Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,401
- 1,618
Porojo nyiiiiiiingi halafu utakuta kwenu ni Mtwara, f.ala weweukisikia jiji la mbeya utafikiri bonge la jiji kumbe upuuzi mtupu. sasa hapa kati nilipata safari ya mbeya nikakwepa fastjet ile kutua kwa kweli uwanja wa songwe ni mzuri kiasi (pengine kwa sababu ya upya) sasa tukapanda shuttle kwenda mjini 10,000/= (bei ya kulangua) nikafika hoteli ambayo ndio wanaisifia ni classic (Mbeya hotel) duuh ni kama nyumba ya makumbusho nikamuambia dereva nipeleke nyingine tukaenda Paradise Hotel (nayo ya kipuuzi pia) nikaenda nyingine (GR City) daah ndo nikajua kumbe zile sifa za wanyakyusa hapo Dar kwao hamna lolote sasa sehemu ya kula ndo ishu yaani labda uende CITY PUB hakuna sehemu nzuri ya kupata varieties. Poor Mbeya inastahili kuitwa KIJIJI CHA MBEYA si JIJI LA MBEYA mmekalia UCHAWI tu.