Kete Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 6,661
- 6,909
Mkuu unawafahamu matapeli au unawasikia tu, jamaa wanatumia akili nyingi. Kujua jina la mmiliki wala isingekuwa kazi kwa watu wenye malengo yao.Una 'save' jina boss? Hapo lazima ulie.
Alitakiwa asave kwa jina lake huyo mmiliki.