laki si pesa.
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 9,984
- 9,757
NJOMBE ni kuzuri kupita Mbeya
mimi hii post yako nairipoti lakini nakushauri ifute utapata shida wadau wakiingia humu wapo wengi kichizi. Hujui hao unaowaita Wachawi ndio wanaolisha familia yako!? mimi nimekaa hapo mbeya kwa miezi 6 mfululizo. Huwezi kufananisha na mkoa mwingine wowote kwa mahitaji muhimu, chakula, hewa safi, utulivu, watu wastaarabu yaani mimi huwa naliita jiji la mbeya StressFree City.
Mbona mwaka jana arusha ndo ilipewa hadhi ya jiji safi tz...kwann isingepewa mbeya....kuanzia mwaka 2014 mwishon arusha ni mji msafi sana....acha kupotosha watu...!Arusha mnayoisifia ndiyo choka kabisaa.
Arusha ni mji mchafu sana na worse ni kwamba majumba ya mbavu za mbwa yapo hadi City Centre. Maeneo kama Ngarenaro ambayo yapo 0.1 km toka mjini ni horrible...hata baiskeli ya miguu mitatu haiwezi kupata barabara, miili ya marehemu inabebwa kwa 0.5 km ili kufika kwa marehemu kwa kukosa barabara.
Tazama sewerage system ya Arusha, kila siku ukipita mtaa wa Mkuu wa Uhuru, lazima ukutane na machemba yanayotema. soko Kuu ndiyo kama Jehanamu...ni uchafu uchafu mtupu. sijawahi kuona uzuri wa Arusha japo niko hapa kwa miaka 15.
Mi nawasiwasi huyu kalishwa ndimu na mtu wa mbeya sio bure, kwa hiyo kila kitu cha mbeya ni kichachu kwake! kwa taarifa yako tu kaa ukijua mbeya ni "geneva ya Africa" na sifa hizo hazijaanza leo wala wakati wewe umezaliwa, sifa hizo ni orijino toka milenia ya pili ilipoanza.... napita tu.