Mtambo au software ya ku track

anti-Glazer

JF-Expert Member
Apr 13, 2023
291
478
Ni Kwa nini nikiweka namba ya Simu kwenye locator ili nijue sehemu alipo mtu mwenyewe Simu hiyo haikubali?

Naomba mwenye ujuzi wa kuweza kumpata mtu kwa kutumia namba ya simu anielekeze. Au kama kuna software ya kununua nifanye ninunue niweze kujua sehemu anayokuwa mtu ninayemtafuta kwa kitumia nnamba ya simu yake
 
Ni Kwa nini nikiweka namba ya Simu kwenye locator ili nijue sehemu alipo mtu mwenyewe Simu hiyo haikubali?

Naomba mwenye ujuzi wa kuweza kumpata mtu kwa kutumia namba ya simu anielekeze. Au kama kuna software ya kununua nifanye ninunue niweze kujua sehemu anayokuwa mtu ninayemtafuta kwa kitumia ssimu yake
hakuna hiyo software mpaka TCRA

PS: kama humuamini vaa ndom 2+
 
short cut, mpigie muulize aliko. Utajua
Screenshot_20230404-231230.jpg
Umenifanya nicheke kwa sauti
 
Hadi unapata hisia kuwa kuna nia njama dhidi yake, jua ni kweli hisia zako hazijawahi kuwa tofauti hata kidogo.
Unaloliwaza lipo sahihi kwa 100%
 
Ni Kwa nini nikiweka namba ya Simu kwenye locator ili nijue sehemu alipo mtu mwenyewe Simu hiyo haikubali?

Naomba mwenye ujuzi wa kuweza kumpata mtu kwa kutumia namba ya simu anielekeze. Au kama kuna software ya kununua nifanye ninunue niweze kujua sehemu anayokuwa mtu ninayemtafuta kwa kitumia nnamba ya simu yake

Mkuu kupata exactly location kwa teknolojia yetu hapa nyumbani through phone number haiwezekani.
Inawezekana kupata mnala anaotumia huyo mtu unaemtafuta.

Yani utapata ile location kwamba hii namba saiv imetumia mnala wa sehem flani, kwahiyo utaanzia kumtafuta katika hiyo location but sio exactly location kama ukitumia email.

Email itakupa exactly location ya mtu mana device ilipo ndipo itakaposoma.
Ni vizuri kuwa na email na password za mtu unaehitaji kumtrack.

Ukiwa na email utajua kila point aliyopo, sehemu alizotembea siku nzima na mambo mengine mengi.
Kama humuamini mtu ww fanya mpango upate email yake na password utakuwa umemaliza.
 
Utaumiza kichwa sana, huo mfumo wa kutrack mtu kwa njia ya namba haupo wazi kwa wananchi bali serikali imeuweka kama special security yao pale wanapokutaka wewe na siyo wewe kumtaka mwenzako.

Njia rahisi ni hiyo aliyokupa mdau kwa kutumia email, hiyo njia haidanganyi coz all data za kila siku zipo hao na inakuelekeza hata anapolala huyo mtu wako.

Vinginevyo nakuomba kama unataka kumshika mtu ugoni achana na hizo mambo, maana ni nusu kifo.
 
Back
Top Bottom