Jiji la Mbeya kama kijiji

Jiji la Mbeya kama kijiji

Mwanza gani unayoisema? hata Arusha ninayojua! Ndiyo maana tunadharauliwa na nchi za jirani! hivi ni wapi Tanzania hii ambapo mtu anaweza kuwacheka sehemu nyingin ya Tz,hebu acheni kuleta ujinga wenu hapa.
njomba baada ya dar ni mwanza njomba kwingine ndy kunafuatia
 
Ila tuache masihara ....siku nimefika hapo jirani tu Kigali ....niliufyata kimyaaaaa ....kama mbwa kaona chatu ....
 
mbeya ni uchafu tupu hamna jipya mule zaid ya uloziiiiiii
 
Hauwezi kufika kwa lipi....tukisema vivutio ni kweli kuna mlima kilimaanjaro na migodi mikubwa ya amadini lkn hivyo vyote ni mali ya serikali... Kama boda ya masaa 24 hata mbeya ipo na ni mbili tu hapa Tanzania kuna ya mbeya na namanga arusha. Kwa mzunguko wa kibiasha mbeya ipo juu sasa sijui hapa tunashindana nini? Kama ni mipango miji nakushauri usiongelee kabisa maana Tanzania ukiondoa dar kidogo mikoa mingine chenga tupu.

Wewe acha kuongea uschikijua Umeshafika Tanga? Tanga ndiyo Mji uliopangika kuliko yote hapa TanZania, ndiyo Mji pekee ambao ukifika unamwambia dreva teksi nataka kwenda br. fulani nyumba namba fulani na anakufikisha bila ya kukariri sijui baa gani kontena fulani kama Mikoa mingine!
 
Mbeya ilipaswa kubaki level ya MANISPAA kama ilivyo HALMASHAURI YA MJI MPANDA
 
1. Wewe kwako una nyumba nzuri kiasi gani na ya bei gani?
2. Wazazi wako je wanamakazi au umewajengea nyumba ya tshs ngapi?
3. Wajomba, shangazi, binamu na nduguzo wengi hakuna hata mmoja mwenye nyumba ya tope?
4. Kama ndio namba tatu hapo juu! Usidharau Mbeya city
 
Hata mimi nimemshangaa anaposema eti hotel zinazosifika kama "Mbeya Hotel" hizi hotel za miji ya zamani kama Iringa Hotel, Moshi Hotel, Morogoro Hotel, huwezi kuzikuta zikiwa kwenye kiwango cha kisasa hadi mleta mada aziweke kwenye hotel zinazosifika katika miji. Labda yeye kwa mawazo yake alifikiri anaposikia Mbeya hotel ndiyo itakua ya hadhi ya juu zaidi kwasababu imebeba jina la mji, bila kujua ni hotel ya lini. Hata siku moja siwezi fika Morogoro na kuanza kuulizia nipelekwe Morogoro hotel.
Hata mimi nimemshangaa anaposema eti hotel zinazosifika kama "Mbeya Hotel" hizi hotel za miji ya zamani kama Iringa Hotel, Moshi Hotel, Morogoro Hotel, huwezi kuzikuta zikiwa kwenye kiwango cha kisasa hadi mleta mada aziweke kwenye hotel zinazosifika katika miji. Labda yeye kwa mawazo yake alifikiri anaposikia Mbeya hotel ndiyo itakua ya hadhi ya juu zaidi kwasababu imebeba jina la mji, bila kujua ni hotel ya lini. Hata siku moja siwezi fika Morogoro na kuanza kuulizia nipelekwe Morogoro hotel.
Mwambie aende akaione Tanga Hotel
 
Mbeya ni ushamba tu umewajaaa. By the way! Maadhimisho ya ile LIFT ya kwanza "JIJINI" mbeya ni lini?
 
ha ha ha lift ile iliyozinduliwa na mkuu wilaya? Wanyakyusa mnakera na kuboa asee
 

5.6 Vigezo vya kuanzisha Halmashauri ya Jiji

i. Kuwe idadi ya watu wasiopungua laki tano (500,000);

ii. Kuwa na uwezo wa kujitegemea kwa asilimia tisini na tano (95%) kwamapato yake ya ndani; na

iii. Kuwepo sifa nyingine zaidi ya sifa za kawaida za Manispaa kama vilemaeneo ya kihistoria, maeneo ya utalii; Makao Makuu ya Mkoa; kituo chashughuli za Kimataifa na nyinginezo.
 
mbeya ni umbea ndo wanaujua haswaa mengine hayo ya kuendeleza mji kibiashara tuwaachie wachaga
 
Mbeya bado sana jamani. Ni kama vile upo kata flani hivi na wala si jiji. INASIKITISHA KUITA MBEYA eti ni JIJI
 
wanyakyusa mnaboa kwa kweli. jiongezeni watani zangu
 
Tabby,
umenena vyema, mbeya wamezidi ukabila, majungu na uchawi..mji umedumaa hueleweki kuanzia mwanjelwa mpaka uhindini mji umeisha, mbeya wachawi sana
 
Back
Top Bottom