Jinsi ndoa ya Mabeste Ilivyovunjika

Sijasema hajui Muziki. Nazungumzia kufanya kazi.

Kwani Ben Pol hajui Muziki ?

Sasa ni nini kinakufanya uache kazi inayokuingizia kipato halafu uwe full tegemezi kwa mkeo ?
Ona sasa yani Ben Paul naye ni msanii?
Bwahahahaha😝 sikilizeni muziki aisee muujue vyema
 
Labda nikuambie kitu kimoja tuu mtoa maada, mwanamke akihudumia familia mwezi mmoja tuu basi mtaa mzima watajua
Hapo kwenye maada anasema alihudumia familia miezi 2 , sasa kipindi cha maisha yao yote nani alikua analipa bills?
Ndoa zinachangamoto hiyo iko wazi lakini wanawake wengi wako hivyo...
Hata kipindi nakua mzee wangu anaweza kutuma hela kwa bi Mkubwa ili akupatie, basi akikupatia anaanza kusema mi nawasomesha kwa pesa yangu

Sent using Jamii Forums mobile app

Yaani umegonga mule mule... Nawashangaa sana wanaume wanaosema eti nioe mwanamke mwenye kazi tusaidiane majukumu... Kujitakia matusi ya rejareja tuu.
 
Binafsi vijana wengi kusimamia familia hatuwezi sababu ya anasa na kujipenda kulikopitiliza kunakoleta ubinafsi ndiyo maana mjini unaweza kuta mbaba in his 50's amevaa rafu na sendo chini muda wote yupo busy ila ukienda home mke wake anafaidi anasukuma range na watoto wanasoma na mahitaji wanapata kwa wakati.... Ila kijana bado hajanunua kipochi cha gucci sijui raba kali mara ashinde saloon kuweka kijogoo. .its sad

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahah..
Ni kwel kabisaa kaka.
 
Kwa upande wangu Maisha ya huyo mzee Anaye vaa rough na sendo chini halafu mkewe na watoto wake wanakula maisha mazuri siwezi kuyaishi ..kwangu huo nahesabu kuwa ni sehemu ya utumwa .....

Kama ni maisha mazuri basi yapasa tuyafaidi sote pamoja ....sio Mimi nipitie shida ili wengine wale raha Big no

All in all vijana wa siku hizi tunapaswa kujituma na kuya simamia majukumu yetu ipaswavyo otherwise tutazidi kuizorotesha heshima ya KIUME

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mabeste
 
Hahaha hajawahi kuumwa huyo dem ile ilikuwa ishu ya kupiga pesa mi nawafaham kinaga ubaga....naomba niishie hapo

Huyu manzi namsoma na ni mwanangu sana na nimesoma nae primary , pesa mbele mzee , tunaomjua tutasema hvyo ila huko ndoan sijui ila kama pesa mbele basi unaruka nae , si mgumu kabisa
 
Binafsi vijana wengi kusimamia familia hatuwezi sababu ya anasa na kujipenda kulikopitiliza kunakoleta ubinafsi ndiyo maana mjini unaweza kuta mbaba in his 50's amevaa rafu na sendo chini muda wote yupo busy ila ukienda home mke wake anafaidi anasukuma range na watoto wanasoma na mahitaji wanapata kwa wakati.... Ila kijana bado hajanunua kipochi cha gucci sijui raba kali mara ashinde saloon kuweka kijogoo. .its sad

Sent using Jamii Forums mobile app
Point no2

kelphin kepph
 
Kitu kilichomuumiza ni Mabeste kuanza kuongea kwamba sababu ya wao kuachana ni pesa. Kaongea kwenye media.

Mama wa watu imebidi atoke hewani akaelezea jinsi alivyomlea jamaa toka mwanzo mpaka wanaachana, hadi mahari alijilipia.

Ugonjwa aliokuwa anaumwa inasemekana kwamba chanzo ni familia ya Mabeste, maana mara zote Mabeste alikuwa akiwatuhumu nyumbani kwao na haelewani na wazazi wake kabla hata hajakutana na Lisa.

Idea ya kukusanya michango kwa ajili ya matibabu ni ya Lisa, na hata kuendesha accounts za Mabeste yeye ndiye alikuwa anafanya hivyo, ile concert yeye ndiye aliyeplan na kuanza kufatilia kila kitu.

Ukiweza kupata muda wa kumsikia utaelewa, na bahati mbaya kwa Mabeste, Lisa alifikia sehemu akaanza kurekodi kila walichokuwa wanazozana au kujadili.
Kwani wewe ndiye huyo Lisa?. Unatumia nguvu kubwa sana kutuaminisha kuwa MABESTE ndio tatizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom