Jiji la Mbeya kama kijiji

Kwa Tanzania nchi kilaza hakuna sehemu ambayo inaweza sema iko qualified katika muonekano wa majiji
At list katika Africa south Africa lakin wengine wote ni kenge na mta subiri sanaa especially chini ya sahara desert
Mbeya city stand up
 

Watu mnataka kuishi maisha ya facebook humu. Mnajifanya mna akili wakati ni masikini wa akili na mali. Tanzania imejaa fursa kila sehemu, unaitumiaje wewe?
 
Kwa sasa Mbeya inaongoza kwa Maambukizi Mapya ya UKIMWI. Nafikiri hilo ndo wana MBEYA wanalifanya kwa ufanisi mkubwa. Zaidi ni lile la kuanzisha makanisa/madhehebu kila kukicha
Nani kakwambia kipimo cha maendeleo kinaangalia maambukuzi mapya ya UKIMWI? Unajua maambukizi mapya Unguja, Pemba, Lindi na Mtwara yakoje?
 


Well said......about Mbeya.......pale Mwanjelwa ni kama "Kibera No.2", kule maeneo ya Ghana, Soko Matola...yaani dah...ni balaa/vurugu tupu......halafu wanaita Jiji......akina Lole Gwakisa ........vipi tena shemeji zangu....nyie mnapitiliza Tukuyu wala hamjali Mbeya Mjini.....angalieni na ile Tukuyu mnaipeleka vibaya......wasomi nyie lazima muwaweke sawa viongozi wenu...resources mnazo za kutosha na za kutisha......ni suala la planning tu.......na kusimamia utekelezaji wake
 
Last edited by a moderator:

mkuu, hakuna shida ya maji huko mji mzima.
 
Mtoa mada na vihela vyake vya ubahili anaenda kulala sehemu za hovyo hovyo then analeta hapa mada za uongo mtupu!Hotel za maana zipo Mbeya tena nyingi tu
 
Bukoba kuna hoteli nzuri kuliko Mbeya...bisha?:A S 13:

Hotel gani nzuri Bukoba kuliko Mbeya?Hiyo Walk Guard au ile Victoria?Bukoba kutoka Kitendaguro hadi kule Izimbya huwezi ifananisha na Mbeya!
 
Umepanic sana...watu wa mbeya bado washamba sana na mambo ya majiji

Mbona unatutusi bila sababu?

Jamaa huyu kafika hoteli za bei chee anakuja lalamika hapa!Kuna hotel nzuri sana Mbeya ni hela yako tu
 
Hill View au Utengule ni hotel nzuri mno!Sasa yy ana buku 5 za bajeti ya kulala unategemea apelekwe hoteli gani Kigogo ?
 
Last edited by a moderator:
kiukweli mbeya bado sana kwa mara ya kwanza kufika mbeya nilikaa ilomba nikawauliza wenyeji mjini mbali sana wakasema hapa ndio town nilijinyamazia mbeya mipangomiji ni vurugu tupu ,Tanga wamesaidiwa na mji kupangika lakini nako hamna kitu kweli Moshi kuzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…