hyusuph
JF-Expert Member
- Dec 5, 2013
- 1,655
- 692
Tanga na Dodoma imepangika vizuri sana
Tanga ndo mahali pa kuishi umepangwa ukapangika mjini safiii mitaa imepangwa viziri aah I like this city
Tanga na Dodoma imepangika vizuri sana
Nilikuwa na mpango kwa kwenda mbeya nimeghairi. Mbona huwa wanaisifia sana utadhani amsterdam!!!!! Shame on you Mbeya Village.
Tanga ndo mahali pa kuishi umepangwa ukapangika mjini safiii mitaa imepangwa viziri aah I like this city
Ndio lipo ila kazidisha uongo
Hahahaha mkuu umenichekesha sana. Ni nimepata bahati ya kuishi kwenye majiji yote matano ila kati ya yoote, Tanga ndo nzuri. Nadhani uwepo wa wajerumani ulisaidia. Ukipiga Picha za Google utadhani draft pale mjini.Napenda beach, hotels ( mfano Tanga beach resort, Nyumbani hotel, Mkonge, Silvarado villa,Nyinda classic, Naivera n.k. ukarimu wa wakazi wa tanga. Aah tanga kuzuri.Ha ha ha kweli kabisa njoo raskazone kisha sahare pitikiza mpaka nguvumali kisha kange ila usiende mwahako
Sipapendi mbeya,yani bila haka kaajira ningesharudi home,yani pa kilocal sana.
Wenyewe wanalima lakini bidhaa bei zake afadhali ya dar,huku life bovu yan nikipata transfer tu sirudi ng'oo
Hahahaha mkuu umenichekesha sana. Ni nimepata bahati ya kuishi kwenye majiji yote matano ila kati ya yoote, Tanga ndo nzuri. Nadhani uwepo wa wajerumani ulisaidia. Ukipiga Picha za Google utadhani draft pale mjini.Napenda beach, hotels ( mfano Tanga beach resort, Nyumbani hotel, Mkonge, Silvarado villa,Nyinda classic, Naivera n.k. ukarimu wa wakazi wa tanga. Aah tanga kuzuri.