HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,691
- 2,303
Ukweli humuweka mtu huru haya wale wasiyojua siasa na wenye mihemko ya kisiasa yako wapi msomi wenu kashindwa na amekubali kushindwa.
Uongozi siyo elimu bali kipawa kutoka kwa mwenyezi Mungu ndiyo maana bado kuna watu wanawaheshimu wazee ktk maamuzi kuliko WASOMI.
JIFUNZENI NA BADILIKENI WASOMI NDIYO WAMETUFIKISHA HAPA!!