Jiji la Mbeya kama kijiji

Jiji la Mbeya kama kijiji

Mtoa post ukimsoma vizuri huyu ni mpangaji tu jijini na yawezekana tandale, unakuwaje na kauli ya kukagua hoteli hivi ulifikiri Mbeya ndio Abu dhabi!?
 
Mbeya Mji Auna Mpangilio Kabisa.Kuna Isanga Hipo Mjini Kabisa Lakini Mpangilio wa Makazi Ya Pale Sio Kabisa.Kuna Sokomatola Yani planning Ni Mbovu kabisaa...Dodoma Kwa sasa Tusi iSeme Kuhusu Planning CDA wamefanya Dodoma Kuwa Ngar'ingar'i
 
Shule zetu inabidi tuziamishie ulaya mana hamna namna
 
Hii hoja inahusiana kwa namna yyt na unafuu wa maisha kwa sie wa kipato cha chini kabisa?,
 
andreakalima,
Serikali iligoma kuwekeza Mbeya.
Sijui pengine Magufuli.
Hoteli zote zilizopo Mbeya ni up graded Guest Houses.
Serikali inote hilo.
 
Ukienda Arusha, Moshi,Mwanza hotels huko ni 1st Class.
Serikali iligoma kuwekeza Mbeya.
Sijui pengine Magufuli.
Hoteli zote zilizopo Mbeya ni up graded Guest Houses.
Serikali inote hilo.
Mkuu hotel za hiyo mikoa uliyotaja especially arusha nyingi ni za watu binafsi tena wengi wakiwa ni watz serikali haihusiki ktk uwekezaji wa hotel maeneo hayo
 
Mkuu hotel za hiyo mikoa uliyotaja especially arusha nyingi ni za watu binafsi tena wengi wakiwa ni watz serikali haihusiki ktk uwekezaji wa hotel maeneo hayo
kwanza hotel gani kubwa inamilikiwa na serikali?
 
No offence meant bro...
Ungeweza kuwasilisha bandiko lako kwa lugha nzuri tu.
Hii Habari ya uchawi inaingiaje hapa?!
 
Back
Top Bottom