Jiji la Mbeya kama kijiji

Jiji la Mbeya kama kijiji

Alie kuambia ilomba ndio mjini basi we mwenyewe ulikosa mtu wa kumuuliza....hivi ilomba na kwa mrombo kuna tofauti gani.....
 
Mi ninachokumbuka nimeacha watoto wawili huko dume na jike enzi hizo kutoka mafiati to uyole ghorofa refu"mbili" lilikua mwanjelwa la jamaa mmoja anaitwa mfikemo ila juzi kati naona wamejitahidi kuanzia pale njia panda ya air port/mafiati/uyole wamejenga viota. Mwanjelwa/kabwe/soweto/tunaruka hadi Ilomba na uyole hapa ndio jiji linatakiwa kuonyesha taswira.
Acha uwongo. Mfikemo hajawahi kumiliki ghorofa. Hadi leo hana. Acha stori za vijiweni, tafiti.
 
Kabla sijafika mwanza...nilijua bonge la mji lkn nilipofika sikuona chochote cha maana mji wake umejengwa hovyo,nilikwensa Arusha nikatembe amaeneo kadha mpaka kwa mrombo sikuona jipya...Dar ndio usiseme maana kama jiji ni majengo basi hata dar kwa hilo wamefeli.kuna miji kama Harare...basi ukibahatika kufika huko bongo utapaona kama mlandizi.
 
Hapa unamaanisha Mkoa wa Mbeya au mji/jiji la Mbeya? Huwezi kuzungumzia kujengwa kwa MKOA WA MBEYA, ukisema mkoa hapo unajumlisha hadi Tukuyu, Kyela, Tunduma, Mbalali nk, pamoja na vijiji vyake vyote.
Hata ukilinganisha tu Moshi na jiji la Mbeya ni vitu viwili tofauti,Moshi inavutia zaidi kuliko jiji la Mbeya,huko nyuma niliwahi sema Iringa mjini inavutia zaidi kuliko jiji la Mbeya,hiyo ipo wazi tu...Hata ukija mkoa wa Mbeya mzima hauwezi kuufikia mkoa wa Kilimanjaro kwa vyovyote iwavyo nafikiri hata haiwezi ukaikuta mkoa wa Kagera kwa standard za nyumba n.k
 
Acha uwongo. Mfikemo hajawahi kumiliki ghorofa. Hadi leo hana. Acha stori za vijiweni, tafiti.
Mfikikemo hana Ghorofa na hajawai kumiliki ghorofa. Kwahiyo wewe kwa maelezo yako unafikiri jiji zuri ni lipi?
 
nchi hii haiishi vituko hivi we arusha ninayoijua unamcheka mtu wa mbeya!!!!. Hivi mianzini, ngarenaro, mbauda na kwa mrombo ni maeneo yaliyopangika eeh
But huwezi linganisha standard ya nyumba za Ngarenaro,Mbauda,Mbauda au hata Matejoo na aina ya makazi ya Mwanjelwa,Simike,Uyole n.k
 
Hata ukilinganisha tu Moshi na jiji la Mbeya ni vitu viwili tofauti,Moshi inavutia zaidi kuliko jiji la Mbeya,huko nyuma niliwahi sema Iringa mjini inavutia zaidi kuliko jiji la Mbeya,hiyo ipo wazi tu...Hata ukija mkoa wa Mbeya mzima hauwezi kuufikia mkoa wa Kilimanjaro kwa vyovyote iwavyo nafikiri hata haiwezi ukaikuta mkoa wa Kagera kwa standard za nyumba n.k
Hauwezi kufika kwa lipi....tukisema vivutio ni kweli kuna mlima kilimaanjaro na migodi mikubwa ya amadini lkn hivyo vyote ni mali ya serikali... Kama boda ya masaa 24 hata mbeya ipo na ni mbili tu hapa Tanzania kuna ya mbeya na namanga arusha. Kwa mzunguko wa kibiasha mbeya ipo juu sasa sijui hapa tunashindana nini? Kama ni mipango miji nakushauri usiongelee kabisa maana Tanzania ukiondoa dar kidogo mikoa mingine chenga tupu.
 
Bange hizi au Elimu duni ya kaka Mulugo

Hata mulugo ni wa huko huko mbeya.

Wewe jibu hoja. Mbeya si malaya, wachawi, wapenda majungu, wabaguzi, wabishi, wanafiki, waliojaa wivu na wakabila?

Na kwa kwa ushamba wenu ndiyo mnajidai mmeendelea, mkijinadi kwa wema kwa kuwa hamwezi kujitambua na ndiyo sababu inakuweka hapa unabisha. Rudi katransform watu wa kwenu mbadilike mpate maendeleo, ubishi wako wa kikabila hapa haubadilishi ukweli na wala hauleti maendeleo.
 
But huwezi linganisha standard ya nyumba za Ngarenaro,Mbauda,Mbauda au hata Matejoo na aina ya makazi ya Mwanjelwa,Simike,Uyole n.k
Toa vigezo hapa kuniaminisha Uyole inashindwa na mtaa wa hovyo hovyo kama Majengo!
 
Hauwezi kufika kwa lipi....tukisema vivutio ni kweli kuna mlima kilimaanjaro na migodi mikubwa ya amadini lkn hivyo vyote ni mali ya serikali... Kama boda ya masaa 24 hata mbeya ipo na ni mbili tu hapa Tanzania kuna ya mbeya na namanga arusha. Kwa mzunguko wa kibiasha mbeya ipo juu sasa sijui hapa tunashindana nini? Kama ni mipango miji nakushauri usiongelee kabisa maana Tanzania ukiondoa dar kidogo mikoa mingine chenga tupu.
Kuna sehemu chache sana Moshi ambazo ni squatter area but most of them wamejenga katika mpangilio mzuri na unaofikika kwa gari,ila kwa Mbeya maeneo yaliyopangiliwa ni machache sana
 
Tabby,
Kwa mujibu wa BOT Mbeya ndiyo mkoa wa 3 kuchangia pato la Taifa ikishindwa tu na Dar na Mwanza

Unaji exposure tu uwezo wako wa kufikiri hapa ulivyo finyu!Kama sisi Mbeya kazi yetu ni uchawi na umalaya iweje iishinde Arusha yenu isiyo na umalaya wala uchawi kwenye uchumi?

Viroba sio vizuri jamani!
 
Hata ukilinganisha tu Moshi na jiji la Mbeya ni vitu viwili tofauti,Moshi inavutia zaidi kuliko jiji la Mbeya,huko nyuma niliwahi sema Iringa mjini inavutia zaidi kuliko jiji la Mbeya,hiyo ipo wazi tu...Hata ukija mkoa wa Mbeya mzima hauwezi kuufikia mkoa wa Kilimanjaro kwa vyovyote iwavyo nafikiri hata haiwezi ukaikuta mkoa wa Kagera kwa standard za nyumba n.k

Mimi siko kwenye kulinganisha uzuri wa miji au majiji, nilichotaka ukiweke vizuri ni pale unapotaja mkoa huku ukiwa na maana ya mji. Nilitaka kujua kama hilo unalielewa, siyo kama watu wengine wanapozungumzia mkoa fulani mawazo yao yanakua pale mjini tu.
 
Mtazamo wako kidogo una shida, Mbeya hotel imejengwa miaka ya 70 unategemea Leo hii iweje? Paradise miaka ya 90 unategemea Leo ifananeje? Ukienda Arusha ukafikia Arusha hakuna lodge za zamani? Mtazamo wako kidogo una shida rift valley! Mbeya peak.! Hizi hukujaribu? Japo pia ni za 90s. Mwisho nadhani kuna makosa kwenye maoni yako. Coz bado Luna mkulu hotel na nyingine nyingi tu.
Mbeya Hotel ipo tangu miaka ya 1950
 
Tuache kupoteza muda kwa mambo ya kijinga katika nchi hii hakuna mtu yeyote anaeweza kumnyoshea kidole mwenzake kuwa mkoa wake ni bora zaid ya mwingne... Mikoa yote mipango ya miji ni sifuri....
 
Mbeya Hotel ipo tangu miaka ya 1950

Hata mimi nimemshangaa anaposema eti hotel zinazosifika kama "Mbeya Hotel" hizi hotel za miji ya zamani kama Iringa Hotel, Moshi Hotel, Morogoro Hotel, huwezi kuzikuta zikiwa kwenye kiwango cha kisasa hadi mleta mada aziweke kwenye hotel zinazosifika katika miji. Labda yeye kwa mawazo yake alifikiri anaposikia Mbeya hotel ndiyo itakua ya hadhi ya juu zaidi kwasababu imebeba jina la mji, bila kujua ni hotel ya lini. Hata siku moja siwezi fika Morogoro na kuanza kuulizia nipelekwe Morogoro hotel.
 
Tuache kupoteza muda kwa mambo ya kijinga katika nchi hii hakuna mtu yeyote anaeweza kumnyoshea kidole mwenzake kuwa mkoa wake ni bora zaid ya mwingne... Mikoa yote mipango ya miji ni sifuri....

Na mara nyingi watu wanaopenda kulinganisha miji eti mji X hauko kama mji Y, utakuta yeye anatokea maeneo ya hovyo kabisa katika huo mji. Wale ambao wanatoka maeneo yaliyovizuri huwa hawana muda kama huo.
 
Mbeya ni pazuri mara kumi kuliko Arusha, maana barabara kuu ya moshi arusha ukichepuka tu unakukutana na migomba....kwa kifupi kamji ka arusha kamefuata barabara, jiji la mbeya limetanuka sana na ni zuri zaidi nje ya jiji kuliko katikati ya jiji wakati ukitoka centre ya jiji la Arusha utadhani huko mtaani wanaishi mende
 
Hatari Sana
Wajuzi Wa Mambo Pole Pole Tujue Ukweli Wa Hoja Iliyo Mbele Yetu, Kashfa Matusi Havitasaidia Kwenye Hii Mada
 
Back
Top Bottom