Jiji la Mbeya kama kijiji

Jiji la Mbeya kama kijiji

andreakalima,

Huyu ndugu nina wasiwasi naye, nafikiri alikuja kuoa huku kwetu Mbeya sasa alishindwa kutimiza vigezo na mashariti kwa hiyo akaamua kututukana watu wa Mbeya.
 
MBEYA ni ya ovyo kutokana na watu wake kuendekeza UCHAWI yaani kama wewe si mtu wa Mbeya au mwarabu wa sumbawanga ukijidai unawekeza mbeya lazima wakupge juju
 
juzi tulikuwa na mada hii kwenye daladala pale mbeya....kiukweli ni hamna kitu, New York iitwe eti Mbeya nayo inaitwa City!!

Du Marekani itwe nchi Tanzania nayo itwe nchi! ndiyo statement yako iko sawa na hii.Ki ujumla ignorance ndiyo inakusumbua huelewi unachosema,kwa akili yako unavyo nadhania hata Dar lisingeitwa jiji! sijui kama umewahi hata kwenda nchi yeyote iliyoendelea na kama ungewahi na ukawa mtu mwenye ulewa kwa maana ya kwamba ulewa wa kawaida tu usingeweza kutoa mawazo hayo uliyoandika!ni sababu ya ujinga tu kwakweli.
 
MBEYA ni ya ovyo kutokana na watu wake kuendekeza UCHAWI yaani kama wewe si mtu wa Mbeya au mwarabu wa sumbawanga ukijidai unawekeza mbeya lazima wakupge juju

Wewe ni mzushi na muongo,usiongee jambo bila kulifanyia tafiti ya kutosha tena kwenye public kama hapa kuna watu wengi tu siyo wa Mbeya na wanafanya Biashara tena ni matajiri! Nchi hii ya Tanzania mtu anaweza kuishi popote na hazuiliwi na sheria yeyote.Wewe unachuki zako binafsi tu za kijinga ndiyo unazuka na mambo yasiyo fanyiwa tafiti yeyote na kuja kutukana watu hapa.Lakini pia inawezekana ni level yako ya Elimu ni ya chini sana kwa hiyo huelewi mambo unazungumza tu kama unajisadidia haja kubwa.Acha ujinga! wewe unatokea wapi Tanzania hii ambapo una jeuri ya kudharau watanzania wenzako namna hii! endelea na ujinga wako next time natoa jina lako kamili hapa na mahali ulipo ndiyo ujue vizuri uchawi wa watu Mbeya!Nitakuumbua hapa huta amani macho yako.
 
Hii ni changamoto kwa wana MBEYA mna fursa nyingi sana, ukizingatia mmepakana na nchi jirani (Zisizo na bandari) nyingi kuliko mkoa wowote Tanzania, mna ardhi yenye rutuba, ziwa nyasa, sasa uwanja wa Ndege lakin mmeendekeza uchawi, ngono & sifa za kijinga. BADILIKENI vinginevyo WACHAGA wakija kukamata fursa msilalamike.

Wewe changamkia kwanini wachaga ndiyo waje kuchukua hizo chances! watu wako busy na ngono na uchawi wewe wahi sasa utajirike si ni mtanzania tumia nafasi hiyo au wewe ni mchaga nini mzee! Ndiyo maana tunaambiwa CHADEMA ni wachaga kazi yao ni kutukana watanzania wengine na wao kujiona ndiyo wamaana sana,sasa mnaanza kuonesha rangi yenu halisi na kweli watu wa Mbeya wamekua wajinga sana kuwaunga mkono sasa mmeanza kuwatukana kwamba ni wachawi na wapenda ngono ila nininyi wachaga ndiyo watu wema sana tena hampendi ngono wala uchawi,mje basi mtusaidie hatuta lalamika nchi si yetu wote.Wewe ndiyo mpenda sifa unajiona una akili nyingi kwa sababu hukuzaliwa mbeya ila kwenu ndiyo mna akili sana!kuna watu manaudhi hapa JF.Tafadhali jifunze kuwa na lugha ya staha kwa watu siyo kutukana watu sijui hata kiwango ulichonacho cha elimu na wasiwasi utakua umesoma shule za hovyo na unajiona kama mtu wa maana sana! Nitahakikisha natoa hapa jina lako halisi ili watu wote wakuje bingwa matusi na dharau.
 
Kwa sasa Mbeya inaongoza kwa Maambukizi Mapya ya UKIMWI. Nafikiri hilo ndo wana MBEYA wanalifanya kwa ufanisi mkubwa. Zaidi ni lile la kuanzisha makanisa/madhehebu kila kukicha

Hayo ndiyo matusi unafurahia kutukana watanzania wenzako? kama wewe unatoka mkoa ambao mmefanikiwa sana usitukane walio wajinga ukilinganisha na kwenu! utusaidie tu maana hata sisi ni watanzania wenzako.Wenzenu wanaungana nyie mnaanza ukabila na umkoa kweli nchi hii inaekea kubaya kweli.Sijawahi kudhania watz tunaweza kudharauliana kiasi hiki!hii ni mbegu mbaya kabisa na itabomoa nchi hii kabisa,tutakuwa kama Rwanda wala si muda mrefu! kama kuna watu wanajiona wao ni bora sana kuliko watanzania wengine k weli wewe ni Educator2025 umetangulia sana na umejawa na dharau na matusi!
 
juzi tulikuwa na mada hii kwenye daladala pale mbeya....kiukweli ni hamna kitu, New York iitwe eti Mbeya nayo inaitwa City!!

Du Marekani itwe nchi Tanzania nayo itwe nchi! ndiyo statement yako iko sawa na hii.Ki ujumla ignorance ndiyo inakusumbua huelewi unachosema,kwa akili yako unavyo nadhania hata Dar lisingeitwa jiji! sijui kama umewahi hata kwenda nchi yeyote iliyoendelea na kama ungewahi na ukawa mtu mwenye ulewa kwa maana ya kwamba ulewa wa kawaida tu usingeweza kutoa mawazo hayo uliyoandika!ni sababu ya ujinga tu kwakweli.
Aksante Kajembe kwa kumpa shule huyo kijana...maana baadae angeshangaa pia how come Obama aitwe Rais na Kikwete nae aitwe Rais..
 
Tatizo la Mbeya mzunguko wa pesa ni mdogo ndio maana huwezi linganisha na moshi, arusha na mwanza, hata dodoma tu. labda uwingi wa watu ila kwa uzuri wa jiji hakuna kitu pale. mi nimeishi san apale na nimeolea hukuhuko in short huko ni kwetu, bado tunahitaji mabadiliko makubwa.
 
Ukisikia jiji la mbeya utafikiri bonge la jiji kumbe upuuzi mtupu. sasa hapa kati nilipata safari ya mbeya nikakwepa fastjet ile kutua kwa kweli uwanja wa songwe ni mzuri kiasi (pengine kwa sababu ya upya) sasa tukapanda shuttle kwenda mjini 10,000/= (bei ya kulangua) nikafika hoteli ambayo ndio wanaisifia ni classic (Mbeya hotel) duuh ni kama nyumba ya makumbusho nikamuambia dereva nipeleke nyingine tukaenda Paradise Hotel (nayo ya kipuuzi pia) nikaenda nyingine (GR City) daah ndo nikajua kumbe zile sifa za wanyakyusa hapo Dar kwao hamna lolote sasa sehemu ya kula ndo ishu yaani labda uende CITY PUB hakuna sehemu nzuri ya kupata varieties.

Poor Mbeya inastahili kuitwa KIJIJI CHA MBEYA si JIJI LA MBEYA mmekalia UCHAWI tu.

Unakosea unapojadili utofauti wa miji negatively - inabidi uwe positive. ni kweli wewe ni mgeni mbeya lazima uone tofauti iliyopo na miji kama mwanza kwa mfano. Mambo uliyoyazungumza sikubaliani nayo yote hasa hili la uchawi ambalo tuliache kwanza.

mwanza nayo haikuwa hivi miaka kama 25 iliyopita - hoteli kumbwa sana za kujivunia ilikuwa Mwanza hotel na kidogo lake hotel. Pamba ilikuwa almost ni guest house ya hali ya juu. hizi hotel ndo ziko comaparable na hizi ulizozitaja za mbeya. na wakati wote wawekezaji wakuu wa mwanza wakitoka Bukoba, Musoma, Shinyanga na Tabora - mzee Makinda RIP, baba yake spika Anne, amabaye alikuwa RC wa Tabora enzi hizo (1970s) aliwasihi waarabu na wahindi wa Tabora kwamba wasisahau kuinvest Tabora na kukimbilia Mwanza. hadi sasa kuna wafanya biashara toka Mbeya wame invest Mwanza.

Investment ya juu na haraka kwa Mwanza imekuja baada ya upandikizaji na uvunaji wa Sangara, uvunaji wa madini ya dhahabu Geita, Kahama, Tabora, Mara nk. Angalia Tanga - ulikuwa ndo mji wa pili kwa Dar shauri ya mkonge na wazungu matajiri wakiwa Lushoto etc - lakini baada ya hapo mji umedorora ingawa kwa mbali unarudi tena. Maana yangu hapa ni kuwa unlike Mbeya Mwanza ina utajiri wa maeneo jirani tajiri ambayo yanakwenda kuinvest kule. Ukija kwenye population Wasukuma tu pekee ni wengi kuliko kabila lolote Tanzania na ni matajiri na watumiaji wazuri, acha wana Kagera, Mara etc

Mbeya imejikaza kuwa katika hali hiyo mbele ya policies ambazo zimewatimua wafanya biashara kadhaa ambao wameelekea Dar, Mwanza na kwingineko. Policies za Mbeya kwa wawekezaji ni HARSH = kwa mfano kuna mtu alitaka kujenga 5-star hotel eneo la gymkana kati ya uwanja wa Sokoine na mbeya peak hotel alipigwa vita tena na viongozi wenyeji wa Mbeya - ubovu wa mji wa Mbeya unaletelezwa na aina ya uongozi walionao. watu wamekalia kula pesa - miaka ile world bank ilikuwa na master plan ya kui modernize the notorious Mwanjelwa - hakuna kilichofanyika imebaki ni the best squatter ya Tanzania!!

hii thread yako inafaa isomwe na viongozi wa Mbeya masikio na macho yazibuke.

Kuhusu uchawi sikubaliani nawe - ukitoka mbeya wanasema pwani wana majini. ukifika pwani ya dar wanasema unguja. ukifika unguja wanasema pemba. pemba wanasema tanga etc.
 
lakini Mkuu, lisemwalo lipo!

Ni kweli mbeya kuna wachawi lakini pia wapo kila sehemu hata kwenu wapo! ni tofauti sana na alivyosema mleta mada na wasiwasi atakuwa kula kulala huyu shenzi sana!
 
Last edited by a moderator:
Mbeya VIGAGULA sana ndo maana watu wanaogopa kuwekeza huko. Pamoja na fursa nyingi zilizopo. Mi nilishawahi kuwa na mchumba wa huko basi siku moja amekuja kulala kwangu ile ameenda kuoga nikamkuta na hirizi kuipasua nakuta amefungia maneno ya kiarabu na ameandika jina langu na neno NDOA. liporudi kumuuliza anakataa kuwa HIRIZI si yake. Yaan hata hamu ya sex ikaisha ghafla na ndio Ilikuwa mwisho
 
Mbeya VIGAGULA sana ndo maana watu wanaogopa kuwekeza huko. Pamoja na fursa nyingi zilizopo. Mi nilishawahi kuwa na mchumba wa huko basi siku moja amekuja kulala kwangu ile ameenda kuoga nikamkuta na hirizi kuipasua nakuta amefungia maneno ya kiarabu na ameandika jina langu na neno NDOA. liporudi kumuuliza anakataa kuwa HIRIZI si yake. Yaan hata hamu ya sex ikaisha ghafla na ndio Ilikuwa mwisho

Baada ya hapo uka conclude watu wote wa mbeya ni wachawi! kwa maelezo yako nimekudharau! upstairs uko mweupe kabisa! na wewe ni mshirikina na mzinzi mkubwa maana maelezo yako yanakushika vizuri,umesema baada ya hapo ulishindwa kufanya sex na common sense ya kawaida kabisa ulikua unafanya umalaya!therefore wewe ni mpenda ngono sasa mbona unatukana wengine! sasa umejidhalilisha mwenyewe! nina wasiwasi na kiwango cha elimu yako maana hauko makini kabisa.
 
missing too charty!... karibu mbeya bwana tulime mpunga!

kama waja kutafuta maghorofa ya kariakoo hapa songwe, itakula kwako!

Mhh sijii mie!!! Lini utakuja mjinii
 
Back
Top Bottom