Jina gani zuri naweza kulitumia kwenye bar yangu?

Mkuu mimi ni graduate.
Nimekaa miaka mitano bila ajira ya kueleweka kabisa

Sidhani kama nikinyima mtu hiki kidogo nitafanya sawa. Mwenyezi Mungu ataninyima baraka.

Naamini naweza pata mwajiri mpya kupitia forum hii

Lets share a little we have to support others.

Cc TIN 14

Daily profit sheet Ipo vizuri.
Nikitaka kufahamu mzigo uliopo store,mzigo mpya ulioingia,mzigo uliotoka,
 
Mkuu mimi ni graduate.
Nimekaa miaka mitano bila ajira ya kueleweka kabisa

Sidhani kama nikinyima mtu hiki kidogo nitafanya sawa. Mwenyezi Mungu ataninyima baraka.

Naamini naweza pata mwajiri mpya kupitia forum hii

Lets share a little we have to support others.

Cc TIN 14
naomba nitumie hii
 
Shomary47 hii ndio excel yenyewe
 
Habari ndugu, jamaa na marafiki katika mihangaiko yangu ya hapa na pale baada ya kusoma mawazo ya wadau humu, nimefanikiwa kufungua Bar nimekuja kwenu ili nipate jina zuri ambalo naweza kulitumia kwa ajili ya hiyo bar.

Asanteni.

Siyo utani. Nasema kweli. Biashara itakushinda mapema sana. Kama umeshindwa kutafuta jina la Bar yako basi yajayo yatakushinda.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom