Kuna mtu niliishawahi kumfundisha hii mambo na pia jinsi ya kutrack location ya mtu yuko sehemu gani ukimpigia simu, matokeo yake akarudi kunilaumu mimi lol!!
humu duniani kuna kitu kinaitwa law of action and reaction (law of karma),ukitoa maelekezo ya jinsi ya kudivert (kama alivyoomba) kisha mtoa mada akadivert kwa maelekezo yako na akafanikiwa ,ina maana litakalotokea baada ya hapo ,by implication , litakuwa linakuhusu na wewe mtoa tuition,upo hapo Mkuu? Kibaya zaidi jamaa anataka maujuzi ili ayatumie kufanya mambo ya hatari.
Then ukisikia? kuna watu wanakaribisha magonjwa ya kujitakia, ukipata presha sio huyo unayemwangaikia atapata hasara bali wazazi wako na ndugu zako wa karibu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.