Natafuta Mshirika wa Biashara ya Chips Tabata Kinyerezi

Gerald1

Member
Jan 17, 2022
89
111
Habari zenu ndugu jamaa na marafiki, Me naitwa Gerald Anthony Lyapega naishi Kinyerezi ni muhangaikaji wa kawaida tu kwa jina langu la mitaa wananiitaga GYGA.

Pointi yangu ni kupata mshirika wa biashara, mimi nina eneo hapa stendi Kinyerezi nilikuwa na dhumuni la kufungua chips na nyamachoma ya mbuzi.

Sitohitaji anipe pesa yake nahitaji nimpe mahitaji yanayohitajka kisha yeye ndio anunue na kisha anikabidhi na kama uaminifu utakuwa mdogo anaweza nitafutia kijana umjuae au ndugu nikawa nafanya naye mpaka pale imani yako itapotulia ASANTE KWA ULIONIELEWA.

Kwa mkakati mzima nakukukaribisha kuona eneo namba yangu ni 0788317776 muda wote we piga.
 
Habari zenu ndugu jamaa na marafiki, Me naitwa Gerald Anthony Lyapega nasishi kinyerezi ni muangaikaji wa kawaida tu kwa jina langu la mitaa wananiitaga GYGA.

Pointi yangu ni kupata mshirika wa biashara me ninaeneo hapa stendi Kinyerezi nilikua na dhumuni la kufungua chips na nyamachoma ya mbuzi.

Sitohitaji anipe pesa yake nahitaji nimpe mahitaji yanayo itajka kisha yeye ndio anunue na kisha anikabidhi na kama uaminifu utakuwa mdogo anaweza nitafutia kijana umjuae au ndugu nikawa nafanya naye mpaka pale imani yako itapotulia ASANTE KWA ULIO NIELEWA.

Kwa mkakati mzima na kukukaribisha kuona eneo namba yangu ni 0788317776 mda wote we piga.
Mnalipanaje sasa hapo
 
hapo mkataba wanaingiaje sasa maana wauza chips hawa wanakaangs gunia zao halafu lako anakwambia bado
Hizi biashaa za vyakula muda mwingine biashara kichaa. Anauza gunia likiisha anaenda nunua lingine ukienda unakuta biashara ngumu.

Kuna jamaa yangu alifeli Tabata, yeye alifungua bar. Kreti ikitembea wahudumu wananunua nyingine wanaiweka pale. Bos akifika anakuta biashara ngumu.
 
hapo mkataba wanaingiaje sasa maana wauza chips hawa wanakaangs gunia zao halafu lako anakwambia bado
Ni mkataba wa kila siku yeye apewe kiasi gani pia ataamua ndani ya miezi mingapi anaitaji hayo malipo yaani kama bajaj au pikpik tu unavyompa mkataba mtu.
 
Hizi biashaa za vyakula mda mwingine biashara kichaa. Anauza gunia likiisha anarnda nunua lingine ukienda unakuta biashara ngumu.

Kuna jamaa yangu alifeli tabata, yeye alifungua bar. Kreti ikitembea wahudum wananunua nyibgine wanaiweka pale. Bos akifika anakuta biashara ngum
Tupo tofauti sana mzee binadamu maana huwezi sema malezi yako yanafanana na yangu, ukijua hilo la utofauti basi hata katka uaminifu tupo tofauti, nitashukuru kama umenielewa.
 
Hizi biashaa za vyakula mda mwingine biashara kichaa. Anauza gunia likiisha anarnda nunua lingine ukienda unakuta biashara ngumu.

Kuna jamaa yangu alifeli tabata, yeye alifungua bar. Kreti ikitembea wahudum wananunua nyibgine wanaiweka pale. Bos akifika anakuta biashara ngum
Hapo ndipo unapoambiwa kuwa jambo ukilifanya, lifanye kwa nguvu zako zote na akili zako zote. Usifanye tu kama unapoteza muda.

Kama ni muajiriwa, jali kazi yako, ifanye kwa weledi na nguvu zote. Ukikomaa nayo itakulipa kiasi cha kutohitaji kazi au biashara nyingine. Ukitaka biashara, omba likizo nenda simamia kabisa mpaka isimame, sio unafungua tu na kuacha watu wajisimamie.

Shida yetu wengi tunafanya vitu nusu nusu, kwamba usitegemee sehemu moja, wekeza wekeza, sasa huko kwingine basi unakufanya part time, wengine ndio wanaleta ujanja huo kuuza vya kwao kwa kodi na majengo yako. Ukitaka biashara za hivyo basi weka vitu ambavyo mtaji wake ni bei ghali, kama simenti, nondo nk iwe ngumu kidogo mtu kuweka vitu vyake
 
Kwa niliyopitia kwenye biashara kama sitaweza kuisimamia mwenyewe hiyo biashara,ni bora hiyo Hela nifanyie jambo jengine,watu wengi sio waaminifu sikuhizi
 
Hizi biashaa za vyakula mda mwingine biashara kichaa. Anauza gunia likiisha anarnda nunua lingine ukienda unakuta biashara ngumu.

Kuna jamaa yangu alifeli tabata, yeye alifungua bar. Kreti ikitembea wahudum wananunua nyibgine wanaiweka pale. Bos akifika anakuta biashara ngum
Shida ni kwenye malipo mabosi wanajipendelea sanaaaa
 
Back
Top Bottom