Jimbo la Kibamba, barabara ni mbovu mno. Wizara ya Ujenzi mtusaidie jamani

Jimbo lishamshinda huyo ngoja 2025 ndio atajua hajui yani anashindwa hata na temeke huko buza vichochoroni tu wameweka zege kila kona
Kwa kweli hii wilaya imeachwa mno hasa jimbo la kibamba ni balaa. Barabara za ndani zimeterekezwa na wenye magari wanatukimbia hasa sisi wa msumi! Magari yaliyopo ni mabovu nayo ni machache kutokana na ubovu wa barabara. Kazi ipo.
 
pole sana mkuu
 
Back
Top Bottom