Dodoma nmekaa sana pale! Kwakweli maisha ya pale sio rafiki, Maji kwanza ya shida na yana chumvi ile mbaya, kupausha nguo au kupauka wakati umetoka kuoga ni swala la kawaida tu..
........Dodoma bado sana maendeleo ya kijamii afu ndio makao makuu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Dodoma panafaa ukiwa na fedha kwa sababu kwa sasa maisha yake ni ghali.
Kwa kazi zetu sisi tunabwia maji ya bombani bila hata kuyachemsha ila sasa hivi kuyapata ni kipengele, inabidi tununue ya litre 12 kwa 4500.
Usafiri wa Dodoma ni kinyaa kama huna gari na unahitaji kukimbizana na hela sikushauri uje maana hutapata daladala watu wanajaa na bado limepaki kama wanaenda mkoa vile wako kimyaaa
Humo vyuoni ndio shida plus kuna kipindi inafika hadi wiki maji hayaonekani.
Kuna Dogo alipost picha twitter ikionyesha shida ya maji udom alikamatwa akapelekwa central
Inaelezwa jiji la Dodoma linakabiliwa na uhaba mkubwa wa maji uliopelekea dumu kuuzwa kwa bei ya Tsh 1000 katika mji mkuu huo wa Tanzania
Chanzo: Gazeti la mwananchi kupitia Facebook page yao
Tukutane kwenye comment
Wakati wa uchaguzi huuInaelezwa jiji la Dodoma linakabiliwa na uhaba mkubwa wa maji uliopelekea dumu kuuzwa kwa bei ya Tsh 1000 katika mji mkuu huo wa Tanzania
Chanzo: Gazeti la mwananchi kupitia Facebook page yao
Tukutane kwenye comment
Mara tatu zaidiJaribu kwenda mpwapwa+ kongwa afu utaleta mrejesho maji ya kule hayafai