What..?Wamarekani Sasha ndio Natasha
Numbisa kabila gani?
Wasukuma.
Nimekosea?sio jina moja?What..?
Bilqis alikuwa malkia wa Ethiopia
yule alieenda kwa mfalme Suleiman na dhahabu
Suleiman akamfanyia ujanja wa kuweka dhahabu barabarani
akaishiwa kuolewa na Suleiman


linaweza kuwa jina la mitishamba hili
Akinyi
Atieno
Anyango
Akoth
Adhiambo
Chagua moja Kati ya hayo aiseeee....![]()
![]()
![]()
Amilah (hopefully)
Maanayake?
Mwenye hekima
Jasmine