Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,786
- 35,747
Tuko kwenye uchumi wa kati.Maji hadi leo ni tabu nchi hii,tena makao makuu ya nchi
Tumelogwa sisi wabongo
Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
Tuko kwenye uchumi wa kati.Maji hadi leo ni tabu nchi hii,tena makao makuu ya nchi
Tumelogwa sisi wabongo
Dodoma anapata na yule dogo Mavunde mshamba tu nae watampa ila hamna lolote analowafanyia.Na bado jiwe atapewa kura kwa kisingizio eti maji hamna kwa sababu za ukame ila nchi kama Iraq,saudia na Algeria hawalii shida ya maji kama hapa
Humo vyuoni ndio shida plus kuna kipindi inafika hadi wiki maji hayaonekani.Ukiwauliza sababu DUWASA wanajibu eti kuna ongezeko la watumiaji maji sasa jiulize wakati huu wana vyuo hawapo wakirejea si ndio itakuwa mara moja kila baada ya siku 7
Dodoma mamburura ni wengi, hili tatizo la mgawo wa maji linaenda almost mwezi wa pili sasa na hakuna anayelisemea wala kukenua yapoyapo mamtu ya dodomaMwananchi lijianda kwa adhabu
Dodoma ujinga ni mwingi sana na unachangiwa na ccm.Humo vyuoni ndio shida plus kuna kipindi inafika hadi wiki maji hayaonekani.
Kuna Dogo alipost picha twitter ikionyesha shida ya maji udom alikamatwa akapelekwa central
Yule tumbotumbo hana lolote.Msemaji Wa Serikali Haraka Atakanusha Hii
Ila Ila Haa 😁😂🤣
Jaribu kwenda mpwapwa+ kongwa afu utaleta mrejesho maji ya kule hayafaiduh!? basi ni changamoto sana mkuu, nlikua na semina last week hapo nkafikia karibu na mjini maeneo yanaitwa kikuyu, changamoto nliyokutana nayo ilikua maji ya chumvi na kupauka.. ila hyo shida nliambiwa ipo sana wilaya ya BAHI. .
wahusika walishughulikie hili.
Namuona Mkuu Wa Mkoa Wa DodomaHao wakazi wa huko (wagogo) wengi hawajielewi wacha wanyweshwe hata mavi hakuna shidaa!!
magufuli mitano tena
Dodoma Kwa Hatua Ya Jiji Haina Hadhi HiyoDodoma mamburura ni wengi, hili tatizo la mgawo wa maji linaenda almost mwezi wa pili sasa na hakuna anayelisemea wala kukenua yapoyapo mamtu ya dodoma
Ilikuwa Wapi Wewemagufuli mitano tena
Sana
Na bado jiwe atapewa kura kwa kisingizio eti maji hamna kwa sababu za ukame ila nchi kama Iraq,saudia na Algeria hawalii shida ya maji kama hapa