kigoma mjini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Maazimio ya kikao cha Kamati Kuu kilichoketi tarehe 30 Juni 2026 Sunset Vista Hotel, Kigoma Mjini

  2. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Baba Levo Hutoboi; Zitto Anapiga Jaramba kula Mema ya ...

    Mahakama huru. Maridhiano chanya. Wanaharakati Magaidi. Maridhiano siyo udhaifu. Hapo kaa kinjagu bwana mdogo, unaenda kuwa picha nzuri kwa mahakama. Mwisho wenzako wanakucheka 😂!.
  3. U

    JamiiForums Tanzania Wasira akonga nyoyo za wananchi Kigoma mjini

    WASIRA AKONGA NYOYO ZA WANANCHI KIGOMA MJINI Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amewahutubia na kukonga nyoyo za mamia ya wana CCM na wananchi wa Kigoma mjini huku akiwataka kudumisha amani, umoja na mshikamano. Wasira amewahutubia wananchi hao leo Mei...
  4. B

    JamiiForums Tanzania KERO Abiria Kigoma Mjini tumechoshwa na tabia ya baadhi ya magari kufaulisha abiria wao kwenye Kampuni ya Takbiir bila ridhaa yao

    Kumekuwa na tabia ambayo imekuwa endelevu kwa baadhi ya mabasi mengi yanayotokea Kigoma kuelekea MWANZA, mfano GTA Express, kuuza wateja wake baada ya kukata tiketi usiku wake unapigiwa simu eti "samahani gari halitoweza kwenda limekodishwa, hivyo mtapanda basi la Kampuni ya TAKBIIR". Wanafanya...
  5. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Kigoma Mjini anzisheni Kigoma Social Funds

    Habari Tanzania ! Nimefurahi kuona Mtanzania ambaye ni Mwakilishi wa watu wa Kigoma Mjini - ndugu, Revocatus Chipando kwa namna anavyopambana na Uchumi Jamii ( Social - Economic Hub). Mimi kama mdau wa maendeleo hapa nchini. Naomba salamu hizi ziwafikie Viongozi wote wa Kigoma Mjini kuwa...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Shule ya Sekondari Buhanda: Wanafunzi wanarudishwa nyumbani kisa madawati hayatoshi

    Mkoa wa Kigoma, Jimbo la Kigoma Mjini – Wanafunzi waliokuwa wameanza kidato cha kwanza hivi karibuni katika Shule ya Sekondari Buhanda baadhi yao wamerudishwa nyumbani baada ya kushindwa kupeleka madawati. Tatizo hilo limetokana na uhaba mkubwa wa madawati, jambo linalozidisha changamoto kwa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mahakama Kuu Kigoma yakataa kusimamisha Kesi ya Uchaguzi Jimbo la Kigoma Mjini

    Tarehe 9, Januari 2026 Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Kigoma, imetupilia mbali ombi la Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Kigoma Mjini na Mwanasheria Mkuu wa Serikali la kutaka kusimamisha usikilizwaji wa kesi ya kupinga matokeo ya ubunge katika jimbo hilo. Uamuzi huo umetolewa leo na Jaji...
  8. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Kigoma Mjini, mwaka mpya msipike pilau kitapikwa chakula cha kwa pamoja

    Mbunge wa Kigoma mjini amewaomba wanachi wa Jimbo lake kutokupika pilau siku ya Mwaka mpya kwani kitapikwa chakula cha kwa pamoja Katika viwanja vya Mwanga Community Center. Aidha Mhe. Baba levo amesema watakuwepo viongozi wa dini mbalimbali ambao watauombea mji wa Kigoma Mjini pamoja na baadhi...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Baba Levo aagiza Halmashauri kuacha kuanzisha kodi mpya, adai “Zinawaumiza Wananchi”

    Mbunge wa Kigoma Mjini Clayton Revocatus Chipando, maarufu Baba Levo aagiza Halmashauri kuacha kuanzisha kodi mpya kwani “Zinawaumiza Wananchi” bali watengeneze vyanzo vipya vya mapato ambapo amesema yeye pamoja na madiwani washirikiane kupunguza baadhi ya tozo zilizopo kwa Wananchi na siyo...
  10. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Baba Levo: Nitamtafuta Zitto kuna mambo mazuri anayo kwa maendeleo ya Kigoma Mjini

    Mbunge mteule wa Kigoma Mjini, Clayton Revocatus (Baba Levo), amesema kuwa alitumia kila aina ya mbinu ili kushinda uchaguzi kutokana na nguvu na uzoefu aliokuwa nao mpinzani wake Zitto Kabwe katika jimbo hilo. Mbubge huyo Mteule ameyazungumza hayo jijini Dodoma, ambapo ameeleza kuwa ushindi...
  11. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mbunge wa Kigoma Mjini Clayton Chipando 'Baba Levo' akiwa nje ya Bunge

    Wakuu... Mbunge wa Kigoma Mjini Clayton Chipando (Baba Levo) kupitia instagram yake amepost video akiwa nje ya Bunge akionyesha sehemu yake mpya ya kazi. Unadhani atakuwa mbunge wa aina gani?
  12. H

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jimbo la Kigoma mjini limeenda kwa B.Levo imekuwaje msomi kashindwa?

    Ukweli humuweka mtu huru haya wale wasiyojua siasa na wenye mihemko ya kisiasa yako wapi msomi wenu kashindwa na amekubali kushindwa. Uongozi siyo elimu bali kipawa kutoka kwa mwenyezi Mungu ndiyo maana bado kuna watu wanawaheshimu wazee ktk maamuzi kuliko WASOMI. JIFUNZENI NA BADILIKENI...
  13. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Aibu kwa Zitto: Tume yamtangaza BabaLevo kuwa Mshindi Kigoma Mjini

    Hii ni aibu ya karne kwa kaka yetu Zitto
  14. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mjumbe CCM Kigoma Mjini: ACT walikuja kuniomba kura nikaibiwa simu yangu

    Wakuu, Mwananchi katika jimbo la kigoma mjini ambaye pia ni mjumbe wa balozi CCM amefunguka kuwa timu ya watu wa ACT walimtembelea nyumbani kwake kwaajili ya kumuomba kura lakini wakaondoka na simu yake kitendo ambacho kimetafsiriwa kuwa ni wizi. Tukio hilo limetokea tarehe 25 mwezi September...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto: Siendi kufanya uchawa ili nipendelewe, naenda kuwasemea ikibidi kufoka

    Mgombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameahidi kutokuwa tayari kufanya vitendo vya kujipendekeza 'uchawa' bungeni ili apendelewe, badala yake ataendelea kupigania haki za wananchi wake kwa nguvu zote, ikibidi hata kwa kufoka. Amesema hayo Septemba...
  16. and 998 others

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kigoma Mjini hongereni kwa kumpata ZZK

    Tunawashukuru wote kwa ushiriki wa mchakato. Hakika mnastahili
  17. Raia Fulani

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo asante kwa kushiriki. Kigoma mjini ni ya Zitto

    Ukweli mchungu. Hata Chipando mwenyewe anajua sasa, kuwa hali si shwari tena na sio mteremko baada ya kusikia kauli ya mgombea urais ccm. Kote kwingine alikuwa akisema anataka mafiga matatu ila alipofika Kigoma kauli yake ilibadilika. Kwamba wanakigoma wataamua. Huo ni ujumbe kwako Chipando kuwa...
  18. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo: Kazi ya kwanza kufanya Kigoma Mjini ni kufuta barabara za vumbi, yasipotokea mnifukuze kama mbwa

    Mgombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Clayton Revocatus Chipando, maarufu kama Baba Levo amesema Moja ya ahadi zake kuu ni kufuta barabara za vumbi na kuboresha mazingira ya jimbo lake huku akisema anayoyaongea yasipotokea afukuzwe kama mbwa.
  19. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo: Askari atakayewanyanyasa bodaboda na bajaji Kigoma Mjini atatafuta nyumba ya kwenda jimbo lingine

    Mgombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Clayton Revocatus Chipando, maarufu kama Baba Levo, leo ameanza rasmi kampeni zake kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025-2030. Uzinduzi wa kampeni hizo ulifanyika katika Viwanja vya Mwanga Community Center, ambapo Baba...
  20. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto azindua Kampeni Kigoma Mjini aahidi kupigania haki za kiraia

    Mgombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amezindua rasmi kampeni za ubunge na udiwani kwa chama hicho katika mkoa mzima wa Kigoma. Akizungumza katika uzinduzi huo, Zitto amesisitiza dhamira yake ya kupigania haki za kiraia kwa wazawa wa Kigoma. Mbali...
Back
Top Bottom