Acha kabisa hiyo, utaumia...Kama kuna mtu anajua jinsi ya ku divert namba ya mtu mwingine kama akipigiwa simu niweze kusikiliza anachokiongea pleas kwa anaye jua anisaidie
ni mpenzi wangu nataka ku divert kwa sababu nimeshakuwa na wapenzi wengi nimewagaramia mwisho wa siku anakutosa kiaina na unamwona na mtu mwingine kwa hiyo kwa njia ya mawasiliano naona ni rahisi kujua kama ana msimamo na wewe au hana kabla sijapoteza muda na gharama pleas nisaidien wana jfNi simu ya nani na ni kwa nini unataka kudivert?
ni mpenzi wangu nataka ku divert kwa sababu nimeshakuwa na wapenzi wengi nimewagaramia mwisho wa siku anakutosa kiaina na unamwona na mtu mwingine kwa hiyo kwa njia ya mawasiliano naona ni rahisi kujua kama ana msimamo na wewe au hana kabla sijapoteza muda na gharama pleas nisaidien wana jf

mi mwenyewe nashanga jamani mi naomba msaada swala la kufa sijui ugonjwa moyo nitaumia pleas we kama unajua nipe msaada na ndo maana watengenezaji wa simu wemeweka divert na hapa jf naamini ni sehemu nzuri ya kuelimishanaMbona hakuna anayejibu swali?
nokia n72 nitashukuru mkuuSimu yake ni aina gani...................naona kweli unayo nia!