I see..hapo umedanganyaArusha ina nn cha ajabu?Nimefanya kazi Arusha haiishindi kwa lolote lile!
AICC na zile hotel hazizidi 4 kingine nn Arusha kinacho izidi Mbeya?Wao Arusha hawana hospital kama yetu nzuri ya rufaa,hawana uwanja mzuri wa ndege kama wetu na hawana TAZARA kama yetu pale IyungaI see..hapo umedanganya
Kwa maneno haya nakuunga mkono. Na kwamba kwa hoja zako, Tanzania hakuna jiji hata moja. Hakuna mjini wenye mpangilio mbovu kuzidi Dar. Sahau maeneo ya Posta, Mikocheni, Masaki, Oysterbay na Msasani. Kwingine kote ni ujenzi holela.House arrangement, barabara, usafiri( private nd public), hotels( sehemu za kulala), sehemu za kula (restaurants), mpangilio wa mitaa, sehemu za kufanya shopping, hivyo vitu kwa mimi binafsi vinaiondolea mbeya hadhi ya kuitwa jiji,
No research no right to speak. Wakati Mbeya inapewa hadhi ya jiji hapo Julai 1, 2005 kulikuwa na lami barabara zote muhimu mjini. Pia mitaa yote katikati ya jiji ilikuwa tayari na lami. Nakutajia. Barabara kuu ya Tanzam, Independent Avenue, Karume Avenue, Kaunda Avenue, Hospital Hill, Lumumba, Jamatikhana, Jacaranda, Mbalizi Road, Panorama, West, East, North, South, Acacia, Market Square, Lupa Way, Post Way, Sisimba, Barabara ya Kwanza, Ya Pili, Ya Tatu, na nilizozisahau. Msiseme tu ilimradi mseme.Kuna mtu kaniambia kuwa cku izi barabara za mitaan zinaanza kuwekwa lami. huu mji ulipewa hadhi ya jiji kisiasa manake barabara ilikuwa moja tu ya lami inakatiza mjini. kwa kifupi hadi sasa mwanza peke yake ndo inastahili kuwa jiji after dar, Arusha kwa mbaali ila tanga na mbeya mmmmmh!
Mzunguko wa pesa je?Uzuri wa makazi ya kuishi kuliko Mbeya je?
Ukilinganisha na New York, hata Dar siyo Cityjuzi tulikuwa na mada hii kwenye daladala pale mbeya....kiukweli ni hamna kitu, New York iitwe eti Mbeya nayo inaitwa City!!
Aliyekudanganya Ilomba ndo mjini alikuvuruga. Ilomba kwa Mbeya ni kama Mbagara Rangi Tatu. Sasa Mbagara ndo mjini?kiukweli mbeya bado sana kwa mara ya kwanza kufika mbeya nilikaa ilomba nikawauliza wenyeji mjini mbali sana wakasema hapa ndio town nilijinyamazia mbeya mipangomiji ni vurugu tupu ,Tanga wamesaidiwa na mji kupangika lakini nako hamna kitu kweli Moshi kuzuri
Uzuri wa makazi ya kuishi kuliko Mbeya je?
Sasa watu wa Kilimanjaro wasemeje je wazanzibari mshaanza mambo yenuMimi nafikiri Arusha inajulikana kimataifa zaidi ya Miji yote Tanzania....DAhh...ninabahati kuzaliwa Arusha..
Ni kweli sisi ni hapa Tanzania ni kama hakuna city nzuri ya kuvutia,mpangilio ni mbaya sana kwa miji yote na hakuna hatua zaidi zinazochukuliwa....kwa mikoa mingine pale mjini kidogo kuna vijumba vimejengwa vinavutia but mbeya ni tofauti kidogo,lazima hilo tukubali,ujenzi wao hata hapa Mwanjelwa tu inatia ukakasi.Kuna mdau mmoja alisema Mbeya imejengwa na wafanyabiashara wazawa tu ndo maana haijajengwa sana ukilinganisha na Mikoa kama mMwanza ambao wapo wawekezaji wakubwa waliowekeza katika kujenga majengo makubwa na ya kuvutiaUkilinganisha na New York, hata Dar siyo City