Mario Kejob
JF-Expert Member
- Apr 14, 2020
- 441
- 536
Mji wa Kigoma ulikosa maji kwa miaka ishirini mbali kuwa ziwa lipo kilimita moja kutoka mjini. Upo mradi unasuasua sasa hivi na haujulikani utaisha lini.Kukosa maji kwa TZ ni ulafi wa viongozi tu........Kama Dubai jangwani wana maji safi na salama ndio tutashindwa sisi wakati tumezungukwa na maziwa,mito na vyanzo kibao vya maji ardhini?
Kupanga ni kuchagua. Waafrika huwa tuna pick priorities zetu vibaya.