Jinsi ndoa ya Mabeste Ilivyovunjika

Jinsi ndoa ya Mabeste Ilivyovunjika

Mkeo anasukuma range na watoto wanakula good life halafu baada ya muda unakufa kwasababu ya kubebelea mastress ya maisha pekee yako na mwisho wa siku mkeo anatumbua mali na watoto akiwaambia yeye ndio alifanya mfike hapo mlipofika.....

Aaaaah weeee me sifanyi huo upuuzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poa natumemuacha ale uzazi vizuri. Ila kila mbwa ana siku yake.....

Moja ya miiko ya ubinadamu ni kumuumiza mwingine hisia bila ya kumpa nafasi ya kujitetea.

Huyo mabeste amekubali kuumia na sasa anableed damu ndani kwa ndani kwa maumivu anayoyasikia. Hivi unadhani kuna usalama hapo?! Umuumize mwenzako kwasababu za kibinafsi then uje kuwa na baraka huko uendako.... Nooo way. MUNGU yupo na anatoa haki.

Kama yeye aliona ni haki kumuacha mwanaume aliyejiapiza kumpenda na wakapata watoto pamoja leo anamtreat kama takataka then tutaona labda jina lake la mwisho liwe MUNGU.....


Mabeste jembe langu, popote ulipo, uvumilia maumivu jembe, najua umeumia kuona mwanamke aliyejinasibu kukupenda milele hata iweje na mkapata watoto wawili wazuri sana, kaamua kukatisha safari ya penzi lenu na kwenda anzisha safari mpya na mtu mwingine tu kwasababu haupo vizuri kiuchumi kwasasa, na mbaya zaidi ni mtu anaekufahamu na mnajuana na pengine anajua historia ya mahusiano yenu. Na leo kukutukana kabisa anakupostia picha ya mtoto aliyezaa nae katika tumbo la uzazi lile lile alilobebea watoto wako. Inauma sana....

Mimi personally kama mwanaume nimeumia sana kuona kichotokea aisee inauma sana.... Pole sana jembe.... Ipo siku haki yako itakufikia....... Maumivu huwa hayadumu ingawa ni makali. Jikaze bro.... Jikazee sana usikate tamaa.... Tunaumia pamoja... Na ninafeel maumivu yako.... Pole sana jembe langu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha
 
Ni rahisi mtu kumove on na kusahau kirahisi kama utakua hauoni kinachoendelea kwenye sidelife ya mwenzio mlieachana

Mabeste inakua ngumu ku move on na kusahau kwa sababu ya pressure za mitandaoni na tayari aliekua mkewe yupo kwenye spotlight, it means hapo kila siku anakutana na mapya ya walimwengu

pia inaonekana bado hajakaa financially fit,at least pesa ingekua inaflow vizuri ingempoza kwa namna fulani.

na watoto pia wanachangia kumfanya asisahau haraka ..akiangalia picha za wanae anakumbuka some moments ...Sema jamaa apambane tu na hali manake ndo uanaume huo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda nikuambie kitu kimoja tuu mtoa maada, mwanamke akihudumia familia mwezi mmoja tuu basi mtaa mzima watajua
Hapo kwenye maada anasema alihudumia familia miezi 2 , sasa kipindi cha maisha yao yote nani alikua analipa bills?
Ndoa zinachangamoto hiyo iko wazi lakini wanawake wengi wako hivyo...
Hata kipindi nakua mzee wangu anaweza kutuma hela kwa bi Mkubwa ili akupatie, basi akikupatia anaanza kusema mi nawasomesha kwa pesa yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Of course wanaume tungekua tunatunzaga vibunda ingekua bam bam..

Mwanamke kutumia pesa yake mwenyewe roho inamuuma Sanaa 😊 sembuse kukuhudumia wiki issue

Asante Sanaa Mwenyezi Mungu kwa kunipa zawadi ya huyu mwanamke ma j wangu yeye ni exceptional
 
Binafsi vijana wengi kusimamia familia hatuwezi sababu ya anasa na kujipenda kulikopitiliza kunakoleta ubinafsi ndiyo maana mjini unaweza kuta mbaba in his 50's amevaa rafu na sendo chini muda wote yupo busy ila ukienda home mke wake anafaidi anasukuma range na watoto wanasoma na mahitaji wanapata kwa wakati.... Ila kijana bado hajanunua kipochi cha gucci sijui raba kali mara ashinde saloon kuweka kijogoo. .its sad

Sent using Jamii Forums mobile app
Unamwangaikia pindi, kesho unakuta anapumuliwa ikichomokoa anairudishia ndani yeye mwenyewe.... aisee!!! Sio Gucci tu ... bora nishine Balenciaga, Amiri, Dior n.k... huku nikiweka bajeti Safi kwenye diko na mazoezi binafsi kujiweka safi kimwili na kiakili....


Wanawake sampuli za bibi zetu wote R.I.p kwenye kizazi hiki.
 
Back
Top Bottom