mwanzo wetu
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 1,581
- 461
Nianze moja kwa moja kusema kuwa siasa Sasa imegeuka kuwa bidhaa Bora na biashara Bora katika maisha ya viongozi wengi hapa duniani hasa Tanzania Bila kuwaza kuwa watanzania wanahitaji maendeleo kupitia wawakilishi wao ila zaidi kujineemesha pekee.
Kufuatia mh. Mpango kuteuliwa kuwa Makamu wa Rais kikatiba Jimbo lake la Buhigwe lilikuwa wazi toka siku hiyo anateuliwa.
Tume ya Taifa ilitangaza kuanza kufanyiwa mchakato wa upatikanaji wa mbunge mpya.
Na ndani ya Chama Cha mapinduzi ikatolewa ratiba ya kufanyika utaratibu wa kuchukua fomu ndani ya Chama ambapo April 17 na mwisho ikiwa April 19 ambapo ni leo hii na hatua ya uchukuaji fomu inaendelea na ikielezwa kuwa uchaguzi wa kumpata wa kupeperusha kijiti hicho ndani ya Chama ktk uchaguz huo mdogo ni siku ya jumatano ya wiki hii ya Aprill 21 mwaka huu.
Mpaka Sasa wanaotajwa kuchukua fomu ktk uchaguz huo huenda wakafika 40 ambapo mpaka Sasa wameshachukua fomu watu 27 Jambo ambalo unaweza kuona siasa jinsi ilivyo ktk kusaka mkate kupitia siasa nje na lengo la kuwatumikia wananchi, hatukatai ndio Demokrasia ila siyo kwa mtindo huo.
Mpaka Sasa ni nikupigana vibega wao kwa wao wengine wakiungana kumkabili mtu mmoja pengine mwenyenguvu ingawa wengi wamekuwa wakiona mwenye Nguvu na mwenye uwezo wa kumrithi mh. Mpango huenda akawa Injinia Aron Sisiye Zabron kutokana yeye kuwa na Nguvu katika ukanda wa Buhigwe maana inasadikiwa Jimbo hilo kuwa na tatizo la ukwetu yaani ukanda ambapo ukandanda wa manyovu wametoka wengi hivyo kugawana kura na kuangukia patupu ukilinganisha na waliochukua fomu kutwaa kugombania nafasi hiyo kwa ukanda wa Buhigwe yaani ule ukanda wa mh. Mpango anakotoka.
Ukanda wa Manyovu mpaka Sasa wamefika 23 huku ukanda ule wa Buhigwe anakotoka mh. Mpango wakiwa wa nne tu ambapo ametajwa mwenye nguvu kuwa ni Aron Zabron.
Utitiri wa Wagombea wengi hii inaleta zaidi picha kuwa siasa imekuwa kitu cha kuwa weka wengi mjini kuliko Jambo lolote maana wengi wamekuwa wakiacha kazi nzuri tu na kukimbilia upande huu wa siasa.
Nawasilisha kwenu wadau pengine huenda mkawa na mtazamo zaidi juu ya kuwepo kwa utitiri mkubwa wa Wagombea.