hahahhaaaaaaa umekosea ku-pronouce hebu rudia tena MUMANGU SHEJAWANANGU sounds good huh! Nani atakusaidia kutamka hapa pengine Palomaha haaa et muumeo shejawanao duuu
xaxa unashndw kuamin mm ni ke kwani unadhani ni kila ke anaweza kusound kama ke
mi naitwa nani vile
jamani humu wengi tunatumia majina feki je jina lako kamili ni nani?....mm langu ni GRACE ANDERSON
jamani humu wengi tunatumia majina feki je jina lako kamili ni nani?....mm langu ni GRACE ANDERSON
Jamani humu wengi tunatumia majina feki je jina lako kamili ni nani?
Mimi langu ni GRACE ANDERSON.