Jinsi ndoa ya Mabeste Ilivyovunjika

Karne

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2016
Messages
3,557
Points
2,000

Karne

JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2016
3,557 2,000
Eatv walionesha live kupitia planet bongo. Mpaka home..
Huyu Dada alikuwa kalala tu hata kuongea hawezi dulla anampa pole hata kuitika kwa kichwa alishindwa achilia mbali kuongea..!

Sasa hivi eti anasema yeye ndo alipanga event, matamasha ya kuchangisha pesa mpaka akapona..! Duh
Labda yalikuwa maigizo ili watu waguswe ila demu alikuwa fit hadi kuandaa events.

Bongo Dar es Salaam.
 

hearly

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Messages
35,385
Points
2,000

hearly

JF-Expert Member
Joined Jun 19, 2014
35,385 2,000
Demu itakuwa hayuko sawa upstairs ana stress disorder
Kama alikuwa ana kipato cha kuhudumia familia na mmewe ilikuwaje Mabeste atembeze bakuli ili kumuuguza?

Et ali-plan yeye ile event lengo ni kutuoneshe mmewe hawezi chochote! Kwa nini hakuenda kuimba yeye sasa kwenye hiyo event kama ndiye kila kitu?

Bila umaarufu wa mmewe anadhani ni nani angehamasika hata kumchangia?

Kutokutambua mchango wowote wa mmewe ni ufala haijalishi ana mapungufu kiasi gani.
Sent using Jamii Forums mobile app
 

hearly

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Messages
35,385
Points
2,000

hearly

JF-Expert Member
Joined Jun 19, 2014
35,385 2,000

Nwaigwe

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2009
Messages
1,028
Points
2,000

Nwaigwe

JF-Expert Member
Joined Jul 9, 2009
1,028 2,000
Mkuu ina maana huyu dada alimkuta Mabeste hana shughuli au? Kama alimkuta na shughuli now mambo yamekwama anamkosea sana. Naona namna mambo yakiyumba sana mwanaume akikosa kipato kuliko wanawake. Huwezi kusikia mwanaume akisema nimemuacha sababu nilikuwa namlea.

Wadada wa siku hizi pamoja na kuelimika wamekuwa tegemezi zaidi kuliko mama zetu wa zamani

Sent using Jamii Forums mobile app
Natural mwanaume kaumbwa kuwa Provider.
 

Forum statistics

Threads 1,392,062
Members 528,535
Posts 34,097,322
Top