaume katijoa vya kutosha anakuja kuachwa na kutafutiwa visababu uchwara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nlikua nsicomment Tena Ila kwa upuuzi ulioandika hapa ..dah umeonyesha jinsi gan ulivyo empty kichwani Yan umesikiliza interview tayar ushamuamini dah hatar

Sent using Jamii Forums mobile app

Why you dont trust her wakati katoa na ushahidi mfano alipozungumzia kuhusu ndugu wa mume wake kutohudhuria ndoa video zipo na ni kweli hawaonekani ndugu wa mume wake wewe huwezi kuona ni indication tosha kuwa ndugu wa mshikaji hawakumtaka huyu demu

Tusipende ku judge vitu kwa mihemuko interview ya Mabeste nimeisikiliza ukiwa makini unaona kabisa ni kama kuna vitu anaficha

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hapo utapata taabu kuwaelezea,watu hawajasikiliza interview uyo dada alikuwa mvumilivu kupitiliza had kaamua kujitolea mahari ya uongo uongo,
Na vyote kaongea hata tamasha idea ametoa yeye na uzuri ana ushahid Na watu kawataja,
*Nguo za harus wamepewa bure,
*had pakukaa walimuomba shish Na mengineyo,
* mwaka Jana muuza mapazia alimpost insta kakopa hajalipa ni waz maisha yaliwashinda,
Wanawake wavumilivu sana ila akichoka anashindwa kujizuia kuficha mambo yako ya kijinga hasa pale unapojikuta haujakosea,

Sent using Jamii Forums mobile app

Me nashangaa wanaoshindwa kumuamini huyu dada wakati still na evidence anatoa

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hakuna point aloongea zaidi ya kutaja pesa pesa huyu dada kamuonea mabeste
Mabeste kamuuguza miaka sita alitaka afanye mziki saa ngapi?atafute pesa saa ngapi huku alimuuguza kaka watu akajitoa kuliko mtu yeyote,Anaongea upuuzi tu hatujaona hata sehemu akisema mabeste kachepuka ,mabeste alipika akafua akamuuguza miaka kibao nani angeweza

Sent using Jamii Forums mobile app
Hili nalo neno....
Ukiwa huna pesa hakuna atakaye kuheshimu hata kuku watafanya ufuska mbele yako
 
Back
Top Bottom