Tandale hakuna nyumba za tope? Kwani kuwa na ghorofa ni kitendo cha kuendelea? Mbeya imepitiwa na bonde la ufa matetemeko ya ardhi yalikuwa mwanzo mwisho ndo mana kuna uhaba wa hicho unachokipenda uwe mpana wa kufikir japan wako vizur kiuchumi na viwanda kuna sehemu wanajenga nyumba za mbao wajua kwa nn?Geneva of Africa Mbeya? Vigorofa vya kuhesabu nyumba za matope mpaka katikati ya mji. Matajiri wengi wa mbeya wana hela za kiuchawi full mashariti
Nitajie jiji lililo juu ya MBEYA kiuchumi na kwanini?WANAOSIFU MBEYA HAWAJATEMBEA MBEYA NI SAWA NA KIJIJI KIKUBWA TU
UCHUMI SIO KIGEZO PEKEE KUNANitajie jiji lililo juu ya MBEYA kiuchumi na kwanini?
Haujataja lakini!UCHUMI SIO KIGEZO PEKEE KUNA
VIMIJI VIKO JUU KIUCHUMI LAKINI NI MAKAO MAKUU YA WILAYA AU TARAFA
KWELI TANGA WAJERUMANI WALICHEZAJiji La Tanga
Ndoto za mchana hizi! Dodoma iipite Mbeya?Mbeya ilikua jiji kwa kigezo cha population tu hakuna chochote. Dodoma imepangiliwa vizuri sana nadhani itakuja kuipita mbeya kwa speed kali sana
Kulikuwepo 77 Arusha, Mount Meru, Safari Hotel Arusha(hata kama nyingine zimeuzwa).Mkuu hotel za hiyo mikoa uliyotaja especially arusha nyingi ni za watu binafsi tena wengi wakiwa ni watz serikali haihusiki ktk uwekezaji wa hotel maeneo hayo
Sipo kwaajili ya kubishana na wewe mkuu ila usipende kuongea vitu usivovijua...Kulikuwepo 77 Arusha, Mount Meru, Safari Hotel Arusha(hata kama nyingine zimeuzwa).
New Mwanza Hotel-Mwanza, Golden Crest- Mwanza.
Una maswali?
Wazo langu kabisa. Iweje asiulize kwa wenyeji hoteli nzuri za Mbeya kabla hajapondea?Mmmh mimi ninawasiwasi na wewe ulikua unazunguka kutafuta Hotel ya bei ndogo coz umetoka Mbeya Hotel kwenda paradise then kwa GR yaani kutoka bei ya juu kwenda bei ya chini ha ha ha !Mbeya ipo safi sana aisee. Hill view,Mbeya Golden City hotel,Mt.Living stone na zingine nyingi sana mbona mkuu
Nimekupa hiyo mifano hai, pinga au kubali kuwa hoja pingamizi ya kwako haina mashiko.Sipo kwaajili ya kubishana na wewe mkuu ila usipende kuongea vitu usivovijua...
Mount meru hotel formerly it was owned by the government through Tanzania hotel investment firm kabla ya kuwa privatized 2005...sa sahv haimilikiw na serikali na n mount meru yenye mwonekan mpya sio hyo ya zaman chini ya watu bnafsi na si serikaliNimekupa hiyo mifano hai, pinga au kubali kuwa hoja pingamizi ya kwako haina mashiko.