tatizo la mbeya mzunguko wa pesa ni mdogo ndio maana huwezi linganisha na moshi, arusha na mwanza, hata dodoma tu. labda uwingi wa watu ila kwa uzuri wa jiji hakuna kitu pale. mi nimeishi san apale na nimeolea hukuhuko in short huko ni kwetu, bado tunahitaji mabadiliko makubwa.
Mkuu AZUSA STREET, hiyo mikoa ya Arusha na Kilimanjaro unaisikia tu...tuulize tunaoishi huko. Sasa wakati wewe unaisifia hiyo, haipo hata kwenye top 5 za mikoa inayoongoza kwa mapato TZ (GDP) . Sasa sijui umetumia vigezo gani kusema mzunguko wa pesa Mbeya ni mdogo...Mwanza. Arusha could be the Safari capital of the country, what with the world renowned Ngorongoro, the magnificent Serengeti and several other national parks and cool climate, but it ranks low in the economic ladder of the country far behind Mbeya , Shinyanga, Iringa and Morogoro, according to Bank of Tanzania's latest statistics.
Likewise Lindi Region could sit on a mountain of billions of cubic feet of proven natural gas resources, but it is the second poorest region in Tanzania mainland after the Coast region, statistics show. The report which indicates economic strength of administrative regions in Tanzania mainland for 2012 shows Arusha is the 7th richest region in Tanzania with a gross domestic product (GDP) of Sh2.1 trillion ($1.3 billion), followed by Tanga (Sh2.09 trillion) and Kilimanjaro (Sh2.03 trillion).