QUOTE]
Mkuu Jasusi,
Huju jamaa siyo mtu wakuishi mahenge kwenye nyuma ya nyasi, choo cha shimo chakulenga, wala kupikia msosi kutumia kuni.
Huyu jamaa mimi ninamfahamu, nilikuwa nakutana nae mara nyingi pale dar es salaam katika bar ya wenye nazo enzi zile iliyokuwa namanga ilikuwa ikijulikana kama KIMICHO, mambo yake yalikuwa safi..i can even break it down kidogo jamaa alikuwa anapenda kinjwaji chake, embassy king na vilevile ni mchezaji mzuri sana wa poor(snooker), nakumbuka enzi zile alikuwa anakuja na gari yake ya musso na q-stick yake ya pool, mama hajakosea jamaa lugha ya malkia anaifahamu na ukimchunguza zaidi utagundua ni miongoni mwa wale wazee wajanja wa zamani, au kwa sasa waweza mwita mzee kijana.
Ukiangalia picha aliyopiga pamoja na huyo mama wa kizungu, nyuma yake utaona fence ya nyumba hiyo nyumba siyo ile inayozungumziwa na mwandishi wa makala haya, kuna mambo makubwa yamekosewa humu kwenya makala.
Huyu bwana ni mfanyabiashara na anaishi dar na mambo yake si haba.
Lakini sijui kama ni mwenyeji wa mahenge ya moro au iringa.
Ni hayo tu.