Kizimbuzi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 1,569
- 745
Jamani humu wengi tunatumia majina feki je jina lako kamili ni nani?
Mimi langu ni GRACE ANDERSON.
mimi naitwa Edward Mrisho Wassira Mwigulu Slaa Mbowe Kinana a.k.a Lipumba Mrema Sitta Aduwilly
Weka na namba yako ya simu ,national ID , passport or birth certificate hapa tuku verify !usitulee manyago!Jamani humu wengi tunatumia majina feki je jina lako kamili ni nani?
Mimi langu ni GRACE ANDERSON.
hyu kaka anayejifanya ni mwanamke nadhani ametumwa au ana yake maana tangu juzi anauliza maswali anayodhani ni ya kidadisi kwa GREAT THINKERZ , juzi anauliza eti wewe kama mwana jamvi una ID ngapi jamvini huku akijua wazi kuwa kwa sheria na taratibu za JF ni kosa kuwa na ID zaidi ya moja na leo anakuja kuuliza majina halisi ya wanaJF, nadhani kama ni kweli huyu mtoa post ni mwanamke basi atakuwa mwezini, hiyo ni privacy na ndio maana wanaotaka kujulikana wametoa majina yao hata kama ni ya uongo(ukiondoa wale public figures) na kuwa termed kama VERIFIED MEMBERS sasa wewe nadhani unajambo...ngoja tusubiri tuone mpango wako kama utafanikiwa.
ww sio mzima
Yani ni kama kura ya wazi na siri wanaotaka ya wazi wanajuliksna na sisi wa siri id zetu zinajieleza huyu mleta mada anataka nini sijui.
Jina langu kamili naitwa [Jidulamabambashi Itungolyambigili Magwangala]
cc: manimimi naitwa msitu wa ngedere mwanamakumaza kifuananga mkundujiwe navuka mto bila kulowa mapmbuz bin ng'wana nyiao ni kagoma ukitoatoa utamuekea nyiao