Jinsi counter wa baa alivyoibiwa pesa

Jinsi counter wa baa alivyoibiwa pesa

Acha kubadili story,umedai yule tapeli alifanya kubadili namba kwenye jina liloseviwa "Boss" na kwakuwa Counter asubuhi alipopokea simu na hatimaye kutakiwa kutuma pesa ya mauzo yeye alikwenda kwa wakala na kumpatia pesa na kumtajia namba za "Boss" na wakala akatuma.
Ndio tunauliza inamaana wakala hakuuliza jina litakalotokea? Sasa unasema Counter alitaja jina,je jina lilotokea ni la Boss halisi au Boss tapeli na kama lilitokea jina la Boss tapeli ilikuwaje Counter hakushtuka kwamba jina lilokuja sio la Boss wake?
Brother ukiwa muongo unahitaji kuwa na kumbukumbu.
We jamaa mbona mgumu sana kuelewa?

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Hapa umetutia Kamba. Aina ya huo utapeli inaweza ikawa kweli upo, ila kusema Counter wa Bar au Muhudumu wa Bar analipwa laki mbili na nusu(250,000/=) huo ni uongo.

Kumbuka vinywaji kama bia, soda, some spirit vina faida ndogo sana. Sasa Boss anatoa wapi jeuri ya kulipa 250k kwa mwezi. Na hapo bado kodi ya jengi au frame hajalipa, umeme kwakuwa mafriji yanakula umeme unamuhusu na vitu vinginevingine.
Kreti ya bia faida yake ni 9000 km kwa siku bar inauza hadi kreti 5 kwa siku ukichanganya na faida ya vinywaji vingine faida inaweza kuwa inatosha kabisa bosi kulipa mshahara km huo

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
H
Hapa umetutia Kamba. Aina ya huo utapeli inaweza ikawa kweli upo, ila kusema Counter wa Bar au Muhudumu wa Bar analipwa laki mbili na nusu(250,000/=) huo ni uongo.

Kumbuka vinywaji kama bia, soda, some spirit vina faida ndogo sana. Sasa Boss anatoa wapi jeuri ya kulipa 250k kwa mwezi. Na hapo bado kodi ya jengi au frame hajalipa, umeme kwakuwa mafriji yanakula umeme unamuhusu na vitu vinginevingine.
Hii mbona kawaida sana na ww, unashangaa utadhani ni hela ya ajabu. Mm kuna jamaa yangu ana bar analipa counter wake laki 4 kw mwezi, na msosi juu na nauli ya kuja kazini wakiwa zamu. Ujue huyu counter ndiyo anayekushikia hela na kupiga hesabu zote so somehow inabidi uishi naye vizuri kuepuka tamaa za hapa na pale, kifupi yeye ndiyo bar. Sema jamaa bar yake ni kubwa zile zenye mauzo hasa especially weekend ana band etc..
 
Alienda mtu kunywa pombe ikumbukwe sio mteja wa pale hafahamiki. Akiendelea kunywa akaanza kumuomba counter amuazime simu ili mpigie mtu amletee hela aendelee kunywa mdada wa counter katika utetezi wake anadai Mara ya kwanza alimnyima kwa madai simu haina salio jamaa akaendelea kusihi apewe tu amtumie meseji.

Haifahamiki Kama ni uchawi ulitumika au sayansi ya kumnyenga mtu kwa kumpa offer za bia ila dakika ya mwisho dada alimpatia simu na jamaa bila kupoteza muda akabadilisha namba ya simu iliyoandika the boss yeye akaeidit ikawa namba yake za boss. Tena zilikuwa kama tatu akazibadilisha zote akamrudishia simu. Wakaendelea kumwagilia moyo.

Asubuhi kufika meseji inaingia ikimtaka amwambie mauzo ya jana kapata shingapi dada akastaajabu kwanini leo iwe hivi wakati bosi hanaga kawaida ya kuulizia mahesabu huwa anakuja mwenyewe kuyafuatilia. Basi kwa kuwa bosi ni bosi akaambiwa ipo kiasi fulani laki tano.

Jamaa (boss) akamuamrisha aende kwa wakali atume fasta pesa kwenye namba fulani nyingine 07***** jina litakuja fulani fulani ili anunue vinywaji kwa bei rahisi kwani Kuna mtu anataka afunge bar yake pesa ikatumwa maelezo baadae yanakuja kuwa mengi Ila ndo tayari kesi ya utapeli imeshatokea.

Wale wenye biashara waambieni wanaowauzia wawe makini kuzoeana na mtu haraka maisha ya Sasa sio ya kumsaidia mtu simu yako usimuazime kabisa usije kupata shida ya matukio ya kihalifu.
Hela yote hio Mnatumiana Meseji TU, Hamuwasiliani Kwa Kuzungumza? Mbona kama Kuna Dalili ya Chai?
Ukiwaza Kwa Akili ya Kawaida TU, Vitu vingi haviwezekani....!
 
Njia hii sio mpya sana,
Kuna mdada wakala, alimuazima mteja simu ili ampigie mtu anaetaka kumtumia hela hatimaye akaedit namba ya mumewe yule mdada yaani wakala na kuandika namba yake kisha akamrudishia yule wakala na kusema mtu anaetaka kumtumia hela hapatikani...
Baada ya muda mfupi mbele akatuma meseji kwa yule mdada huku yule dada akijua anaongea na mumewe na kuamrishwa atume hela kuna mteja ofisini kwa mumewe anahitaji huduma then hela atarudi na mumewe, kisha akamwamrisha atume pesa nyingine kwa namba nyingine akatuma yule mdada kisha akaamrishwa tena hapa yule mdada akashtuka kuja kuchunguza anaechat nae siyo mumewe na ashaibiwa kama laki 450,000

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hapo kushikwa si ni rahisi

Wataitafuta hiyo namba iliyotumiwa
 
mtu akisema nimuazime simu basi huwa namwambia anipe no napiga then ndio nampa simu. na akimaliza tu kuongea faster naidaka.

pia kabla sijafanya chochote naangalia kitu gani kimefanyika recently.
 
Kuna namba za watu wa karibu sana ambao nikiwagusa tu kwa msg huwa wanatuma hela bila kupiga simu, watu hao huwa sisevu namba zao. Mfano kaka, mama, dada, madogo nk.
Na wao wakigusa tu kwangu kwa msg, nitafanya jitihada hadi nitume.
...Pointi Yako?...
 
Hela yote hio Mnatumiana Meseji TU, Hamuwasiliani Kwa Kuzungumza? Mbona kama Kuna Dalili ya Chai?
Ukiwaza Kwa Akili ya Kawaida TU, Vitu vingi haviwezekani....!
Ok.me sina maelezo mengine zaidi ya ziada ndo hayohayo TU niliyonayo
 
Acha kubadili story,umedai yule tapeli alifanya kubadili namba kwenye jina liloseviwa "Boss" na kwakuwa Counter asubuhi alipopokea simu na hatimaye kutakiwa kutuma pesa ya mauzo yeye alikwenda kwa wakala na kumpatia pesa na kumtajia namba za "Boss" na wakala akatuma.
Ndio tunauliza inamaana wakala hakuuliza jina litakalotokea? Sasa unasema Counter alitaja jina,je jina lilotokea ni la Boss halisi au Boss tapeli na kama lilitokea jina la Boss tapeli ilikuwaje Counter hakushtuka kwamba jina lilokuja sio la Boss wake?
Brother ukiwa muongo unahitaji kuwa na kumbukumbu.
Ukiambiwa na boss tuma hela na Jina la hiyo namba ni fulani utaanzia wapi kuhoji??? Au huna boss mzee
 
Mimi baada ya kupigiwa simu na kampuni ya BRANCH na wakampigia baba angu na mama,walikuwa wananidai pesa yao toka siku hyo nilibadilisha utaratibu wa kusave majina ya wazazi wangu naandika majina yao na siweki kabisa mama au baba
waliwapigiaa kuwaambia wew ni tapeli
 
mi nililizwa kwa mfumo huu kwenye laini ya wakala kosa kumpa mteja smu aweke namba mwenyewe akasave namba yake kweny hiyo simu M PESA alafu akasepa.
Badae kidogo akaja mdingi mwingine anataka kutoa 300000 nikamwambia toa kumbe akafoward msg iliyo editiwa kimambo kwenye ile namba iliyokwisha seviwa kwenye simu yangu mbona nikajaa powa tu nikapeana bingo mzee akatembea nikaja kushtuka badae mtu mwingine alipotoa hela nikaona mbona pesa haijaongezeka kwenye account katika kujitete nikaja kugundua hii ni ngozi nimeshapakaliwa mafuta..
ushapakwaa mafutaa
 
Back
Top Bottom