Jina lako kamili ni nani?

Jina lako kamili ni nani?

Mie naitwa mwajuma ndalandefu, Nyani Ngabu anaitwa hamisi kishindindo. Si haba kama unamjua jirani yako ukatutajia jina lake.
 
Last edited by a moderator:
Yaani posts 77 mara unataka kujua majina ya watu! Hivi unaijua jamii F au unadandia tu train kwa mbele! Some people!
 
Achana na hao wanaoficha majina yao mimi naitwa Criss Wakung'wenyegerajawiye yaani ni sawa na kuniita Criss mpenda vya watu tafasiri kwa kiswahili , unaweza tu ukaniita kwa kifupi ''Waku baba '' nitaakua nimekupata poa samahani linaweza kuwa jina gumu kidogo lakini usijali ndio majina yetu ya asili yalivyo Grace .
 
hyu kaka anayejifanya ni mwanamke nadhani ametumwa au ana yake maana tangu juzi anauliza maswali anayodhani ni ya kidadisi kwa GREAT THINKERZ , juzi anauliza eti wewe kama mwana jamvi una ID ngapi jamvini huku akijua wazi kuwa kwa sheria na taratibu za JF ni kosa kuwa na ID zaidi ya moja na leo anakuja kuuliza majina halisi ya wanaJF, nadhani kama ni kweli huyu mtoa post ni mwanamke basi atakuwa mwezini, hiyo ni privacy na ndio maana wanaotaka kujulikana wametoa majina yao hata kama ni ya uongo(ukiondoa wale public figures) na kuwa termed kama VERIFIED MEMBERS sasa wewe nadhani unajambo...ngoja tusubiri tuone mpango wako kama utafanikiwa.
 
We majn ya wa2 ya nn nenda nao PM. huko mtapeana kilaki2
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom