educator2025
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 403
- 464
Mbeya kwa namna yoyote haipaswi kuwa jiji kabla ya Dodoma. Yaani ni ujinga ulifanyika kuipa hadhi ya jiji
Umepanic wewe,yani unalilia uzuri wa maeneo miaka ya leo!!! wenzako tunaishi vijijini huku hata umeme hakuna but hatuna wasiwasi.Kuanza kujadili uzur ama ubaya wa maeneo ni UTOTO wa hal ya juu.Jitafakari
Tanga na Dodoma imepangika vizuri sana
tafuta ramani ya mpango mji wa hiyo mikoa alafu utoe comment yakoKweli sababu wana uchumi mkubwa na wamejitahidi kielimu na ulewa kuliko Mbeya! chezea wagogo na wadigo kwa Elimu wewe!
Moyo ukizidi kukuuma sana nenda kawambie serikali wabatilishe uteuzi ili tuendelee kuishi kama zamani kwani sie hatukuomba tuwe jiji ila ilitokea automatically kutokana na kukidhi vigezo kama idadi ya watu ambao wako takribani Mil 2.5, Shughuli za kiuchumi hususani kilimo, Mchango wake katika pato la taifa, Miundombinu barabara, Uwepo wa taasisi mbalimbali nyeti zikiwemo za elimu, banking nk. Climatic condition. Hizo ni baadhi tu ya cretaria chache ambazo wanaangalia mambo ya uzuri wa majengo ni very minor sana ktk utambuaji wa majiji, kumbuka majengo ni culture.
Hotel ungeenda Green View mkuu ipo uzunguni ni standard na iko poa. Then mji kupewa sifa ya kuwa jiji hawaangalii mazingira tuu peke yake. Kuna ishu kama wingi wa watu na hiyo ndio sifa kubwa ya jiji la mbeya.
Kwa sasa Mbeya inaongoza kwa Maambukizi Mapya ya UKIMWI. Nafikiri hilo ndo wana MBEYA wanalifanya kwa ufanisi mkubwa. Zaidi ni lile la kuanzisha makanisa/madhehebu kila kukicha
Mbeya na wenyeji wa Mbeya wamelala FURSA za kmwaga hususani biashara ya hoteli na vyakula lakini ndo hivyo tena. Mpo strategic mno RELI YA TAZARA, SONGWE AIRPORT, LAKE NYASA na mnapakana na MALAWI, ZAMBIA/ZIMBABWE/CONGO DRC na ni mji unaopitiwa na barabara kuu ya kihistoria CAPE to CAIRO. Bado mnambwela mbwela
tafuta ramani ya mpango mji wa hiyo mikoa alafu utoe comment yako