Jinsi counter wa baa alivyoibiwa pesa

Hii story umeisoma yote mstari kwa mstari ?
Uzi wa mwanzo kabla hajaedit ni huu:
ndege JOHN said:
Alienda mtu kunywa pombe ikumbukwe sio mteja wa pale hafahamiki. Akiendelea kunywa akaanza kumuomba counter amuazime simu ili mpigie mtu amletee hela aendelee kunywa mdada wa counter katika utetezi wake anadai Mara ya kwanza alimnyima kwa madai simu haina salio jamaa akaendelea kusihi apewe tu amtumie meseji.

Haifahamiki Kama ni uchawi ulitumika au sayansi ya kumnyenga mtu kwa kumpa offer za bia ila dakika ya mwisho dada alimpatia simu na jamaa bila kupoteza muda akabadilisha namba ya simu iliyoandika the boss yeye akaeidit ikawa namba yake...za boss Tena zilikuwa Kama tatu akazibadilisha zote akamrudishia simu.wakaendelea kumwagilia moyo..

Asubuhi kufika meseji inaingia ikimtaka amwambie mauzo ya Jana kapata shingapi dada akastaajabu kwanini Leo iwe hivi wakati boss hanaga kawaida ya kuulizia mahesabu huwa anakuja mwenyewe kuyafuatilia Basi kwa Kuwa boss NI boss akaambiwa ipo kiasi fulani laki tano..jamaa(boss) akamuamrisha aende kwa wakali atume fasta pesa ili anunue vinywaji kwa Bei rahisi kwani Kuna mtu anataka afunge bar yake pesa ikatumwa maelezo baadae yanakuja kuwa mengi Ila ndo tayari kesi ya utapeli imeshatokea.

Wale wenye biashara waambieni wanaowauzia wawe makini kuzoeana na mtu haraka maisha ya Sasa sio ya kumsaidia mtu simu yako usimuazime kabisa usije kupata shida ya matukio ya kihalifu
 
Nilichoelewa ni kwamba yule tapeli alisave namba yake kwenye simu ya counter kwa jina "BOSS" sawasawa na vile counter alivyosave number halisi ya boss wake, kwahiyo tapeli alipowasiliana nae kwa kutumia namba yake(tapeli) kwa counter jina linatokea "BOSS"
Wewe story huijui mwanzo wake wengi nimewajibi ilivyokuwa.
 
sio poa, nikikumbuka jiwe langu moja lilipoondokaga kimasihara nabaki nacheka tu
 
Alienda mtu kunywa pombe ikumbukwe sio mteja wa pale hafahamiki. Akiendelea kunywa akaanza kumuomba counter amuazime simu ili mpigie mtu amletee hela aendelee kunywa mdada wa counter katika utetezi wake anadai Mara ya kwanza alimnyima kwa madai simu haina salio jamaa akaendelea kusihi apewe tu amtumie meseji.

Haifahamiki Kama ni uchawi ulitumika au sayansi ya kumnyenga mtu kwa kumpa offer za bia ila dakika ya mwisho dada alimpatia simu na jamaa bila kupoteza muda akabadilisha namba ya simu iliyoandika the boss yeye akaeidit ikawa namba yake za boss. Tena zilikuwa kama tatu akazibadilisha zote akamrudishia simu. Wakaendelea kumwagilia moyo.

Asubuhi kufika meseji inaingia ikimtaka amwambie mauzo ya jana kapata shingapi dada akastaajabu kwanini leo iwe hivi wakati bosi hanaga kawaida ya kuulizia mahesabu huwa anakuja mwenyewe kuyafuatilia. Basi kwa kuwa bosi ni bosi akaambiwa ipo kiasi fulani laki tano.

Jamaa (boss) akamuamrisha aende kwa wakali atume fasta pesa kwenye namba fulani nyingine 07***** jina litakuja fulani fulani ili anunue vinywaji kwa bei rahisi kwani Kuna mtu anataka afunge bar yake pesa ikatumwa maelezo baadae yanakuja kuwa mengi Ila ndo tayari kesi ya utapeli imeshatokea.

Wale wenye biashara waambieni wanaowauzia wawe makini kuzoeana na mtu haraka maisha ya Sasa sio ya kumsaidia mtu simu yako usimuazime kabisa usije kupata shida ya matukio ya kihalifu.
Utapeli ni sanaa. Kama sanaa nyingine,sanaa ya utapeli, ikichezwa vizuri na wasanii wabobezi, huchomoki na hata ukichomoka utachomoka na majeraha.

mwaka 1994 nlitapeliwa na wauza madini feki pale maeneo ya FM club kinondoni, ule mtaa uliokuwa na ofisi za Kabombe Tours, sitakaa nisahau.
 
Alienda mtu kunywa pombe ikumbukwe sio mteja wa pale hafahamiki. Akiendelea kunywa akaanza kumuomba counter amuazime simu ili mpigie mtu amletee hela aendelee kunywa mdada wa counter katika utetezi wake anadai Mara ya kwanza alimnyima kwa madai simu haina salio jamaa akaendelea kusihi apewe tu amtumie meseji.

Haifahamiki Kama ni uchawi ulitumika au sayansi ya kumnyenga mtu kwa kumpa offer za bia ila dakika ya mwisho dada alimpatia simu na jamaa bila kupoteza muda akabadilisha namba ya simu iliyoandika the boss yeye akaeidit ikawa namba yake za boss. Tena zilikuwa kama tatu akazibadilisha zote akamrudishia simu. Wakaendelea kumwagilia moyo.

Asubuhi kufika meseji inaingia ikimtaka amwambie mauzo ya jana kapata shingapi dada akastaajabu kwanini leo iwe hivi wakati bosi hanaga kawaida ya kuulizia mahesabu huwa anakuja mwenyewe kuyafuatilia. Basi kwa kuwa bosi ni bosi akaambiwa ipo kiasi fulani laki tano.

Jamaa (boss) akamuamrisha aende kwa wakali atume fasta pesa kwenye namba fulani nyingine 07***** jina litakuja fulani fulani ili anunue vinywaji kwa bei rahisi kwani Kuna mtu anataka afunge bar yake pesa ikatumwa maelezo baadae yanakuja kuwa mengi Ila ndo tayari kesi ya utapeli imeshatokea.

Wale wenye biashara waambieni wanaowauzia wawe makini kuzoeana na mtu haraka maisha ya Sasa sio ya kumsaidia mtu simu yako usimuazime kabisa usije kupata shida ya matukio ya kihalifu.
Not possible
 
Kwani huyo counter ali save namba ya boss wake kwa jina la Boss?
 
Back
Top Bottom