ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 23,713
- 57,233
- Thread starter
- #21
Hujaelewa Nini mkuu yaani jamaa kamwambia kbs tuma pesa kwenye namba hii JINA litakuja fulani..Sawa lakini wakala mara nyingi uuliza na jina.

Mkuu mbona maelezo yapo vzr yaani conversation ya counter na boss fake ilimtaka atume pesa kwenye namba nyingine kabisa ya mtu ambaye anaenda kumuuzia vinywaji so jina likatokea hilohilowakati anatuma halikutokea jina la anayemtumia?
Mjini shure shamba kijijiAlienda mtu kunywa pombe ikumbukwe sio mteja wa pale hafahamiki. Akiendelea kunywa akaanza kumuomba counter amuazime simu ili mpigie mtu amletee hela aendelee kunywa mdada wa counter katika utetezi wake anadai Mara ya kwanza alimnyima kwa madai simu haina salio jamaa akaendelea kusihi apewe tu amtumie meseji.
Haifahamiki Kama ni uchawi ulitumika au sayansi ya kumnyenga mtu kwa kumpa offer za bia ila dakika ya mwisho dada alimpatia simu na jamaa bila kupoteza muda akabadilisha namba ya simu iliyoandika the boss yeye akaeidit ikawa namba yake...za boss Tena zilikuwa Kama tatu akazibadilisha zote akamrudishia simu.wakaendelea kumwagilia moyo..
Asubuhi kufika meseji inaingia ikimtaka amwambie mauzo ya Jana kapata shingapi dada akastaajabu kwanini Leo iwe hivi wakati boss hanaga kawaida ya kuulizia mahesabu huwa anakuja mwenyewe kuyafuatilia Basi kwa Kuwa boss NI boss akaambiwa ipo kiasi fulani laki tano..jamaa(boss) akamuamrisha aende kwa wakali atume fasta pesa kwenye namba fulani nyingine 07******** jina litakuja fulani fulani ili anunue vinywaji kwa Bei rahisi kwani Kuna mtu anataka afunge bar yake pesa ikatumwa maelezo baadae yanakuja kuwa mengi Ila ndo tayari kesi ya utapeli imeshatokea.
Wale wenye biashara waambieni wanaowauzia wawe makini kuzoeana na mtu haraka maisha ya Sasa sio ya kumsaidia mtu simu yako usimuazime kabisa usije kupata shida ya matukio ya kihalifu.
Huu mchazo wa siku nyingi. Hata hapa walishaweka. Jamaa aliibiwa dukani. Mwizi alijifanya ananunua bidhaa nyingi za bei kubwa, halafu akaomba simu aulizie watakuja kuzichukuwa muda gani. Kupewa simu akafanya mchezo kama huu ulioeleza.Mdada anamwambia boss amkate 200000 kila mwezi ambakishie 50000 Sasa sijajua itaishiaje hi kesi maana kesho wote na wahudumu wengine wanaitwa polisi wakatoe maelezo...ndo hapo nikapata nafasi pia ya kujua mshahara wa counter kumbe NI laki mbili na nusu
..me Nilikuwa najuaga labda laki moja tu
Rule no. 3: Don't initiate contacts with strangersAlienda mtu kunywa pombe ikumbukwe sio mteja wa pale hafahamiki. Akiendelea kunywa akaanza kumuomba counter amuazime simu ili mpigie mtu amletee hela aendelee kunywa mdada wa counter katika utetezi wake anadai Mara ya kwanza alimnyima kwa madai simu haina salio jamaa akaendelea kusihi apewe tu amtumie meseji.
Haifahamiki Kama ni uchawi ulitumika au sayansi ya kumnyenga mtu kwa kumpa offer za bia ila dakika ya mwisho dada alimpatia simu na jamaa bila kupoteza muda akabadilisha namba ya simu iliyoandika the boss yeye akaeidit ikawa namba yake...za boss Tena zilikuwa Kama tatu akazibadilisha zote akamrudishia simu.wakaendelea kumwagilia moyo..
Asubuhi kufika meseji inaingia ikimtaka amwambie mauzo ya Jana kapata shingapi dada akastaajabu kwanini Leo iwe hivi wakati boss hanaga kawaida ya kuulizia mahesabu huwa anakuja mwenyewe kuyafuatilia Basi kwa Kuwa boss NI boss akaambiwa ipo kiasi fulani laki tano..jamaa(boss) akamuamrisha aende kwa wakali atume fasta pesa kwenye namba fulani nyingine 07******** jina litakuja fulani fulani ili anunue vinywaji kwa Bei rahisi kwani Kuna mtu anataka afunge bar yake pesa ikatumwa maelezo baadae yanakuja kuwa mengi Ila ndo tayari kesi ya utapeli imeshatokea.
Wale wenye biashara waambieni wanaowauzia wawe makini kuzoeana na mtu haraka maisha ya Sasa sio ya kumsaidia mtu simu yako usimuazime kabisa usije kupata shida ya matukio ya kihalifu.
Tapeli angetafuta jina la mmilikiUna 'save' jina boss? Hapo lazima ulie.
Alitakiwa asave kwa jina lake huyo mmiliki.
Alipewa maelekezo, soma Tena Kwa utulivuHapa kuna jambo...
Ukiwenda kwa wakala uwezi tuma ela lazima atakwambia jina ni nani...
Aliambiwa atume Kwa jina aliloelekezwa!! Naona hii ni aina mpya ya utapeliNimeipenda hii technique.. ila uyo counter ajui jina la bosi wake? Pesa yote iyo anaotuma kichwa kichwa tu bila kuhakiki jina
Acha kubadili story,umedai yule tapeli alifanya kubadili namba kwenye jina liloseviwa "Boss" na kwakuwa Counter asubuhi alipopokea simu na hatimaye kutakiwa kutuma pesa ya mauzo yeye alikwenda kwa wakala na kumpatia pesa na kumtajia namba za "Boss" na wakala akatuma.Hujaelewa Nini mkuu yaani jamaa kamwambia kbs tuma pesa kwenye namba hii JINA litakuja fulani..
Kama umesoma vizuri, tapeli alimwelekeza, atume kwenye no fulani, jina litatokea la fulani, ili hiyo hela akanunulie vinywaji.Hapa kuna jambo...
Ukiwenda kwa wakala uwezi tuma ela lazima atakwambia jina ni nani...
Ok..niliedit baada ya kugundua Kuna info sikuziweka.Acha kubadili story,umedai yule tapeli alifanya kubadili namba kwenye jina liloseviwa "Boss" na kwakuwa Counter asubuhi alipopokea simu na hatimaye kutakiwa kutuma pesa ya mauzo yeye alikwenda kwa wakala na kumpatia pesa na kumtajia namba za "Boss" na wakala akatuma.
Ndio tunauliza inamaana wakala hakuuliza jina litakalotokea? Sasa unasema Counter alitaja jina,je jina lilotokea ni la Boss halisi au Boss tapeli na kama lilitokea jina la Boss tapeli ilikuwaje Counter hakushtuka kwamba jina lilokuja sio la Boss wake?
Brother ukiwa muongo unahitaji kuwa na kumbukumbu.
Hamna muhudumu wa bar anayelipwa mshahara wa 250,000.Mdada anamwambia boss amkate 200000 kila mwezi ambakishie 50000 Sasa sijajua itaishiaje hi kesi maana kesho wote na wahudumu wengine wanaitwa polisi wakatoe maelezo...ndo hapo nikapata nafasi pia ya kujua mshahara wa counter kumbe NI laki mbili na nusu
..me Nilikuwa najuaga labda laki moja tu
Hii ni kamba..Utapeli ukisukwa vizuri si mimi wala wewe wala yeyote anachomoka
POLE. SIKU NYINGINE UWE MAKINI.Alienda mtu kunywa pombe ikumbukwe sio mteja wa pale hafahamiki. Akiendelea kunywa akaanza kumuomba counter amuazime simu ili mpigie mtu amletee hela aendelee kunywa mdada wa counter katika utetezi wake anadai Mara ya kwanza alimnyima kwa madai simu haina salio jamaa akaendelea kusihi apewe tu amtumie meseji.
Haifahamiki Kama ni uchawi ulitumika au sayansi ya kumnyenga mtu kwa kumpa offer za bia ila dakika ya mwisho dada alimpatia simu na jamaa bila kupoteza muda akabadilisha namba ya simu iliyoandika the boss yeye akaeidit ikawa namba yake...za boss Tena zilikuwa Kama tatu akazibadilisha zote akamrudishia simu.wakaendelea kumwagilia moyo..
Asubuhi kufika meseji inaingia ikimtaka amwambie mauzo ya Jana kapata shingapi dada akastaajabu kwanini Leo iwe hivi wakati boss hanaga kawaida ya kuulizia mahesabu huwa anakuja mwenyewe kuyafuatilia Basi kwa Kuwa boss NI boss akaambiwa ipo kiasi fulani laki tano..jamaa(boss) akamuamrisha aende kwa wakali atume fasta pesa kwenye namba fulani nyingine 07******** jina litakuja fulani fulani ili anunue vinywaji kwa Bei rahisi kwani Kuna mtu anataka afunge bar yake pesa ikatumwa maelezo baadae yanakuja kuwa mengi Ila ndo tayari kesi ya utapeli imeshatokea.
Wale wenye biashara waambieni wanaowauzia wawe makini kuzoeana na mtu haraka maisha ya Sasa sio ya kumsaidia mtu simu yako usimuazime kabisa usije kupata shida ya matukio ya kihalifu.
Ok..mkiambiwa kitu nyie SI hamuaminiHamna muhudumu wa bar anayelipwa mshahara wa 250,000.
Ok.xxxPOLE. SIKU NYINGINE UWE MAKINI.